pesa

  1. JamiiForums Tanzania Matumizi mabaya ya pesa za umma naziona kwenye sherehe/kilele ya Utumishi wa umma

    Naona Kuna taasisi nyingi zimeweka mabanda hapa chilangali kuhitimisha wiki/kilele cha Utumishi wa umma jambo ambalo halina manufaa kwa Taifa,ni afadhali kungekuwa na tamasha la tamaduni kuliko haya mambo ya ajabu.
  2. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Pesa ya likizo kisheria inatoka OC au mapato ya ndani?

    Naomba kupewa ufafanuzi kidogo. Je, katika Ofisi ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Butiama, ni utaratibu wa kawaida kwa watumishi, hususan wa Idara ya Ujenzi, kutolipwa fedha za likizo na badala yake kuambiwa wajilipe kutoka kwenye OC ya ofisi? Naomba kufahamu kama huo ndio utaratibu...
  3. JamiiForums Tanzania Nje ya siasa ntakuja na Simulizi ya Maisha ya waafrika nje ya Africa na wanavyopata pesa Asia, Ulaya na Marekani, wengi wanawake wanateseka episode 10

    Nje ya siasa Kidogo Uzi huu utawasaidia wale wanaojitosa hasa watoto wa kike mabinti Kwenda Ulaya (Hapa hawateseki sana) Asia(China, India, Nepal, Thailand ,Hongkon, Malaysia , Macau, Philippines , Singapore, Indonesia, Laos, Vietnam) haya maeneo yote nshayapitia na kuona wadada wanavyoteseka...
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake ombaomba pesa kwenye mapenzi wana tofauti gani na wanaojiuza kibiashara?

    Wanawake wanaojiuza kimboka, kwenye bar na clubs wanaosemwa na kuchukuliwa vibaya sana na jamii lakini mimi nafikiri hao wako wazi zaidi, sio wanafiki na wanafanya biashara rasmi. Wanawake wanaoingia au kuwa kwenye mahusiano kwa sababu ya pesa tofauti yao ni kwamba wao wanakuwa wanafanya...
  5. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kuhukumu wanawake kutanguliza kigezo cha pesa na status zaidi katika kutafuta mahusiano mapya?

  6. JamiiForums Tanzania Mpangilio wako wa pesa ukoje?

    Hey people, Title inajielezea,msinifokee nina mimba changa bado, huu ni muendelezo wa uzi 👇 https://www.jamiiforums.com/threads/kuelekea-mwisho-wa-mwezi-uzi-kwa-wale-wanaopenda-kuweka-akiba-kutoka-kwa-experience-yangu.2343182/ Uzi bado
  7. JamiiForums Tanzania Usikubali pesa ikupelekeshe au ikununue

    Ukivuka viwango vya kutokupelekeshwa na pesa ya mtu au kununuliwa na pesa u become a Beast ni rahisi sana kupoteza heshima na utu wako pesa ikikuendesha
  8. JamiiForums Tanzania Simu za nyumba ni mtego unaomaliza pesa za watu

    Shtuka! Kitu unachotakiwa kuangalia kabla hujanunua simu ya "Mtumba" au ile iliyoandikwa "Refurbished" dukani. Watu wengi wakitaka kununua simu kali (kama iPhone au Samsung) kwa bei nafuu, wanakimbilia simu zilizoandikwa Refurbished (zilizokarabatiwa na kufungwa upya kwenye maboksi) wakiamini...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tusiwalaumu sana viongozi wetu, ni nature yetu waafrika wengi kuwa loyal kwa rewards kama Vyeo na pesa kuzidi uzalendo wa kufikiria mateso ya wengine

    Unafkiri hawaoni yanayoendelea ?? wanayaona sana tu lakini mapenzi ya vyeo, pesa, maisha mazuri ya familia, n.k. ni muhimu sana kuvitunza Kwa kiasi kikubwa, tatizo linaweza kuwa ni sehemu ya utamaduni wetu wa kisiasa na kijamii. Mara nyingi wengi wetu huwa waaminifu zaidi katika maslahi kama...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kutafuta pesa na kuzipata ni swali la lazima kwenye mtihani wa mwanaume 😊 ukiliruka basi utafeli mtihani wote

    KUTAFUTA PESA: MTIHANI WA LAZIMA KWA MWANAUME. Kwenye mtihani wa maisha ya mwanaume, kuna maswali ya hiari na la lazima, Swali la lazima ni moja tu: Kutafuta pesa na kuzipata. Hili si swali la kuahirisha kwani ukiliruka basi umefeli mtihani wote. Heshima nyumbani, sauti kwenye jamii, na hata...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Wabongo tunaamini kazi za kukaa ofisini ndio kazi zenye Pesa?

    Yani mtu anaamini ukifanya kazi za ofisini ndio utakuwa una pesa na maisha mazuri, mfano wa kazi hizo iwe profesional; udaktari, ualimu, afisa sijui nini na nini nk, au ofisi za kibiashara iwe duka, cash points nk Katika mihangaiko yangu kuna deals nafanya tofauti na kaduka kangu ka kuuza...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna siku mtasikia pesa imelipwa kampuni ya META ambayo inashutuma kubwa sehemu nyingi.

    Kwa kuwa mchakato bado ujamalizika na wengine wakisubiri juwa la jioni kuweka misamahaa yao kwenye vitabu. Kuna jambo mtakuja kubaki midomo wazi kuhusu META hii kampuni ya facebook na ubagazaji wa afrika kuficha maovu na nchi zinazo walipa mpaka urusi yupo,USA yupo,israel yupo,afrika ndio...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Nilivyotekwa na Pesa na Kuingia Kwenye Ndoa Ngumu

    Nilikuwa binti mtulivu sana ktk usichana wangu,mpaka naanza chuo mwaka wa kwanza simjui mwanaume kabisa,nilikuwa binti mzuri sana na mwenye tabia njema sikua na mapepe kabisa,nimelelewa kwenye familia ya uchumi wa chini kiasi. Nilipofika chuo nilipata mkopo na nikawa nautumia kujikimu pamoja na...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Wilaya ya Chato inachangisha pesa kwa wafanyabiashara kwa ajili ya Mwenge. Wakusanyaji wanaongozwa na mtendaji wa kijiji

    Halmashauri ya wilaya ya Chato inachangisha pesa kwa wafanya biashara kwa ajili ya mwenge. Wakusanyaji wanaongozwa na mtendaji wa kijiji Soma Pia: Viongozi wa Kijiji cha Mlimba B, Halmashauri ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero mkoani MOROGORO wananyanyasa wananchi Manyara: Mtendaji wa Kijiji...
  15. S

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Afya Halmashauri ya Wilaya ya Busega ajira ya kuanzia January 2025 hadi April 2026 hatujalipwa pesa za kujikimu

    HALMASHAURI YA WILAYA YA BUSEGA KUNA UTAPELI MWINGI KWA VIONGOZI TUNAOMBA WACHUNGUZWE. Mimi ni mwajiriwa kada ya afya ni nurse by professional, niliajiriwa mwaka Jana lakini cha kushangaza Toka turipoti kazini ni mwaka sasa na miezi umepita hatujalipwa pesa za kujikimu. Tumekuwa tukifatilia...
  16. JamiiForums Tanzania Singapore na Dubai kilikuwa kichaka cha pirate wa Naijeria,urusi leo Tanzania msije shangaa pesa zote ziko huko

    Mengine ni magumu kusema .Maana mpaka kuna watu wametengenezewa studio na ofisi wanaweza kucomment mtandao wa meta au TCRA ukafungiwa au kupotezwa kwa ushenzi wa watawala hawa wizi nje nje kisha muwazomee wakiwa na polisi nyie na mawe. BBc ijataka kuweka wazi Urusi na miamala ya kupeleka...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaogoma kuichangia pesa Chadema kwenye mikutano yake ya hadhara, wamechoka, hawana pesa au wamegundua wanatapeliwa?

    Ni nini kumetokea, hata wachangiaji kuacha kutoa pesa zao kuichangia chadema? Je, achangiaji wameshtukia wizi au utapeli wa pesa zao mchana kweupe? au kuna mapumziko ya kuomba kuchangiwa pesa? Hata wafuata mkumbo viherehere humu jukwaani, hawaelezi tena ikiwa pesa zimechangwa wapi, na ni...
  18. JamiiForums Tanzania Tusake pesa

    🍺🍻
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya 2026 USHETU DC hali ni tete. Hatujapewa PESA ZA KUJIKIMU

    Mkeka wa ajira ulitoka Januari 19 mwaka 2026. Hadi kufikia februari 10 mwaka huu waajiriwa wapya wote walikuwa wameripoti kazini. Halmashauri ya Ushetu mpaka sasa haijalipa posho ya kujikimu kwa kada zote na kumekuwa na taarifa mbalimbali kuhusu hilo. Jibu la awali lilikuwa kwamba pesa...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Ulifanikiwaje kuiendesha Ile biashara ya pembeni bila duka Kwa online na ukapata pesa kuingia rasmi mtaani Kwa vibali

    Ndio wengi hujaribu kabla ya kuingia rasmi je ulitumia mbinu gani Kwa wateja wa mbali na karibu usiseme tu mtandao SEMA SIRI YAKO YA MAFANIKIO. Itasaidia wengine kuepuka kukurupuka na mitaji yao ya kubahatisha
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…