pesa

  1. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe jinsi Hayati Magufuli alivyokataa pesa za Matajiri akiwemo Mzee Mengi katika kampeni zake

    Wazungu wanamsemo wao unasema " Scratch my back I Scratch yours " hii kwa kiswahili inaitwa nipe nikupe. Hicho ndo maCCM wanafanya dhidi ya matajiri. Je watakuja kulipa nini. Wakikwepa kodi or whatever watawafanyaje? Wafanyabiashara wa kiafrika wanamakandokando mengi sana ukiwachekea...
  2. JamiiForums Tanzania Klabu ya Yanga hawajachangia CCM pesa yoyote!

    Mimi ni SIMBA damu najuikana hivyo.. Na kama mtani wa jadi wa Yanga! Inapopata madhila nafurahi.. Ila kwa hili la kuchangia million mia moja nawatetea hawajafanya hivyo Vilabu vyetu hivi vya soka vingi vinaongozwa na wafadhili na wadhamini, hawana vyanzo vya uhakika vya kuwaingizia mapato...
  3. JamiiForums Tanzania LETA LAPTOP MBOVU NIKUPE PESA. 0767953873

    Bado nanunua Laptop mbovu leta nikupe pesa Ilala - Dsm 0767953873
  4. JamiiForums Tanzania Kiongozi huzuka na kukubalika ndani ya Macho na mioyo ya watu na si kwa nguvu ya dola wala Pesa

    GT 1. Uongozi ni talanta kutoka kwa mungu 2.Uongozi ni karama mtu aliyojaliwa. 3. Kiongozi hatumii nguvu nyingi kuwa kiongozi. 4. Kiongozi ni kimbilio la watu.kutatua changamoto zao. 5. Kiongozi huonekana hata kabla hajawa Kiongozi. 6. Kiongozi ni mtu mwenye maono. 7. Kiongozi anaona kule...
  5. JamiiForums Tanzania Utakatishaji pesa siku hizi unafanyika hadharani mbele ya vyombo vya habari

    Hii harambe ya CCM kuna harufu ya utakatishaji fedha TAKUKURU wafanye kazi yao
  6. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia akiwasili kwa Bashasha na Tabasamu Mlimani City katika Harambee ya Kuichangia CCM Billion 100. Watu Waandaa Maburungutu ya Pesa kuimiminia

    Ndugu zangu Watanzania, Hivi Ndivyo Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge...
  7. JamiiForums Tanzania Jengo linauzwa, mali ipo Dodoma kisasa, bei ni billion 1.2 pesa ya Tanzania

    #realestatetanzania GHOROFA LA KISHUA LINAUZWA. LOCATION: KISASA MUUNDO( 16 SELF CONTAINED ROOMS) AREA:1200 MSQ PRICE:1.2 BIL 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Nitaichangia CCM pesa ya Kampeni. Wewe je?

    Kufuatia wito wa viongozi wa Chama. Naahidi kuchangia CCM pesa kwa ajili ya Kampeni za uchaguzi Mkuu. NB: Nashauri UCHANGIAJI Pesa ya Kampeni CCM usiwe hiari. Kampuni za simu zitumike kukusanya pesa katika kila 1000/- ikatwe 300 ya kwenda kwenye uchangiaji huu. Jambo hili ni jema kwa maendeleo...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Eric Shigongo: Buchosa tulikuwa tunasafiri masaa tisa hadi Mwanza, sina pesa za kugawa mnihukumu kwa matendo yangu

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amesema kuwa barabara za sasa ni bora zaidi kuliko za miaka iliyopita, ambapo zamani ilichukua hadi saa 9 kusafiri kutoka Buchosa hadi Mwanza Mjini. Shigongo ameongeza kuwa katika kipindi cha miaka mitano ya uongozi wake, mapato ya halmashauri yameongezeka na...
  10. JamiiForums Tanzania Mzee wangu hashimu alianzisha chauma kama Mzee wangu Leo alivyofungua Gest house wapate pesa za uzeeni

    Salumu mwalimu Tanzania Bara usifanye kampeni ila fanya uko kwenu zanzibari ila bara ni aibu. Mzee rungwe alifungua au kuanzisha chauma Ili awe anashiriki uchaguzi anapata ruzuku maana mafao yoteeee aliongaaaaa Mzee wangu Leo yaani Jina la Babangu ni Leo ndio maana Mimi naitwa sifii Leo yee...
  11. JamiiForums Tanzania NYUMBA MPYA INAUZWA,IPO KUNDUCHI BEACH DARESSALAAM TANZANIA,NI NYUMBA NZURI SANAAA,NA IMEJENGWA KWA UBORA SANA,BEI NI BILLION 2 PESA ZA KITANZANIA

    #houseforsale Nyumba ya gorofa tatu ground floor 1) 1 bedroom en-suite 2) kitchen with separate dish washing room 3) kitchen pantry 4) laundry room 5) computer room 6) entertainment room 7) combined dining room area and sitting room area 8) separate sitting room 9) common toilet first...
  12. JamiiForums Tanzania Challenge ya kusave pesa UTT

    Wadau wa maendeleo hasa wanaume tukutane hapa kutekeleza hii challenge. Mimi nimeanza kwa kutoa pesa zote benki na kupeleka UTT UKWASI FUND na BOND FUND nimeweka huko.Panapo majaaliwa tukutane at 40.Life starts at 40. Baada ya comulative interest za miaka kama 15 hivi.Ntakuwa na uwezo wa...
  13. JamiiForums Tanzania Urithi sio Majumba na pesa pekee ila hata ukipita sehemu kila mtu anasema Baba yako alikuwa mtu mzuri na mtu huo pia ni urithi.

    Urithi sio majumba na pesa pekee Ila hata ukiwa unapita pita sehemu kadhaa watu wanakuambia baba yako alikuwa MTU bora na mwema huo pia ni urithi. Maana unajisikiaje Baba yako anakufa watu wanashangilia na kusema alikuwa MTU Mbaya Sana kuwahi kutokea duniani.
  14. JamiiForums Tanzania Napingana na wanaosema Usiweke pesa yote kwenye biashara mpya

    Watu wanao anza kufanya biashara kuna maneno wanakutana nayo utakuta mtu anomba ushauri vizuri ana million zake 20 mtu ana shauri tumia million 10 kumi iweke kwanza, au una million 5 utaskia tumia 3 mbili skilizia kwanza. Ukiona unapewa ushauri wa namna iyo ujue unapewa na mtu maskini au bado...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Kutoka kwa mjumbe: Baba Levo kamwaga pesa sio chini ya Bilion moja na nusu

    Nipo natoka safari kutoka dom kwenda dar nimekutana na mjumbe kutoka kigoma,anasema Baba levo kwa kura alizopata baba levo tofauti ya 80+ alimwaga pesa sio chini ya bilioni moja point mbili. Nimekubaliana na mjumbe maana kwa zile kula ukizngatia ni mgeni CCM kweli alipambana kwa kuhonga hizo...
  16. JamiiForums Tanzania Selcom Pesa: The East Africa Market Disruptor

    Selcom Pesa has emerged as a significant market disruptor in the financial services sector, particularly in Tanzania.1 Its disruptive strategy centers on providing a digital financial platform with a focus on affordability, convenience, and a wide range of services designed to serve both the...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 'Babalevo' amejiharibia, amepiga teke fuko la pesa!

    Clayton Chipando almaarufu kama Babalevo, aliyekuwa mtiania na mgombea wa ndani wa Ubunge kwa tiketi ya CCM Jimbo la Kigoma Mjini amejiharibia. Kama ulikuwa ni mtego, umemnasa. Kitendo chake cha kumpora 'kihuni' karatasi ya matokeo Katibu wake wa CCM wa Wilaya, aliyekuwa Msimamizi wa Uchaguzi...
  18. Y

    JamiiForums Tanzania Naombeni mawazo juu ya kazi yenye kutumia mtaji wa nguvu na akili

    Habari zenu wanajamii. Penye wengi pana mengi, Naombeni mnisaidie mawazo au ushauri, nina degree (I graduated last year). Nimepambana kwenye ajira ila naona wakati wangu bado japo sija give up sichoki kuapply. Kwa hiyo nkaona its better kuendelea na Plan B, Sasa hapa kuna biashara nmeifanyia...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Uko wapi pesa, nakuita pesa

    Habarini humu ndani dharau, kejeli na matusi yamekua nimengi sana mtaani. nimeamua kuzima zote kuwasha moja tu. Kelele zimekua ninyingi sana mtaani kuhusu kupata utajiri kwanjia ya kiganga (nazo pia zimekua ngumu kupata) NAHITAJI CONNECTION MOJA TU YAUHAKIKA YAKUNIFANYA NIPATE HIZO PESA...
  20. JamiiForums Tanzania Nimeuza kiwanja changu milioni 10, nataka ninunue bodaboda 3. Hii biashara mnaionaje?

    Nimeuza kiwanja changu jana kilichokuwepo Kibaha nimepata milioni 10 nikaona nifanye biashara ya bodaboda. Nizinunue 3 halafu niwape vijana waniletee hesabu. Je itanilipa wakuu Kwa mliowahi kufanya hii biashara au nitaingia loss?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…