pesa

  1. Ipi ni bidhaa yenye thamani zaidi: PESA au MUDA?

    Pesa ina kupa security na guarantee ya kuvuka mipaka mingi sana. Muda unakupa nafasi na fursa zaidi na zaidi. KARIBUNI.
  2. Maburungutu ya pesa waliyopewa waandishi wa habari pale Oysterbay yamewachochea kuandika habari za CHADEMA

    Ni wazi waandishi wa habari hivi sasa hawaandiki habari wanazozipata kutoka upande wa uongozi wa CHADEMA ikiwemo mikutano ya No Reform No Election, wao habari kuu pekee wanayoiandika, ni kuhusu wanaohama Chadema kumfurahisha aliyewamwagia maburungutu ya pesa.
  3. Nguvu ya kinga mvuto wa pesa

    Hii picha ya sigil Tayari ina: Nguvu ya kinga (alama ya jicho na siraha za ulinzi). Mvuto wa pesa (mfuko wa pesa na alama za mafanikio). Vichocheo vya nishati (alama za sayari, nyota, na pentagram). Unachotakiwa kufanya sasa: 1. Ichapishe au ichore kwenye karatasi ya kawaida nyeupe. 2...
  4. Pesa ya nchi inatumbuliwa kisawa sawa kupitia ukarabati wa viwanja vya mpira

    Siku hizi mpaka hapa kuna watu wanakula pesa wakiona nyuzi inagusa wahusika wanafuta.tusijichoshe.
  5. Private school uchwara na vyombo vya usafiri au ni kukosa pesa

    Hizi shule zikisha weka magari mawili tu nao wanajiona shule ni private school wakati ni kayumba pro max. Watoto mnawarundika kwenye basi utazani ZIP file kwenye computer. Yani ukisema watoke kwenye gari moja ni sawa na madarasa manne ya wanafunzi.
  6. Kuna ndenge ambayo private jate hipo kwa mtu fulani 2025 naona hii ndege sio makusudi kutumia pesa zetu

    Kuna ndege kama inatumiwa na watu wengine kwa kusingizia kuwa wanaotoa pesa ni watu furani. Ila hii ndege ni kama hipo kusikilizia 2025 someni code
  7. TET imekosa ubunifu au ni njia ya utakatishaji wa pesa za serikali

    Mimi naweza kuonekana mkorofi ila mwisho naweza kusema hakuna anayejali elimu ya Tanzania zaidi ya mislaid binafsi. Kumekuwa na semina ambazo hazileti matokeo chanya kwa sababu zinafikia watu wachache huku posho ikiwa njia ya ufujaji wa pesa bila lengo kufikia walimu wote. Natoa rai mfano...
  8. Kuepuka usumbufu, nakushauri usitume pesa kutoka Tigo/Yas kwenda mitandao mingine kuanzia saa 12 jioni. Be informed

    Yani tangu Tigo iwe yasi kuna mambo mengi ya kukera lakini kubwa zaidi ni changamoto ya kutuma pesa kutoka Tigo kwenda mitandao mingine has ikifika usiku. Imagine unatuma pesa, kisha wanakwambia usubiri masaa 72 ndio utapata majibu kama pesa itarudi au itafika kwa mhusika. So kujiepusha na...
  9. Wanaotuma na kupokea pesa kwa mitandao ya Simu waongezeka

    WANAOTUMA NA KUPOKEA PESA KWENYE MITANDAO YA SIMU WAMEONGEZEKA Sekta ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeendelea kukua ambapo takwimu zinaonesha kuwa laini za simu zilizosajiliwa zimeongezeka kutoka milioni 73.5 kwa mwezi Aprili, 2024 hadi laini milioni 90.4 mwezi Aprili, 2025 sawa na...
  10. Tetesi: Wananchi wamchangia pesa Basila Mwanukuzi kugombea Jimbo la Kawe

    Wananchi toka Oyster bay, Mikocheni, Kawe, Mbezi Beach, Tegeta, Mbweni na Bunju wamemchangia pesa ya kuchukua fomu na ya kampeni Miss Tanzania na Mkuu wa Wilaya Mstaafu Mheshimiwa Dr Basila Mwanukuzi ili kumuwezesha kunyakua Jimbo la Kawe kwenye uchaguzi Mkuu ujao
  11. Ufisadi wa Kutisha: Wanasiasa na Viongozi wa Umma kununua viwanja kwa Mabilioni ya Pesa huko Arusha! Watanzania tusiposimama imara, tumekwisha

    Kuna tuhuma nzito zimetolewa zikiwa na ushahidi kuhusu Viongozi wa Kisiasa na Utumishi wa Umma kununua viwanja kwa mabilioni ya pesa huko Arusha. Kwenye tuhuma hizo zilizotolewa usiku huu na Mtanzania Mange Kimambi kupitia Akaunti yake ya X zimeonesha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Paul Makonda...
  12. B

    Kwanini CCM inatumia pesa nyingi sana kwenye chaguzi wakati wananchi wake ni maskini sana, dawa hospitalini hakuna, madawati hakuna na ajira hazipo?

    Niende moja kwa moja kwenye mada Fedha za CCM zinatumika zaidi na zaidi kwenye uchaguzi mkuu 1. Ina lipa zaidi ya TSH 5B kununua wapinzani(Kuna tetesi kuwa G55 wamepewa fedha za kutosha ) 2. Ina lipa zaidi ya tsh 1B kulipa wasanii(Kwenye kampeni zao zote hata sizizo na ushawishi na ulazima...
  13. S

    Ujumbe wa vitisho ninaotumiwa na Really Pesa, je ni sahihi?

    Nilikopa mkopo kutoka Really pesa na tarehe ya mwisho niliambiwa ni kesho ila wameanza kunitumia ujumbe wa vitisho. Ujumbe huu hapa chini " DHARAU, KIBURI NA KUPUUZIA TARATIBU UNAZOWEKEWA NA KAMPUNI ZITAFANYA UCHUKIE MIKOPO. NA USIPOKUWA MAKINI LEO UTAKOSA HAMU YA KUKOPA TENA. PUUZIA TU...
  14. Ukuaji wa Pesa Taslimu hasa wingi wa Noti kubwa (10,000) kuna Changamoto za Kiuchumi?

    Kulingana na ripoti ya BoT ya robo ya mwisho ya 2024, mzunguko wa fedha Tanzania unaonyesha ukuaji wa kushangaza, lakini pia unaonesha mapungufu ya kiuchumi yanayohitaji uchunguzi wa kina. Pesa taslimu iliyo nje ya mifumo ya benki imepanda kutoka trilioni 4.5 mwaka 2020 hadi trilioni 7.3 mwaka...
  15. Maigizo ya kuigiza. Yani unatumia pesa nyingi kuigiza uongo. Kitu ambacho hakipo

    Nimemfuatilia huyu Kiduchu na bosi wake, nimegundua wanapoteza muda mwingii sana kufosi kuleta kitu mjini ambacho hakipo. Hakuna mahusiano kama haya kati ya Boss na House girl. Vitu vya kuigiza vipo vingi. Watafute Contents nyingine.
  16. Mapenzi pesa

    Nilimpenda kwa dhati. Sio kwa sababu ya uzuri wake tu, bali kwa namna alivyonifanya nihisi – kuwa mimi ni wa thamani, hata nilipokuwa sina kitu. Lakini mapenzi peke yake hayakulisha njaa, hayakulipa kodi, hayakunipa uwezo wa kumtoa hata mara moja. Siku alipoondoka, alisema kwa sauti ya upole...
  17. N

    Rais Samia azidi kutapanya pesa za umma, amwagia mamilioni ya shilling chawa wa Ruto, Cassypool anayetarajia kuwasili Tanzania kumnadi kwenye uchaguzi

    Wakati umma wa Watanzania ukiendelea kushuhudia huduma mbovu za kijamii kama ukosefu wa madawa hospitalini, miundombinu mibovu ya barabara, huduma mbovu za maji e.t.c, Samia ameendelea kuhonga pesa za umma kama njugu kwa chawa wake na awamu hii ametanua mipaka mpaka Kenya. Tanzania imepatwa na...
  18. JINSI YA KUTUMIA CANVA KUTENGENEZA PESA MTANDAONI (ONLINE)

    📌 HATUA KWA HATUA: JINSI YA KUTENGENEZA PESA KUPITIA CANVA 1. Fungua Akaunti ya Canva (Free au Pro) Tembelea www.canva.com na fungua akaunti yako. Tumia toleo la bure kwa kuanza, lakini ukitaka templates na picha zaidi — Canva Pro ni suluhisho bora. 2. Jifunze Kuunda Designs Zinazouzwa 👉 Badala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…