Maofisa wa Polisi wilayani Bahi-Dodoma, wanawanyang'anya raia pesa zao

incredible terminator

JF-Expert Member
Aug 1, 2016
2,229
3,525
Habari za leo wakuu, tusiende mbali ningeomba mamlaka kama humu JF zinapata pita basi zipitie hili, maana hata pakulalamikia hatuna nilishaenda TAKUKURU zaidi ya mara moja ila ninaambiwa niende polisi hukohuko Wilayani BAHI sasa swali langu ni je tangu lini mtuhumiwa akapewa nafasi ya kujitolea hukumu?

Kama hizi taasisi kama TAKUKURU wanashindwa kutekeleza majukumu yao waturuhusu sisi wenyewe tutadeal nao najua wao wanasiraha za moto ila siraha ya moto si chochote mbele ya chuma cha chogo kwa mwenye hasira aliyekupania pasipokujijua,

Hawa polisi wanawanyanyasa sana wafanya biashara wadogo wanaotegemea minada ili kuendesha shughuli zao.
Wanachokifanya huwa siku za minada wanachukua Gari lao wanaenda wanatafta eneo la njia panda ambayo inaelekea mnadani wanapaki gari lao vichakani na wao kujibana pembeni ya barabara, kinachofanyika huwa ni kila anaepita na chochote, awe na kuku anapeleka mnadani wanamkamata, awe na mbuzi au awe na bodaboda na belo lake la mitumba wanamkamata kisha wanakaa nao.

Kama mnavyojua wafanya biashara wanaopenda kuwahi wanawatoza pesa kiasi cha elfu 30 hadi 20 na kisha kuwaachia, cha kushangaza ni kwamba wanamkamata bodaboda na kama mnavyofahamu bodaboda za ndugu zetu wa vijijini huwa ni chombo za kazi wakimkamata mtu wanampigia kila kosa elfu 30.

Hebu imagine wanakagua kuanzia sitemirror, indicators, tyre, helmet, lessen, breaklite, drivingboot, unakuta bodaboda mmoja anapigiwa galama ya laki3 au nne kisha wanakuomba ulipe 20 au 30 wanakuachia na usipolipa wanashinda na bodaboda yako siku nzima hadi watakapoondoka ndio wanazioacha au mda mwingine wanaweza kuondoka nazo, na kama mnavyojua watu sio kwamba hawajui haki haki wanazijua ila wanawatengenezea mlolongo ambao unaona ni bora tu uwape hela ili wakuachie uendelee na mambo yako,

Nimekutana nao katika minada karibia yote wilayani BAHI Ikiwemo MNADA WA NONDWA, MNADA WA MDEMU, MNADA WA LAMAITI, MNADA WA KIGWE, MNADA WA BAHI, na taarifa zilishawafikia TAKUKURU lakini mlolongo unarudi kuwa ulele, kiufupi nilitegemea kwamba TAKUKULU wangekuwa upande wangu kuwa siku nikiwakuta niwapgie waje washuhudie kinachofanyika ila mambo niliyoambiwa TAKUKURU ni yaleyale kuwa nikiwaona nipige simu Kituo cha polisi kilichopo karbia na mimi sasa hapa nikajiuliza unashtakije polisi mbele ya polisi mwenzie?
 
Watakuja mkuu,wamekusikia hata wasiposikia Mungu anawaona na sikio lake si zito.
Nasiponiskia ninawaahidi kuna mmoja wao tutakuja kusikilizana akhera hawa jamaa kuna siku wameniudhi sana mungu mkubwa sikuwa na kitu cha uhakika ambacho ninaamini nikikitumia100% lazima niuwe, na ndio maana wakachukua pesa zangu maana sitaki nijeruhi kisha wakanitese huko nataka niuwe kabisa nami wanimalize tutakutana huko akhera kila mtu aacha familia yake inasota.
 
Huku kwetu juzi polisi kapigwa jiwe la kichwa, kamwaga damu halafu alikuwa mbishi oooh mfanyabiashara akamwambia nifuate nikumalizie, Polisi alilia balaa, baadae walivyofika wenzie anawauliza eti' jamani nitapona kweli? Niwaisheni hospitali.

Yaani mfanyabiashara kabeba mkaa wake kwenye pikipiki akauze, polisi akawa analazimisha mkaa ushushwe eti hana kibari
 
Huku kwetu juzi polisi kapigwa jiwe la kichwa,kamwaga damu afu alikuwa mbishi oooh mfanyabiashara akamwambia nifuate nikumalizie,Polisi alilia balaa, baadae walivyofika wenzie anawauliza eti' jamani nitapona kweli? Niwaisheni hospitali.

yaan mfanyabiashara kabeba mkaa wake kwenye pikipiki akauze,polisi akawaanalazimisha mkaa ushushwe eti hana kibari
Yeye afisa misitu,mambo mengine tunamuunga mkono shetani bila kutuomba.!
 
Huku kwetu juzi polisi kapigwa jiwe la kichwa,kamwaga damu afu alikuwa mbishi oooh mfanyabiashara akamwambia nifuate nikumalizie,Polisi alilia balaa, baadae walivyofika wenzie anawauliza eti' jamani nitapona kweli? Niwaisheni hospitali.

yaan mfanyabiashara kabeba mkaa wake kwenye pikipiki akauze,polisi akawaanalazimisha mkaa ushushwe eti hana kibari
na watauliwa sana ninchojua sio wote ila most of them wanautawala wakimabavu sana
 
Huku kwetu juzi polisi kapigwa jiwe la kichwa,kamwaga damu afu alikuwa mbishi oooh mfanyabiashara akamwambia nifuate nikumalizie,Polisi alilia balaa, baadae walivyofika wenzie anawauliza eti' jamani nitapona kweli? Niwaisheni hospitali.

yaan mfanyabiashara kabeba mkaa wake kwenye pikipiki akauze,polisi akawaanalazimisha mkaa ushushwe eti hana kibari
 
Huku kwetu juzi polisi kapigwa jiwe la kichwa,kamwaga damu afu alikuwa mbishi oooh mfanyabiashara akamwambia nifuate nikumalizie,Polisi alilia balaa, baadae walivyofika wenzie anawauliza eti' jamani nitapona kweli? Niwaisheni hospitali.

yaan mfanyabiashara kabeba mkaa wake kwenye pikipiki akauze,polisi akawaanalazimisha mkaa ushushwe eti hana kibari
hahahahahahahaha anataka kujua kama atapona. Ila polisi ni kero sana wamekuwa adui na raia. Ndio maana siku hizi wanajificha nguo.zao kwenye vibegi.
 
Habari za leo wakuu, tusiende mbali ningeomba mamlaka kama humu JF zinapata pita basi zipitie hili, maana hata pakulalamikia hatuna nilishaenda TAKUKURU zaidi ya mara moja ila ninaambiwa niende polisi hukohuko Wilayani BAHI sasa swali langu ni je tangu lini mtuhumiwa akapewa nafasi ya kujitolea hukumu? kama hizi taasisi kama TAKUKURU wanashindwa kutekeleza majukumu yao waturuhusu sisi wenyewe tutadeal nao najua wao wanasiraha za moto ila siraha ya moto si chochote mbele ya chuma cha chogo kwa mwenye hasira aliyekupania pasipokujijua,

Hawa polisi wanawanyanyasa sana wafanya biashara wadogo wanaotegemea minada ili kuendesha shughuli zao,
Wanachokifanya huwa siku za minada wanachukua Gari lao wanaenda wanatafta eneo la njia panda ambayo inaelekea mnadani wanapaki gari lao vichakani na wao kujibana pembeni ya barabara, kinachofanyika huwa ni kila anaepita na chochote, awe na kuku anapeleka mnadani wanamkamata, awe na mbuzi au awe na bodaboda na belo lake la mitumba wanamkamata kisha wanakaa nao.

Kama mnavyojua wafanya biashara wanaopenda kuwahi wanawatoza pesa kiasi cha elfu 30 hadi 20 na kisha kuwaachia, cha kushangaza ni kwamba wanamkamata bodaboda na kama mnavyofahamu bodaboda za ndugu zetu wa vijijini huwa ni chombo za kazi wakimkamata mtu wanampigia kila kosa elfu 30 hebu imagine wanakagua kuanzia sitemirror, indicators, tyre, helmet, lessen, breaklite, drivingboot, unakuta bodaboda mmoja anapigiwa galama ya laki3 au nne kisha wanakuomba ulipe 20 au 30 wanakuachia na usipolipa wanashinda na bodaboda yako siku nzima hadi watakapoondoka ndio wanazioacha au mda mwingine wanaweza kuondoka nazo, na kama mnavyojua watu sio kwamba hawajui haki haki wanazijua ila wanawatengenezea mlolongo ambao unaona ni bora tu uwape hela ili wakuachie uendelee na mambo yako, nimekutana nao katika minada karibia yote wilayani BAHI Ikiwemo MNADA WA NONDWA, MNADA WA MDEMU, MNADA WA LAMAITI, MNADA WA KIGWE, MNADA WA BAHI, na taarifa zilishawafikia TAKUKURU lakini mlolongo unarudi kuwa ulele, kiufupi nilitegemea kwamba TAKUKULU wangekuwa upande wangu kuwa siku nikiwakuta niwapgie waje washuhudie kinachofanyika ila mambo niliyoambiwa TAKUKURU ni yaleyale kuwa nikiwaona nipige simu Kituo cha polisi kilichopo karbia na mimi sasa hapa nikajiuliza unashtakije polisi mbele ya polisi mwenzie?

MWISHO NATOA ANGALIZO KAMA HILI HALITASHUGULIKIWA MAPEMA KUNA SIKU MTATANGAZIWA HAPA ASKARI KALA CHUMA CHA CHOGO NA GAIDI KAFA, NA GAIDI ALIEMSHAMBULIA KAUWAWA ALAFU HAMTAONA TENA POST ZA TERMINOTOR.
Dumila kuna polisi mmoja.mpuuzi sana anatembea na gari la serikali kama mali yake kutishia raia. Wanasiasa wamewajaza ujinga sana polisi angalia JW wanavyoheshimika. IGP na Simbachawene wajitafakari ni ajabu sana mlinzi wa raia na mali zao akiuliwa raia wanafurahi. Kuna shida.
 
Huku kwetu juzi polisi kapigwa jiwe la kichwa,kamwaga damu afu alikuwa mbishi oooh mfanyabiashara akamwambia nifuate nikumalizie,Polisi alilia balaa, baadae walivyofika wenzie anawauliza eti' jamani nitapona kweli? Niwaisheni hospitali.

yaan mfanyabiashara kabeba mkaa wake kwenye pikipiki akauze,polisi akawaanalazimisha mkaa ushushwe eti hana kibari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za leo wakuu, tusiende mbali ningeomba mamlaka kama humu JF zinapata pita basi zipitie hili, maana hata pakulalamikia hatuna nilishaenda TAKUKURU zaidi ya mara moja ila ninaambiwa niende polisi hukohuko Wilayani BAHI sasa swali langu ni je tangu lini mtuhumiwa akapewa nafasi ya kujitolea hukumu? kama hizi taasisi kama TAKUKURU wanashindwa kutekeleza majukumu yao waturuhusu sisi wenyewe tutadeal nao najua wao wanasiraha za moto ila siraha ya moto si chochote mbele ya chuma cha chogo kwa mwenye hasira aliyekupania pasipokujijua,

Hawa polisi wanawanyanyasa sana wafanya biashara wadogo wanaotegemea minada ili kuendesha shughuli zao,
Wanachokifanya huwa siku za minada wanachukua Gari lao wanaenda wanatafta eneo la njia panda ambayo inaelekea mnadani wanapaki gari lao vichakani na wao kujibana pembeni ya barabara, kinachofanyika huwa ni kila anaepita na chochote, awe na kuku anapeleka mnadani wanamkamata, awe na mbuzi au awe na bodaboda na belo lake la mitumba wanamkamata kisha wanakaa nao.

Kama mnavyojua wafanya biashara wanaopenda kuwahi wanawatoza pesa kiasi cha elfu 30 hadi 20 na kisha kuwaachia, cha kushangaza ni kwamba wanamkamata bodaboda na kama mnavyofahamu bodaboda za ndugu zetu wa vijijini huwa ni chombo za kazi wakimkamata mtu wanampigia kila kosa elfu 30 hebu imagine wanakagua kuanzia sitemirror, indicators, tyre, helmet, lessen, breaklite, drivingboot, unakuta bodaboda mmoja anapigiwa galama ya laki3 au nne kisha wanakuomba ulipe 20 au 30 wanakuachia na usipolipa wanashinda na bodaboda yako siku nzima hadi watakapoondoka ndio wanazioacha au mda mwingine wanaweza kuondoka nazo, na kama mnavyojua watu sio kwamba hawajui haki haki wanazijua ila wanawatengenezea mlolongo ambao unaona ni bora tu uwape hela ili wakuachie uendelee na mambo yako, nimekutana nao katika minada karibia yote wilayani BAHI Ikiwemo MNADA WA NONDWA, MNADA WA MDEMU, MNADA WA LAMAITI, MNADA WA KIGWE, MNADA WA BAHI, na taarifa zilishawafikia TAKUKURU lakini mlolongo unarudi kuwa ulele, kiufupi nilitegemea kwamba TAKUKULU wangekuwa upande wangu kuwa siku nikiwakuta niwapgie waje washuhudie kinachofanyika ila mambo niliyoambiwa TAKUKURU ni yaleyale kuwa nikiwaona nipige simu Kituo cha polisi kilichopo karbia na mimi sasa hapa nikajiuliza unashtakije polisi mbele ya polisi mwenzie?

MWISHO NATOA ANGALIZO KAMA HILI HALITASHUGULIKIWA MAPEMA KUNA SIKU MTATANGAZIWA HAPA ASKARI KALA CHUMA CHA CHOGO NA GAIDI KAFA, NA GAIDI ALIEMSHAMBULIA KAUWAWA ALAFU HAMTAONA TENA POST ZA TERMINOTOR.
Wiraya ndiyo nini au ulimaanisha wilaya au ulaya? Jifunze lugha ya taifa kuondoa aibu vinginevyo tutakuona wewe si mtanzania.
 
hivi hawa viongozi inamaana hawaoni hizi kero za hawa polisi. kila kona polisi wamekuwa kero.

mama tatizo kazubaa sana watamtoboa adi na vidole kwenye macho. ukicheza na kima utavuna mabua na atavuna mabua huyuu mama.
 
Habari za leo wakuu, tusiende mbali ningeomba mamlaka kama humu JF zinapata pita basi zipitie hili, maana hata pakulalamikia hatuna nilishaenda TAKUKURU zaidi ya mara moja ila ninaambiwa niende polisi hukohuko Wilayani BAHI sasa swali langu ni je tangu lini mtuhumiwa akapewa nafasi ya kujitolea hukumu? kama hizi taasisi kama TAKUKURU wanashindwa kutekeleza majukumu yao waturuhusu sisi wenyewe tutadeal nao najua wao wanasiraha za moto ila siraha ya moto si chochote mbele ya chuma cha chogo kwa mwenye hasira aliyekupania pasipokujijua,

Hawa polisi wanawanyanyasa sana wafanya biashara wadogo wanaotegemea minada ili kuendesha shughuli zao,
Wanachokifanya huwa siku za minada wanachukua Gari lao wanaenda wanatafta eneo la njia panda ambayo inaelekea mnadani wanapaki gari lao vichakani na wao kujibana pembeni ya barabara, kinachofanyika huwa ni kila anaepita na chochote, awe na kuku anapeleka mnadani wanamkamata, awe na mbuzi au awe na bodaboda na belo lake la mitumba wanamkamata kisha wanakaa nao.

Kama mnavyojua wafanya biashara wanaopenda kuwahi wanawatoza pesa kiasi cha elfu 30 hadi 20 na kisha kuwaachia, cha kushangaza ni kwamba wanamkamata bodaboda na kama mnavyofahamu bodaboda za ndugu zetu wa vijijini huwa ni chombo za kazi wakimkamata mtu wanampigia kila kosa elfu 30 hebu imagine wanakagua kuanzia sitemirror, indicators, tyre, helmet, lessen, breaklite, drivingboot, unakuta bodaboda mmoja anapigiwa galama ya laki3 au nne kisha wanakuomba ulipe 20 au 30 wanakuachia na usipolipa wanashinda na bodaboda yako siku nzima hadi watakapoondoka ndio wanazioacha au mda mwingine wanaweza kuondoka nazo, na kama mnavyojua watu sio kwamba hawajui haki haki wanazijua ila wanawatengenezea mlolongo ambao unaona ni bora tu uwape hela ili wakuachie uendelee na mambo yako, nimekutana nao katika minada karibia yote wilayani BAHI Ikiwemo MNADA WA NONDWA, MNADA WA MDEMU, MNADA WA LAMAITI, MNADA WA KIGWE, MNADA WA BAHI, na taarifa zilishawafikia TAKUKURU lakini mlolongo unarudi kuwa ulele, kiufupi nilitegemea kwamba TAKUKULU wangekuwa upande wangu kuwa siku nikiwakuta niwapgie waje washuhudie kinachofanyika ila mambo niliyoambiwa TAKUKURU ni yaleyale kuwa nikiwaona nipige simu Kituo cha polisi kilichopo karbia na mimi sasa hapa nikajiuliza unashtakije polisi mbele ya polisi mwenzie?

MWISHO NATOA ANGALIZO KAMA HILI HALITASHUGULIKIWA MAPEMA KUNA SIKU MTATANGAZIWA HAPA ASKARI KALA CHUMA CHA CHOGO NA GAIDI KAFA, NA GAIDI ALIEMSHAMBULIA KAUWAWA ALAFU HAMTAONA TENA POST ZA TERMINOTOR.
Waambie tu hao Police kuwa Hamza Mohammed katoka Kufufuka hivi punde na yuko njiani kuja ( kuelekea ) huko kufanya Muendelezo wa kile kile alichokifanya jana katika Mikoko ya Daraja la Salenda na Ubalozi wa Ufaransa hivyo wajiandae, waage kabisa na wasisahau Kuandika Urithi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom