Miongoni mwa mambo ninayo yangoja kwa hamu ni kuingia mojakwamoja peponi. Naomba kuuliza wataalamu wa maandiko endapo peponi kuna nyama choma yenye pilipili kwambaali na limao.
Imeandikwa tutakula vinono, naomba kujua kama kuna mwenye menu tafadhali.
Lamomy wewe paradiso isahau, kwasababu...