pendwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. idiomer

    Benk zetu pendwa wakati wa kupunguza riba sasa

    Kama benk zetu mbili zinazofanya vizuri sokoni zimepata faida maradufu kwa mara ya kwanza na haijawahi tokea.. Je hawaoni sasa ili kuonesha ukubwa na kurudisha gawio kwa wananchi kutoka mikopo kwa riba ndogo hata 10% kwa wafanyakazi?? Faida yao means RIBA ni kubwa pia asilimia 17% ...
  2. and 998 others

    SGR pamejaa dini pendwa?

    Aisee pamejaa jamaa zetu kama wote(kuanzia ukaguzi, tiketi na wahudumu) kasoro zile kazi za kutumia akili na Nguvu ndo huwakuti. Eeh Mola tunusuru waja wasitudhuru
  3. Mshana Jr

    Ni kipi chama pendwa zaidi Tanganyika

  4. T

    Azam Tv mnavyozidi kujitangaza msisahau kuongeza/maintain chaneli Bora kuwe na machaguo tofauti

    Mfano sasa ivi kwenye tamthlia/filamu mmeziondoa au kushindwa kuzibakisha chaneli za muvi za Kinaijeria za AMC chanel na AMC series, Wakati wenzenu DStv wanazo mpaka chanel za tamthlia/muvi za Wasauzi,Ghana na Kenya na za Lugha zao za makabila... Hivyo kwenye muvi machaguo ni machache, mteja...
  5. Yoda

    Argentina, Taifa pendwa la Elon Musk na Trump America Kusini lazidi kuzama kwenye mdororo wa uchumi, Trump apanga kulipa billion 20$

    Uchumi wa Argentina umezidi kufanya vibaya chini ya utawala wa Rais Javier na kuwa katika hatihati ya kuanguka kutokana na utawala mbovu wa Rais huyo hali inayopelekea Marekani kuandaa kitita cha dola billion 20 kuukomboa. Javier ni swahiba mkubwa wa Trump na mtindo wao wa uongozi na siasa...
  6. a sinner saved by Christ

    Upi ni mstari wako pendwa katika kitabu cha biblia unaokupa nguvu, faraja, amani, tumaini, silaha/ushindi katika vita vya kiroho?

    1)Zab 68:20 Mungu kwetu sisi ni Mungu wa kuokoa; Na njia za kutoka mautini zina YEHOVA Bwana. 2)Yohane 14:13 Na chochote mtakachoomba kwa jina langu nitafanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana. 3)Zab 46:1 Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, Msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso...
  7. N

    Halafu kuna watu sijui walizaliwa na bahati gani wengine tulikosa, Yani mtu ana pendwa kila sehemu, watu wanajitoa kwajili yake, anaweza kuishi popote

    Hadi wengine mnaweza kudhani mlikanyaga chura au mlirukwa mkiwa wachanga na watu wenye mikosi 😂 Ni zaidi ya kismati waweza dhani kuna mitishamba Mtu yupo kawaida tu lakini hata azingue kazini bosi anaona kawaida, Iga wewe sasa !, mtu akifikia sehemu tayari kiwingu kimemzunguka cha watu, awe...
  8. Zee la madawa

    Hili la wanawake kutokuwa na bikra linanichefua hasa hasa kwa hii dini yetu pendwa ya kikristo

    Ni ngumu sana tena sana kukutana na bikra Leo hii hili jambo kiukweli linanichefua sana tena sana na hii ni ngumu kukutana na bikra kwa upande wa hii dini yetu pendwa ya kikristo ni ngumu asilani abadani yaani umkute mwanamke bikra wa kikristo hilo ni mwiko kabisa tofauti na kukutana na bikra...
  9. Oscar Lyrics

    Ugali dagaa: Moja ya vyakula vyangu pendwa kabisa

    Kwangu ugali dagaa ni full burudani
  10. M

    Tufungulieni mtandao wetu pendwa wa X wengine tunafaida nao.

    Viongozi wenye mamlaka serikalini eleweni si wote tunafata maudhui ya ngono huko X,bali huko tunapata kuhabarika,kujifunza mambo mbalimbahi muhimu kama makala za afya,elimu,tarifa nk.Kwa upande wangu mi sijawahi kuona hayo mnayosema maudhui ya ngono msemayo.Sasa kuufunga ni kututendea kwa chuki...
  11. JanguKamaJangu

    Soka sio mchezo pendwa namba moja Nchini Finland, unaoongoza ni ice hockey

    Wakati Barani Ulaya inajulikana wazi kuwa mchezo wa soka (Football) ndio namba moja kwa kupendwa na kufuatiliwa zaidi na Watu, Nchini Finland hali ni tofauti, wao mchezo wao namba moja ni ice hockey. Mchezo huo unaongoza kwa umaarufu na kwa kufatiliwa na watu wengi Finland, hii inajumlisha...
  12. Mr Beach Boy

    Hizi ndio kauli zangu pendwa kutoka kwa mshana Jr

    Kupitia post na mazungumzo na Mr IQ intelligence mshana Jr The platinum nimejifunza haya hapa. 01.Waganga wanafanya KAZI kwa kumuomba Mungu, na wewe usimuombe Mungu kupitia mganga(Muombe Mungu moja kwa moja utafamikiwa) 02.Sema sana ongea sana ila Usiombe yakukute. 03.kwenye maisha Kuna...
  13. S

    Lissu angekuwa Dikteta wa CHADEMA, Dalili ni wanachadema kukikimbia Chama

    CHADEMA mbinu za kuwaleta au kuwatumia makasisi na maustaaz baada ya kuzimwa wamejaribu kumreta Kirua, hivi hawa waliopo Tanzania akina hawatoshi kumtetea mkubwa wa kudharau wenzake? Mimi nawaambia Lissu ni mtu mwenye dharau ya juu sana, ile sura yake ukimuangalia kwa makini utaiona dharau yake...
  14. S

    Tuongelee kuhusu Matunda tuyapendayo

    Binafsi Matunda ninayoyapenda ni Parachichi, Papai, Ndizi Mbivu, Nanasi, Matunda Damu na Machungwa. Karibuni kila Mtu ataje Matunda yake pendwa.
  15. Jerry001

    Filamu zangu 10 pendwa ambazo nimezihifadhi kwa quality ya 4K

    Salamu wakuu kwenye jukwaa la burudani. Maisha ya mwanadamu ni mafupi, hivyo hata kama hatuna kipato kikubwa hatuna budi kujitafutia furaha sisi wenyewe maana muda hausimami na umri unaenda. Si bora kukosa vyote mafanikio na furaha. Moja ya vitu vinavyonipa raha ni filamu, najua kila mtu ana...
  16. BabaMorgan

    Kiepe kina Kila sababu ya kuwa chakula pendwa

    Unapokosa hamu ya chakula na una njaa basi jaribu hii option chipsi yai, nyama na soda baridi. Chipsi Ina ladha nzuri compared na wali au ugali. Chipsi Ina historia baadhi ya mabinti wamepoteza usichana wao wengine wamekuwa single mother huku ndoa nyingine zimevunjika hii Inathibitisha kuwa...
  17. Samia atosha tukutane2030

    Tuliwaambia kuwa bodaboda na Bajaj sio kazi mkabisha. Sasa ingia mjini na bodaboda yako ndipo utajua kuwa bodaboda ni taulo la chama pendwa

    Sasa bodaboda au Bajaj hawaruhusiwi hata kuonyesha pua mjini maeneo maalumu yaliyotengwa. Ukipenyapenya kwa ujanja ujanja ukidakwa utajuta kwanini ulizaliwa. Oyaa tafuteni kazi nyingine. Kufa kama nzi mnakufa Bima ya afya hamna Michango kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii hamna . Amkeni.
  18. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Nilijikuta napendwa sana kisa kusema ahsante kila ninunuapo bidhaa kwake

    Wakuu Ikumbukwe hakuna formula.Usiige na tusiigane. Niliwahi pendwa sana na muuza duka jinsia ya kike asee kisa na mkasa nilikuwa na tabia ya kusema ahsante sana kila anapo nihudumia. Ni umri wa makamo kiasi kwamba anaweza kuwa mama bila shaka kabisa. Huyu maza alinielewa sana akaona isiwe...
  19. Mparee2

    AIR Tanzania, ndege yetu pendwa!

    Naomba niwakumbushe tu hawa wenzetu kuwa Sababu mojawapo kubwa kabisa inayofilisi mashirika ya ndege ni kuto kuaminika. Kuaminika maana yake ni kuwa na ndege ambayo abiria hana uhakika kama itasafiri, lakini muhimu zaidi, itasafiri kwa wakati uliopangwa kwenye ratiba. Hii ni kwa sababu, watu...
  20. G

    kinywaji chetu pendwa grandmalt kimeingiliwa na viwanda bubu ? kwanini za elf 2 zipo ofauti na za 2.500

    Bei ya Grand malt iliyozoeleka ni elf 2 na mia tano lakini sikuhizi kuna maduka unapata kwa elf 2 Nilianza kununua za elf 2, Sijajua kama koo na ulimi wangu vina matatizo lakini nahisi kuna vitu vimepungua kuanzia ladha, ubaridi, gesi, jinsi inavyopita kwenye koo, n.k. Nimeanzisha uzi huu...
Back
Top Bottom