pascal mayalla

  1. JamiiForums Tanzania Wakili Msomi Pascal Mayalla, umemsikia Prof. Shivji? Bado unatuita watanzania Wajinga?

    Pengine Prof. Tibaijuka unaona labda anazeeka haraka, Pengine Lissu unamuita Mwanaharakati, Pengine Mbowe unamuona asiye na taaluma ya Sheria na wewe tu ndio mwanasheria, pengine Akina Dr Nshala, Akina TEC na Watanzania hawa mtaani ambao sass wanaamini Nchi imeuzwa, wanahoji kwanini Mkataba...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Akili za Chifu Mangungo wa Msovero

    Kati ya viongozi ambao hawakupaswa kuandikwa hata kwenye vitabu vya kihistoria ni chifu Mangungo wa Msovero maana ni kielelezo kibaya sana na cha aibu kwa Taifa letu. Siku nikifanikiwa kuwa kwenye nafasi ya kufanya maamuzi, nitapiga marufuku kabisa kwa viongozi wote wenye kariba ya Chifu...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi viongozi wetu mnajiskiaje kwa kutomteua Pascal Mayalla kulitumikia taifa letu

    Sito andika sana katika uzi huu bali nitatoa swali tu. Hivi viongozi wetu mnajiskiaje kwa kuto mteua Pascal Mayalla kulitumikia taifa letu? Yaani hapa lazima kieleweke. Kwa kuanzia Bwana Pascal Mayalla anafaa kuwa mkuu wa mkoa au wilaya au mkurugenzi au mbunge wa kuteuliwa. Kati ya hizo...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vizuri

    Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vzuri.
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa NECTA: Usimamizi wa mitihani kwa shule za Sekondari na Msingi

    Habari watanzania! Hivi karibuni Katibu mkuu wa NECTA aliyepita sasa ni naibu katibu mkuu TAMISEMI, ametuachia jambo geni kwenye usimamizi wa mitihani.anyway labda lina tija au wapo kwenye utafiti wa mfumo sijui kwanza nikwamba zamani ilikuwa walimu wa SEKONDARI walisimamia mitihani ya...
  6. JamiiForums Tanzania Orodha ya Majina ya CCM walioteuliwa kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki

    Orodha ya Majina ya CCM walioteuliwa kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki
  7. K

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayala mbona huchambui uamuzi wa Januari Makamba na kampeni yake ya kugawa majiko ya gesi Kanda ya Ziwa

    Ankali, Paskal Mayala kuna mjadala mkubwa wa kitaifa unaoendelea humu kuhusu Waziri wa Nishati, Januari Makamba mbona hufanyi uchambuzi wako juu ya yanayoendelea. Umeaacha wadau wengine humu na Global Tv peke yao Why?
  8. JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla Mzee wa makala za "Kwa maslahi ya Taifa", mbona uko kimya bei ya sembe imefika 1,800/- kwa kilo

    Pascal Mayalla nakusalimu. Nimekuwa msomaji na mfuatiliaji mzuri sana wa makala zako ulizozibandika jina la "Kwa Maslahi ya Taifa". Kupitia makala hizi nimekuwa nikijifunza vitu mbalimbali na bingo sana. Kikubwa zaidi nilichojifunza, hizi makala zipo kwa ajili ya kuwaponda wapinzani na...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini nikimtizama mtu anajikwaa au anaanguka?

    Habari za muda huu wana JF. Naomba kufahamu hii inamaana gani? Kwa zaidi ya miaka 3 sasa nimekuwa nikimtizama mtu anajikwaa au anaanguka. Hii hali imekuwa inanishangaza sana. Nimejaribu kuuliza wadau ila hakuna mahali nimepata jibu la kuridhisha. So nimewasilisha kwenu ili niweze kupata...
  10. JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla; Hongera kwa kushinda vita dhidi ya Ndugai

    Hapo ni April 2018. Kwangu nililiona hili kama ni personal vendetta dhidi ya uhuru wa habari na dhidi ya mwandishi mbobezi Bwana Pascal Mayalla japo mpaka leo hajawahi kutujuza ni nini kulikuwa matokeo ya kikao hicho. Tunajuwa kimoja tu kuwa walikukatia biashara zako za PPR kwenye sekta mbali...
  11. JamiiForums Tanzania Je, wajua haramu isipoharimishwa inageuka halali? Na batili isipobatilishwa inageuka halali. Je, tuhalalishe ubatili huu kwa mhimili wetu wa Bunge?

    Wanabodi, Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama kawaida yangu, kila nipatapo nafasi, huwa natoa makala elimishi za kisiasa, kiuchumi na kijamii ziitwazo "Kwa Maslahi ya Taifa" kwa lengo la uzalendo kwa nchi yangu, kuisaidia nchi yetu, serikali yetu, viongozi wetu na...
  12. JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla:Krisimasi ni siku ya kutoa na kukumbuka wenye mahitaji.

  13. JamiiForums Tanzania Marekebisho makubwa ya sheria za Jinai nchini

    Marekebisho makubwa katika sheria za Jinai nchini Tanzania: Na. M. Majaliwa, Esq. Tulikwishapoteza mwelekeo, hatukuwa tena nchi yenye kustahili kujinasibu kwa tunu za Uhuru, Haki, Udugu na Amani ambazo kimsingi zimetajwa kama sehemu ya misingi ya katiba yetu, rejea sehemu ya Utangulizi ya...
  14. JamiiForums Tanzania Execution of Decree in Tanzania

    This is the book which pacts with the significant area of practice in law, ‘Execution’, especially in Tanzanian context. It covers almost all important areas of the law and therefore gives answers to all possible questions which a law student and law practitioners like practicing advocates...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla: CHADEMA watengeneze kwanza Katiba mpya ya chama chao kabla ya kukimbilia katiba ya nchi, wawatendee haki wabunge 19

    Mwandishi wa habari nguli nchini na mwanasheria Pascal Mayalla amesema Chadema wanapaswa kurekebisha kwanza katiba ya chama chao kabla ya kukimbilia kudai katiba mpya ya nchi. Pascal amesema Chadema hawana fedha za kuitisha kikao cha kujadili rufaa za wabunge wake wa viti maalumu sasa fedha za...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa wateule hawa, bora Pascal Mayalla asiteuliwe maana itakuwa kumdhalilisha tu

    Haiwezekani kichwa kilichojaa nondo na busara kama Pascal Mayalla kiwe kwenye teuzi na kundi moja la wanasiasa kama hawa. Ukiangalia majina yalivyotoka ni wazi kuwa majina anapelekewa mwenye mamlaka ya kuteua bila kuangalia nani anafaa na ananondo za nguvu kiasi gani. Ushauri tu kwa kada wa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ni matumaini yangu wana CHADEMA wote si tu mmemsikia bali mmemuelewa vyema tu Kada wa CCM Pascal Mayalla

    " Ili CHADEMA tuwaamini kuwa AGENDA yao ya Kudai Katiba Mpya ina Mashiko na wana Hoja ya Msingi hebu wao kama Chama waanze Kwanza kuonyesha kuwa wanaheshimu Katiba ndani ya Chama chao ambapo kuna uvunjifu mkubwa tu wa Katiba " Pascal Mayalla Nukuu hii nimeitoa baada ya Kumsikia na Kumtizama...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla kutoka kuwa Mwandishi Nguli hadi Mtangazaji wa kawaida East Africa Radio inamaanisha nini katika Tasnia?

    Je, kwa hali hii ina maana Tasnia ya Habari nchini imekuwa Kimafanikio au imeshuka na sasa imeanza kupoteza Umuhimu nchini? Binafsi kwa Hadhi ya Unguli wa Habari aliokuwa nao Pascal Mayalla nilitegemea leo hii angekuwa anamiliki Chombo chake kikubwa sana cha Habari nchini Tanzania na siyo kuwa...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla alitabiri mwaka 2017 kuwa Samia atakuwa Rais wa JMT baada ya 2020

    Pascal Mayalla aliandika "Ingekuwa ni amri yangu, ningemwambia tuu naniliu aamue 2020 asigombee his second term, na badala yake, ampishe ili awe huyu mama!. Mungu ambariki sana Mama Samia na kuwabariki wanawake wote leo siku ya Wanawake Duniani." -Paskali. Hii aliiandika hapa JF Mar 9, 2017...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla amchambua Dkt. Bashiru, adai aliandaliwa kuwa Rais 2025

    Mwana JF nguli, Akihojiwa Radio DW Pascal Mayala, amemchambua Dr Bashiru. Amesema Dr Bashiru kapata ajali kubwa sana kisiasa na hatoinuka tena. Pia kadai Magufuli amiini usiamini alikuwa akimwandaa Dr Bashiru kuwa Rais 2025. Mayala amedai Dr Bashiru aliyeibukia kuwa Katibu Mkuu wa CCM baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…