pasaka

Pasaka Cinema (Lithuanian: Pasakos kino teatras) is a former Art Deco style movie theater in Kaunas, Lithuania. At that time of the opening, the cinema was amongst the most modern in Kaunas.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Sipatii picha waraka wa TEC wa pasaka utakuwaje

    Ndugu zangu kutokana na kilichotokea october 29, siupatii picha waraka wakina padri kitima utakuaje aisee
  2. Pascal Mayalla

    Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!

    Wanabodi, Saa hizi ni saa 12 :00 asubuhi, kumekucha na makucha yake! Siku ya leo, tarehe 21,leo ndio siku ya siku, imebatizwa jina la ”The Twenty First to remember!”, yaani ni ”Ishirini na moja ya kukumbukwa!”。 Saa mbili kamili usiku,yule Mwamba Humphey Polepole anapanda live kupitia...
  3. N

    PreGE2025 Wakili Kibatala: Tundu Lissu kugomea kula chakula Gerezani mpaka haki ipatikane

    Leo Mei 3, Mawakili wanaomtetea mshtakiwa Tundu Lissu wanazungumza na Watanzania kupitia vyombo vya habari. https://www.youtube.com/live/qwDj_39LjYk?si=p81m5_E7ICnpOth1 Kibatala: Intelijensia inayotumika kuthibiti maandamano ingetumika kuepusha kushambuliwa kwa Padre.Kitima na Mdude...
  4. Heparin

    PreGE2025 Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti

    Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuwaachilia mara moja na bila masharti viongozi wa kisiasa waliokamatwa kwa kudai haki, likisisitiza kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kulinda amani ya taifa, hasa kuelekea mwaka wa uchaguzi. Rais wa TEC na Askofu...
  5. L

    Familia ya muimbaji Christina shusho

    Tuliohudhuria mtoko wa pasaka huyu muimbaji Christina shusho hana ndugu? Mbona wasanii wakiwa na tafrija wakiitwa ndugu hujitokeza kwa wingi sana ...vipi kwa huyu dada yetu na mbona siasa ni nyingi kuliko muimbaji wake
  6. M

    TEC haijatoa WARAKA wa Pasaka 2025

    To be honest, mwaka huu TEC haijatoa waraka wa Pasaka 2025. Na siyo lazima TEC itoe waraka. Tamko la askofu wa jimbo la Lindi ni tamko/maoni yake binafsi, SIYO waraka wa TEC. Kila askofu alichokisema kwenye salaam za pasaka au mahubiri ya pasaka ya mwaka huu ni mafundisho yake binafsi. Vyombo...
  7. Tlaatlaah

    Tanzania hapatawahi kutokea rais mwanamke mstahimilivu, mwenye subra na maono, hekima na busara kama za kiutawala kama Samia Suluhu

    Ni neema na baraka za Mungu Tanzania imebarikiwa kua na kiongozi mbeba maono ya waTanzania wo ambae mstahimilivu na mwenye subra kama Dr.Samia Suluhu Hassn, licha ya chuki na upotoshaji unaoelekezwa dhidi yake na wanasiasa waliopoteza uelekeo wakiungana na viongozi wa dini kwasababu Dr.Samia...
  8. Just Pray

    PreGE2025 Mtoko wa Pasaka: Chama cha muziki wa injili Tanzania, idara ya wanawake badala ya kumsifu Mungu wanaimba “Mama Samia Kazi iendelee”

    Usiku wa mtoko wa pasaka matukio mengi yamefanyika kichawa sana :4WeirdJam: tulitegemea iwe sehemu ya kuusifu utukufu wa Mungu kwa kumtoa mwanaye wa pekee aliyetukomba kwa msalaba dhidi ya madhambi yetu lakini unasikia kwaya inamsifu Rais Samia na kuimba apewe mitano tena, hovyoo:AAAA::AAAA:
  9. THE BIG SHOW

    Maaskofu kugeuza Ibada ya Pasaka kama jukwaa la kuisemea CHADEMA ni kujitoa ufahamu, mlikuwa wapi wakati Lissu anazungumza lugha za uchochezi?

    Friends and our Enemies, Kama kawaida yao, maaskofu wameendelea na maigizo yao ya kujifanya kuwa wao Wana uchungu zaidi na nchi hii kuliko viongozi wowote wale wa dini. Kinachoshangaza Episodes hizi hujirudia rudia zama baada ya zama,TENA hususan Kiongozi pale juu anapokuwa mfuasi wa Allahu...
  10. S

    PreGE2025 Msimamo wa Rais Samia juu ya kurekebisha kanuni, kauli za viongozi wa dini wakati wa pasaka, zinaweza kuipeleka Tanzania kwenye mgawanyiko wa kidini

    Kuna wakati lazima viongozi wetu wawe na uwezo wa kuona mbali kwamba wanapaswa kutokweka misimamo ambayo athari zake zitakuwa mbaya huko mbeleni. In fact, kuwa na msimamo tofauti na matakwa ya wengi na ushauri wa watu wenye hekima ni kuwa na kiburi Hili suala la kubadili kanuni za uchaguzi...
  11. The Palm Beach

    Hii statement ya TEC iliyo katika waraka wao wa pasaka na kunukuliwa toka kwa Askofu na Rais wao Wolfang Pisa, inapaswa kuwa pinned hapa...

    Katika hali ya kawaida nani anaharibu amani..? "....Je, ni anayetumia nguvu kubwa na kusisitiza uchaguzi uende anavyotaka yeye au yule anayesema jamani turudi mezani ili tuangalie mifumo yetu ya uchaguzi, kwani kwa mfumo wa sasa hauwezi kutupatia viongozi wa haki na wa kweli...?" Askofu...
  12. Carlos The Jackal

    Huyo ndio Mwijaku , ambaye CCM inamchukulia kama kioo chake Cha Jamii

    Kwa Chama kinachojitambua na kinachoamin katika UTU, Mwijaku alitakiwa kupigwa Marufuki kushiriki Shughuli zozote za kichama Kwa jina la chama. Ila Kwa kua ni CCM , ukiangalia CCM Kwa akili ya chekechea tu bila hata kuanza darasa la kwanza , utagundua ni chama ambacho asilimia Kubwa ya Watu...
  13. M

    Ipi impact ya matamko ya Pasaka na Christmas katika siasa?

    2015, 2019,2020,2024 na 2025? Naona ushindi kila tukienda unaengezeka Nini impact yake
  14. Mwachiluwi

    Tupike pasaka pamoja live

    Hello Kesho nafikiri tupike pamoja JF hapa hatua kwa hatu ratiba yetu itakuwa hivi Morng Saa moja na nusu tutaanda chai ambapo kutakuwa na bagia za dengu na maziwa Mahitaji ya bagia 1) unga wa dengu 2) chapa maandazi / barking powder 3) dania 4) karoti 5) chumvi Baada ya hapo mchana tutaanda...
  15. H

    Tuwatambue Maadui Wa Haki wa Taifa Letu

    Taifa letu linapitia nyakati ngumu za ugandamizaji wa haki, demokrasia na uhuru wa maoni. Mambo haya hayakuanza ghafla bali yamekuwa yakizidi kuongezeka na kuota mizizi. Leo mtu anayeikosoa Serikali au Rais, kutekwa, kupotezwa, kuuawa au hata kubambikiwa kesi mbaya, imekuwa ni jambo la...
  16. Alvin_255

    Waraka wa PASAKA: Kwenu Vijana wa Ovyo, Lini 'Mtafufuka' Kama Bwana Yesu?

    Hali Halisi ya Kizazi Kilichopotea Katika hali ya kawaida, Pasaka ni kipindi cha tafakari kuu kwa Wakristo na wasio Wakristo pia—kipindi cha kutafakari maana ya mateso, kifo, na ufufuko wa Yesu Kristo. Huu ni wakati ambapo maisha mapya yanahimizwa, msamaha unatafutwa, na mwelekeo mpya...
  17. Pascal Mayalla

    Pasaka ni Sikukuu ya Ukombozi na Ushindi Dhidi ya Dhulma, Je Tuitumie Kuombea Uchaguzi Uwe Huru na wa Haki, au Uwe Kama Kawa, Kama Alivyosema Nape?.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo ambayo ni Sikukuu ya Pasaka. Pasaka ni sikukuu ya ukombozi na ushindi dhidi ya dhambi zozote ikiwemo dhambi ya dhulma ya uchaguzi, Je tuitumie Pasaka hii kuombea uchaguzi wetu uwe uchaguzi huru kweli na wa haki kweli, au...
  18. M

    Pasaka hii Ina uhusiano na ujenzi wa nchi ya Kidemokrasia ya Tanzania

    Upatikanaji wa Taifa la Kidemokrasia ni muhimu sana kama kupatikana uhuru wa Taifa. Hatuhitaji kumwaga damu ya Mtanzania yeyote Ili kuwa na Nchi ya Kidemokrasia. Damu ya Yesu Kwa mateso makali ilimwagika Kwa ajili ya ukombozi wa mwanadamu. Yesu alishinda kifo na mauti Ili tuwe huru. Tundu Lisu...
  19. ELI COHEN

    Upi ni msimamo wa Wasabato kuhusu sikukuu za Krisimasi na Pasaka?

    Misimamo wa Wasabato imekuwa ya utofauti kwa kiasi kikubwa kulingana na Wakristo wengine. Vp kuhusu hizi siku kuu mbili wanaendana nazo? Na kama haziko katika mifumo yao, je kwao tarehe sahihi za Yesu kuzaliwa na Yeu kufufuka?
  20. Rorscharch

    Utu Uzima Feki: Kukua kwa Umri Lakini Kukwama kwa Nafsi

    Asubuhi hii ya Pasaka, tunapoamka tukisikia mlio wa mataifa ukisherehekea ushindi dhidi ya kifo, tunakumbushwa kuwa Pasaka haimaanishi tu ufufuo wa Yesu, bali pia ni mwaliko wa kufufuka kwetu—kiroho, kiakili, na hata kijamii. Katika mwangaza huu wa asubuhi takatifu, tunapaswa kutafakari: Je...
Back
Top Bottom