ovyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Troll JF

    Netanyahu "Bibi" Jioni hii Kapost kwenye Mtandao wa X

    Waziri Mkuu wa Israel Benyamin Netanyahu maarufu kama Bibi ambaye pia ni komando wa zamani wa Jeshi la Israel IDF ametumia ukurusa wake wa X kupost na kuzima tetesi ambazo zilikua zinasambaa kwa kasi kuwa kauwawa Myahudi amepost kuzima tetesi zote...
  2. A

    KERO Kero ya umeme Halmashauri ya Itigi Wilaya ya Manyoni

    Kuna tabia ya kukata umeme ovyo kila mara kulikoni sehemu zingine tunaomba tanesco wachukue hatua maana kukatika ovyo kwa umeme imekua kero ya muda mrefu
  3. FORBIDDEN HISTORY

    Huwa inakuwaje pale mwanaume kujihusisha kingono ovyo ovyo hadi kupelekea kuharibu ufanisi wa maisha yake kiroho.?

    Tumesikia stori kuwa inaweza tokea mwanaume kulala na mwanamke huyo mmoja wa kukutana nae mtaani (mchepuko, kahaba, etc) ikapelekea kuvuta energy hasi zilizomo ndani yake au sijui ni nini haswa kinatokea katika ile exchange hadi kupelekea kuharibu aura yake. Wale wajuzi wa hili swala...
  4. Sifi Leo

    Hivi Halotel inamilikiwa na CCM, kama Chanel Ten au? Wanahuduma za ovyo kama vyoo vya HALIMASHAURI.

    Nina uliza halotel wanamilikiwa na ccm au? Tuna siku ya Saba uwezi weka Hela au ht kutoa Hela yaani wanahuduma za OVYO km vyoo vya HALIMASHAURI what's wrong with halotel in Tanzania?; Soma Pia: Mnaoweka pesa HALOPESA kuweni makini
  5. Mussa Ramadhani Mussa

    KERO Vijana wa kabila la Kimasai wanapiga watu ovyo barabarani wapitapo Arusha

    Habari zenu wakuu, Nipo hapa kuelezea Kero inayotupata Wananchi kutoka kwa vijana wa KIMASAI jijini Arusha. Vijana Hawa wamekuwa na Tabia ya kupiga, kudhalilisha, kunyanyasa na kutweza utu wa watu kila WAPITAPO kwa makundi barabarani. Juzi walimpiga bodaboda maeneo ya ofisi za Halmashauri ya...
  6. ngara23

    DPP epuka kushitaki ovyo kesi za Uhaini na Ugaidi Kisiasa, Waharifu wanaweza kutumia mwanya huo kuyatenda kweli

    DPP nakuonya mno Kwa uzalendo wangu na ujuzi wangu kidogo kwenye mambo ya usalama Kumezuka tabia ya kushitaki ovyo mahakamani haya makesi ya Uhaini na Ugaidi na kuutangaza kwenye media ili hali ni mambo ya Kisiasa na yapo wazi hivo Haya matendo ni mabaya mno hakuna nchi inayataka hata...
  7. ELI COHEN

    Tukiwa tumebakiza miezi miwili ya kumaliza mwaka, hadi sasa tukiwa ukingoni, huu ndio uzi wa ovyo wa mwaka huu kwa upande wangu

    👇🏻👇🏻👇🏻 "Uislamu hauruhusu mambo haya dhidi ya Mtawala: Kumkosoa hadharani, kumdhalilisha, kufanya maandamano na kutoka dhidi yake" https://www.jamiiforums.com/threads/uislamu-hauruhusu-mambo-haya-dhidi-ya-mtawala-kumkosoa-hadharani-kumdhalilisha-kufanya-maandamano-na-kutoka-dhidi-yake.2346643/...
  8. mwanamwana

    Onana kwaheri Manchester United, hakuna tena kufungwa ovyo

  9. Inside10

    Kamwaga atembelea Ubalozi wa Cuba kuhakiki bei ya Gesi

    Mjadala kuhusu bei ya gesi ya majumbani nchini Cuba umeendelea kuchukua sura mpya baada ya kurushiana maneno kati ya mwanahabari na mchambuzi wa siasa Ezekiel Kamwaga na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole. Agosti 29, 2025, Polepole kupitia mitandao ya kijamii...
  10. kibori nangai

    M/kiti wa UVCCM wa kipindi hiki hata hana reasoning capacity ya kutosha

    Huyu dogo M/kiti wa UVCCM wa kipindi hiki hata hana reasoning capacity ya kutosha na hii tunapima kwa namna ya anavyoshare view yake kwenye social media. Honest hata hii UV CCM imepwayaa na haina.mvuto na ni kwa sababu viongozi wake wenyewe thinking capacity ni ndogoo.
  11. Sifi Leo

    Hii Idara ni nyeti lakini inatumika ovyo kwa Nini?

    Angalia kulia na kushoto mwa Mh Rais wote ni maafisa vipenyo najiuliza wapi tunafeli?
  12. M

    FAFLU AMEIFANYA SIMBA ICHEZE OVYO SANA KWA MFUMO WAKE, PIRA BIRIANI HAKUNA TENA.

    Mimi nikiwa shabiki wa simba kikweli siridhiki na mbinu za FADLU, SIMBA imekuwa timu ambayo haichezi kama timu ambayo tumeizoea na tunafurahia mpira. Watu wanampa sana sifa huyu kocha lakini uwezo wake umeishia hapa hawezi tena kuibadili timu hii naomba atafutwe kocha mwenye uwezo wa mbinu...
  13. Sigara Kali

    Huyu demu wangu hapa home ananenepa ovyo ovyo nifanyaje kumdhibiti

    Kama mada inavyojieleza Baada ya kuchoka kuishi peke yangu nikaamua kutafuta binti wa kuishi nae ni mrembo wa 2005 Mwanzo naanza kuishi nae alikua na kamwili fresh kadogo dogo laini tumbo flat Ila ndani ya miezi 6 niliyoishi nae binti kanenepa ovyo kitambi cha maana hadi nakosa mood nae...
  14. Beira Boy

    Kanisa la Iran linashambuliwa papa Leo 14 yuko kimya. Papa Francisco asingekubali wala kukaa kimiya, watu wanauawa ovyo huko Iran bila huruma

    Tumsifu YESU KRISTO watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Mda huu nimekaa roho yangu imeniuma sana kwa kweli Kwan dunian hapa hatuwezi zungumza tu tukaelewana mpaka tuuwane jaman Leo nimetizama jinsi watu wa Iran wakikimbia Tehran kuokoa maisha yao aisee nimehuznika sana Mda huu Israel...
  15. ngara23

    Ukiwa kijana Fanya biashara au shughuli ya kukutoa, sio kupoteza muda kwenye biashara za ovyo

    Tuambizane ukweli ambao watu wengi huwa hatuambiani, Huwa tunafarijiana tu Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam aliwambia vijana huwezi kutoboa maisha Kwa kuuza uduvi, watu wakamwijia juu Huo uvivu wa kukataa kumwaga jasho na kuumiza akili ndo hivo tunauwa vijana wanakosa ubunifu na kuishia kuwa...
  16. Roving Journalist

    Waziri Jumaa Aweso awataka Wananchi kulinda mazingira ya vyanzo vya maji kwa kuacha kukata miti ovyo

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amewataka wananchi kulinda mazingira ya vyanzo vya maji kwa kuacha kukata miti ovyo na kufanya shughuli za kibinadamu ili kuepuka ukame. Ametoa wito huo mara baada ya kutembelea mabanda ya maonesho wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani leo Juni 2, 2025...
  17. J

    Dini zimetutengenezea wananchi wajinga na wanasiasa majambazi. Ambao wamekuwa watawala wa ovyo kupita washenzi

    Wanajamii forums, naomba niwasalimie tu kwa ufupi. Habari zenu wote? Nimatumaini yangu kuwa wote muwazima kama hamjatekwa na serikali ya watekaji. Leo nataka niseme kitu kimoja ambacho nimeonyeshwa na mababu zangu walio tangulia Aridhini. Nimekaa nikaongea nao nikiwa peke yangu . Maongezi...
  18. ERTUGRUL BEY

    Watanzania Tuache Kukurupuka Ovyo

    Nimesoma habar ya kujeruhiwa kwa kiongozi mmoja wa dini akiwa anapata kiraji canteen Na polisi wamedai wamemkata mtuhumiwa tayar ,ina maana uchunguzi unaendelea na bilashaka tutapata majibu hivi karibuni Kinacho nisikitisha zaidi ni tabia yetu ya kukurupuka na kutoa lawama ambazo hata hazina...
  19. Alvin_255

    Waraka wa PASAKA: Kwenu Vijana wa Ovyo, Lini 'Mtafufuka' Kama Bwana Yesu?

    Hali Halisi ya Kizazi Kilichopotea Katika hali ya kawaida, Pasaka ni kipindi cha tafakari kuu kwa Wakristo na wasio Wakristo pia—kipindi cha kutafakari maana ya mateso, kifo, na ufufuko wa Yesu Kristo. Huu ni wakati ambapo maisha mapya yanahimizwa, msamaha unatafutwa, na mwelekeo mpya...
  20. Fbn

    Nyumba ya kupanga ila masharti ya kupanga usinywe pombe na usipende kula ovyo

    Nyumba hii kodi bei ndogo ila kutokana na jeografia yake kama kichwa cha habari utakubaliana nayo.
Back
Top Bottom