out

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa 'Visa' ambavyo Kocha Nabi anawafanyia Yanga SC sasa niseme tu Kocha Pablo 'out' na Yeye 'Msimbazi' kunamkaribisha

    Kila kukitokea tu 'Break' ya FIFA Calendar Kocha Nabi atataka Kuondoka kwenda Kwao au Ubelgiji na huwa hahitaji Yanga SC imlipie Tiketi ball kuna Mtu Mmoja upande wa Pili ndiyo humgharamia. Mara kwa mara Kocha Nabi amekuwa akiombwa Kujikita zaidi na Yanga SC Kimafunzo ila Yeye kila ambapo Klabu...
  2. Equation x

    JamiiForums Tanzania Toaneni 'out' kwa uhai wa uhusiano wenu

    Maisha ya mahusiano ni matamu sana, kama utapata mtu sahihi. Na utamu wake, muwe mnasikilizana; na sio kumfanya mtoto wa mwenzio kuwa mzazi wako, kwa kumbebesha majukumu ambayo hata wazazi wako waliyashindwa. Kutoka toka 'out' kunanogesha sana uhusiano; hasa ile 'out' ya kulala huko muendako...
  3. afrique

    JamiiForums Tanzania Note 20 ultra screen black out

    Nimenunua hii simu mwaka jana mwezi wa tisa Mwaka huu mwezi wa pili simu imezima tu screen ghafla, haijadondoka,haijakwaruzika hata screen Imetumwa samsung Dar wanasema ni FAULT which means sina mchango kwenye kuharibika kwa hiyo screen Kikombe kiko kwa wakala wao niliponunua Arusha (mhindi...
  4. MSAGA SUMU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuiombee Kenya: Kenya ranked 30th hungriest nation out of 116 countries

    The report ranks Kenya at position 87 out of the 116 countries that were considered globally. 23% of Kenyans go to sleep on an empty stomach, according to the report. More than 650,000 children under five years require treatment for malnutrition. Kenya is ranked the 30th hungriest nation among...
  5. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa in and out, kinachoumiza sio kukopa ni matumizi ya kinachokopwa

    Hii dhana ya deni la taifa huwa inawapa shida sana watu wengi. Shida kubwa inakuja kwenye usahihi wa upimaji wa deni la taifa. Kuna njia mbili za kuangalia deni la taifa. 1. Absolute term - hii ni kama Ndugai alichofanya leo. Kuangalia deni la taifa kama namba mfano ni kusema deni limefika...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Aliyesoma Elimu ya Masafa(ya Mtandao) kama Open University akikutana na waliosoma UDSM, SAUT na Mzumbe anatakiwa Kuchangia lolote?

    Inawezekana vipi 'Wanamume' wameumia Darasani huko UDSM, SAUT na Mzumbe halafu Wewe uliyesoma OUT ( hapo Biafra ) na Kupata Degree ( Shahada ) yako tukikutana Vijiweni uwe na la Kuchangia? Elimu ya Masafa 'inamheshimisha' Mtu kweli au ndiyo labda 'inamdharaulisha' mbele ya wale Waliohudhuria...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Binti agundua mpenzi wake ana mahusiano ya kimapenzi na mama yake mzazi

    Huyu mama wa binti mmoja tu, mchacharikaji anaemiliki guest house kama 20 katika miji tofauti. Yeye hakuwahi kuolewa na sexual life yake ni ya siri sana. Kumbe hupenda kuvinjari na vijana akiwa anatembelea guest zake. Binti yake aliyemsomesha mwenyewe baada ya kumaliza shule na kupata kazi...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Jumaa Aweso anatunikiwa shahada ya uzamili ya uongozi, Zanzibar huko

    Katika mahafali ya 40 ya chuo kikuu huria cha Tanzania yanayofanyika viwanja vya Mao Tse Tung, Mjini Magharibi Zanzibar. Waziri wa Maji Jumaa Aweso anajipatia Masters Degree ya Uongozi. Wengine wanaopata shahada za uzamili ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo. Aidha Mume wa Tulia Ackson anajipatia...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Biashara United nje mashindano ya CAF. Hatarini kufungiwa, Mlezi yuko wapi? Jasho la Simba lapotea bure

    mlezi anaweza kutafuta milioni 15 fastafasta kwenye mechi vs simba(hata kama ni za wauza magodoro) ila kwenye issue muhimu akihojiwa anakuambia siwezi toa hela zangu za mshahara sasa pre match meeting huko benghazi libya imemalizika , Baadaye AHLY TRIPOLI wanaingiza team uwanjani watakaguliwa...
  10. Sumba-Wanga

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ni cha Serikali?

    Nimekuwa najiuliza kama Chuo Kikuu Huria au OUT ni chuo cha serikali. Inakuwaje chuo cha serikali kikawa na mambo ya ajabu namna hii? Sisi Walimu kutoka nje tuliofanya kazi kama external examiners kwenye kazi za wanafunzi tuna zaidi ya miezi 6 hatujalipwa. Tukiuliza tunaambiwa utaratibu mpya wa...
  11. jollyman91

    JamiiForums Tanzania Mali reaches out to private Russian security firms in snub to France

    Mali has approached private Russian security companies for help in its fight against terrorism following the French government’s “unilateral” decision to “abandon” the West African country. Russian Foreign Minister Sergey Lavrov confirmed to reporters during a press conference at the UN...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Gomez Da Rosa and Chris Mugalu out, imetosha

    Najua kuna mtakaonipinga sana, cha kwanza Chris Mugalu hata kama wakija Bayern munich hapa akawafunga kwangu nitalichukulia ni lijinga tu limepiiga fluke halina tofauti na Giroud tena afadhali ya yule mzungu hata goal anajua liko wapi Kuhusu kocha nilimpenda sana mwanzoni ila ukweli ni kwamba...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Wazazi tukumbuke kuwatoa out watoto siku moja moja! (Nimegundua wazazi wengi tunafungia sana watoto)

    Familia nyingi sana! Watoto wanaishi kwa masikitiko! Kila Siku mama au baba anatoka kwenda kazini! Huku watoto hasa wale ambao hawajaanza shule wakibaki kulilia safari! Kibaya zaidi watoto hawa wadogo 1yr to 3yrs wanauwezo mkubwa wakujua vazi la mama au baba la kushindia nyumbani na lile la...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Ohhh No!!! Hacker Leaks Fresh Copies Of Judith Heard's Nude Pics, She Cries Out For Help

    International model and city socialite Nalongo Judith Heard is currently under panic after fresh copies of her n#de pics getting leaked on social media, she claims it was hackers but how did they get hold of content in her phone? According to Judith Heard, she has revealed that she lost her...
  15. mshale21

    JamiiForums Tanzania Pangua ya Baraza la Mawaziri yanukia

    Uteuzi wa Dk Stergomena Tax kuwa mbunge, unaibua hisia kama ni mwanzo wa Rais Samia Suluhu Hassan kupangua Baraza la Mawaziri. Dk Stergomena, mwanamke mwenye heshima kubwa kwenye uga wa kidiplomasia, anaingia bungeni kipindi ambacho Taifa halina Waziri wa Ulinzi kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa...
  16. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda MPs endorse tax on passengers flying out of Uganda

    Parliament has adopted a raft of recommendations to revive the economy, currently battered by the Covid19 pandemic, key among which is the implementation of a Tourism Development Levy. “The Committee proposes a levy of $10 to be charged on each ticket for every person who departs from Uganda by...
  17. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda President Museveni: Guinea coup leaders 'should get out'

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametoa wito kwa viongozi wa mapinduzi nchini Guinea ''kuondoka'', akisema kuwa mapinduzi hayo ni ''hatua za kurudi nyuma''. ''Wanapaswa kuambiwa waondoke kwasababu wao si suluhisho la nchi,'' Bw. Museveni aliiambia France 24. ''Tulikuwa nayo mapinduzi miaka ya...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kimueumana: Djuma na Aucho out Yanga

    Huenda Djuma Shabani na Aucho wasiwe sehemu ya kikosi Cha Yanga kitakochokikabiri Rivers United wikiend hii baada ya kuenea kwa taarifa kuwa CAF wamewapa taarifa hiyo Yanga, kufuatia timu zao za zamani kuchelewesha kutuma hati yake ya uhamisho (ITC ). Imeelezwa ITC zimechelewa kutumwa kutokana...
  19. Bemendazole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania PSSSF, TPA mmekubali tupigwe na Wakenya kwa knock out?

    Kama mnavyojua majirani wanapenda kuishi kwa janja janja nyingi. Kutokana na uwezo mdogo wa kujenga majengo marefu, they are cheating kwa kupandisha minara mireefu juu ya majengo yao ili kuyaingiza kwenye chati za uongo na kweli za majengo marefu. Hili sio jambo geni. Mtifuano kama huu...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Eeeh bwana eeeh Kikosi bora Euro2020 Lukaku ndani Ronaldo out

    Wakuu salaam, Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Euro wametoa kikosi bora cha Mashindano lakini Goal Machine Mr CR7 hajatokea ilihali yeye ndiye katunukiwa ufungaji bora. Inawezekanaje hii. Hii ni hujumaaa. Euro irudiwe irudiwe irudiwe Tazama kikosi bora cha mashindano katika picha...
Back
Top Bottom