President Museveni: Guinea coup leaders 'should get out'

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
746
3,058
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametoa wito kwa viongozi wa mapinduzi nchini Guinea ''kuondoka'', akisema kuwa mapinduzi hayo ni ''hatua za kurudi nyuma''.

''Wanapaswa kuambiwa waondoke kwasababu wao si suluhisho la nchi,'' Bw. Museveni aliiambia France 24.

''Tulikuwa nayo mapinduzi miaka ya 1960- yalikuwa sehemu ya matatizo ya Afrika hivyo ninalaani mapinduzi (ndani ya Guinea)''.

Rais wa awamu tatu wa Guinea Alpha Conde aliondolewa madarakani Jumapili na wanajeshi wa kikosi maalumu cha jeshi.

Walimshutumu kwa matumizi mabaya ya ofisi na rushwa.

Mapinduzi yamelaaniwa nje ya taifa hilo, lakini raia wengi wa Guinea wameunga mkono kuondolewa kwa Bw. Condé, 83, huku wakilitaka jeshi kuhakikisha utawala wa kiraia unarejea.

Bwana Museveni ameiambia France 24 kuwa uamuzi wake wa kukubali wakimbizi wa Afghanistan ulikuwa sababu za ''kibinadamu''.

-----
In an exclusive interview with FRANCE 24, Ugandan President Yoweri Museveni condemned this week's coup d’état in Guinea, describing it as "a step backwards". The Ugandan president said the coup leaders should face sanctions and "get out". Museveni also discussed several other security topics concerning Africa, as well as the Afghan crisis.


Speaking to FRANCE 24's Marc Perelman in the Ugandan city of Entebbe, President Museveni condemned Sunday's coup d’état in Guinea, describing it as "a step backwards". The Ugandan president said the coup leaders should face sanctions and "get out".

Asked about the Afghan crisis, Museveni said his country had agreed to temporarily resettle some 2000 Afghans on its soil at the behest of the US government, brushing aside concerns that they might be a security threat. He added that he felt the US had erred in Afghanistan by trying to "fight other people's wars".

Turning back to Africa, he warned that he might pull Ugandan troops out of Somalia amid infighting between that country's leaders, something he described as "political AIDS".

Museveni claimed that a jihadist group that took control of an oil-rich area in northern Mozambique a few months ago was tied to the Allied Democratic Forces (ADF), a Ugandan Islamist group operating in eastern DR Congo.

He announced that he is ready to intervene militarily in that region against the ADF and is waiting for approval from DR Congo before going ahead.

The Ugandan leader blamed Rwandan President Paul Kagame for shutting the border between the two countries two years ago and denied claims by Kagame that he was acting like the master of the region.

He also dismissed criticism by international human rights groups like Human Rights Watch and Amnesty International, accusing foreign powers of meddling in Uganda's "internal politics".

Finally, Museveni announced that a probe into the killings of more than 50 protesters during the last presidential campaign in November 2020 would be made public and promised that those responsible would be prosecuted.

He also denied having been scared by the prospect that Bobi Wine, his main challenger, could win the election. He added that he was ready for dialogue with his rival.

Source: The Interview - Exclusive: Uganda's Museveni says Guinea coup leaders 'should get out'
 
Nchi nyingi za Africa zina Uhuru wa bendera bado tupo utumwani sasa lazima tuwe na Uhuru uliokamilika, huyu Mzee atafia ikulu kwa udikteta wake
 
Museveni aliingiaje madarakani? Ameendelea kusalia madarakani kwa namna gani?

Kama vipi atume jeshi lake huko kama ameguswa sana
M7 anaogopa wasije wanajeshi wake waka copy kwa yaliotokea kwa mwenzake, maanake wanafanana kwa kila kitu na aliyepinduliwa
 
Back
Top Bottom