operesheni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Operesheni elimisha na amsha CHADEMA Tanzania!

    CHADEMA ni Chama ambacho kimejinasibu kwa kinachoita operesheni (operations), zingine zisizokuwa na vichwa wala miguu kwa muda mrefu hapa Tanzania. Na hivi karibuni nadhani baada ya kulamba ruzuku zaidi ya milioni za Tanzania 800 wanaweza kuanza operations zisizo na ukomo Nchi nzima! Mimi...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Operesheni ELIMISHA na AMSHA CHADEMA Tanzania!

    CHADEMA ni Chama ambacho kimejinasibu kwa kinachoita operesheni (operations), zingine zisizokuwa na vichwa wala miguu kwa muda mrefu hapa Tanzania. Na hivi karibuni nadhani baada ya kulamba ruzuku zaidi ya milioni za Tanzania 800 wanaweza kuanza operations zisizo na ukomo Nchi nzima! Mimi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 6 adaiwa kufariki baada ya umeme kukatika akifanyiwa upasuaji. Mkurugenzi asema hawana uwezo wa kufanya upasuaji wilayani humo

    Kuna taarifa inasemekana mtoto mwenye umri unaokadiriwa kuwa kati ya miaka 6 hadi 8 amefariki dunia baada ya umeme kukatika katika Hospitali moja iliyoko Wilaya ya Mkinga Mkoa wa Tanga wakati mtoto huyo akifanyiwa operesheni. Mtoto huyo inasemekana alikuwa anafanyiwa upasuaji mdogo kwenye Pua...
  4. jerrytz

    JamiiForums Tanzania Operesheni ThunderBolt: Mkakati wa Kuokoa Mateka wa Israel Entebe - Uganda

    Ni Juni 27, mwaka 1976 majira ya saa 12.30 jioni; ndege ya Airbus A300 inayomilikiwa na shirika la ndege la Ufaransa (Air France) ndege namba AF139 ilipaa kutoka uwanja ndege wa Athens. Ndege hii ilitua katika uwanja Athens ikiwa safarini kutoka Tel Aviv Israel kuelekea Paris Ufaransa. Mpaka...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Operesheni ondoa wavamizi katika Bonde la Wami/Ruvu

    OPERESHENI ONDOA WAVAMIZI KATIKA BONDE LA WAMI/RUVU imeanza ambapo Wafugaji wanaodaiwa kuwa ni wavamizi wamekutwa na ng’ombe zaidi ya 400 kwa siku ya leo tarehe 14-10-2022. Wameondolewa katika Kijiji cha MSONGE ambapo waliweka KAMBI, pembezoni mwa Mto Ruvu. Askari kadhaa wakiwa na silaha za...
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Ukraine wakomboa kijiji cha kwanza Luhansk, operesheni mbele kwa mbele

    Vilianzia Crimea vitaishia Crimea..... Ukraine has recaptured its first village in Luhansk, a region that Russian forces took five months to bomb into submission and conquer. Belogorovka is the latest prize for Ukraine’s continuing counter-offensive pushing Russia away from the second city of...
  7. Mzigdash

    JamiiForums Tanzania Operesheni Wembley ya Kampala Uganda Watanzani tuna chakujifunza.

    Operesheni Wembley ni jina ambalo ilipewa operesheni ya usalama nchini Uganda mwanzoni mwa miaka 2001 ilikupambana na makundi mbalimbali ya uharifu kwa kuwakamata, kuwaweka kizuizini, kuwatesa na kuwaua majambazi wenye silaha. Raisi wa Uganda Y. Miseveni alianzisha operesheni hiyo Maalumu baada...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Picha: Makao makuu ya Urusi yalipuliwa kwenye operesheni ya kuirejesha Kherson

    Urusi baada ya kuteka mji wa Kherson, walipata jeuri hadi ya kusimika makao makuu na kujichimbia, sasa kibao kimegeuzwa, operesheni fagia fagia na kufyatua, Ukraine wanakomboa ardhi ya mababu zao..... makombora ya HIMARS yanachana anga. AUkrainian strike in occupied Kherson on Tuesday morning...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Operesheni ya kurejesha mji wa Kherson yazaa matunda, Warusi 82 wauawa na zana kulipuliwa

    Kibao kimegeuzwa, Mrusi aanza kupokea mapigo kwenye nchi aliyokua anajaribu kuparamia....mbele kwa mbele...hongereni Ukraine, hata kama mtauawa ila ni nchi yenu, taifa lenu, ardhi yenu, bendera yenu....vizazi vijavyo vitasoma kwenye historia namna mashujaa mlipambana na kumfukuza...
  10. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Operesheni ua utalii Tanzania

    Ni mchezo mchafu unaoratibiwa na washindani wa utalii wa Tanzania kwa ufanisi mkubwa kutumia watanzania wenyewe kupitia upotoshwaji kuhusu mazoezi mawili tofauti LOLIONDO na NGORONGORO. Wanapotosha makusudi huku wakijua kuwa hakuna mtu hata mmoja aliyehamishwa Loliondo kwa kuwa kinachofanyika...
  11. B

    JamiiForums Tanzania KIBOSHO: Askari wanaofanya operesheni ya kuua mbwa waua Binadamu,baada ya mbwa alielengwa kukwepa

    Tukio limetokea usiku huu,maeneo ya KIBOSHO kindi, ambapo mtu mmoja anaefahamika kwa jina la Munishi, Afariki dunia baada ya kupigwa risasi ya kifua ktk operesheni ya kuua mbwa wanaozurura hovyo inayoendelea huko KIBOSHO. Wamarangu, Wauru,wamachame,waold Moshi,wamasama,warombo tumefiwa huku...
  12. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Putin asema operesheni ya Urusi nchini Ukraine imefanikiwa

    Rais wa Urusi, Vladmir Putin amesema kuwa operesheni yake ya kijeshi nchini Ukraine imefanikiwa na kuwa hatoiruhusu nchi hiyo kutumika kama uwanja wa kuitishia Urusi. Akizungumza katika mkutano wa serikali uliorushwa moja kwa moja kwenye televisheni, Putin amesema operesheni yake inaendelea...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ifanye operesheni ya mashine bubu za kamari mitaani, Wachina wanahujumu uchumi

    Jana nilipita maeneo ya Kigamboni, nikaingia uchochoroni sehemu moja karibu na msikiti wa Feri upande wa Kigamboni nikaona mashine moja ya Kamari uchochoroni kabisa, katika kibanda kisicho na hadhi hata kidogo, kimefichwa ndanindani. Mchina mmoja akaifungua, akatoa machenji kibao ya shilingi...
  14. Inevitable

    JamiiForums Tanzania Edward Ngoyai Lowassa anaumwa, alazwa ICU Muhimbili

    Wakuu, Kwa taarifa za uhakika, Waziri Mkuu wa zamani, Ndg. Edward Lowassa ni mgonjwa na amelazwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili. ======== UPDATE: Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kufanyiwa upasuaji wa tumbo. Taarifa kutoka kwa...
  15. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Doroth Kilave Mbunge wa Temeke na TARURA waanza operesheni kutambua vivuko vya watembea kwa miguu vyenye changamoto

    Mhe. Dorothy George Mbunge wa Jimbo la Temeke, Kwa kushirikisha na TARURA -Temeke 25/01/2022, wameanza Operesheni ya kuvitambua Vivuko Vya watembea Kwa Miguu vivilivyoko ndani ya Maeneo ya Wakazi wa Jimbo la Temeke Kwa ajili ya kuandaa Mpango Maalumu wa kujenga Vivuko Vya kudumu ili kupunguza...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake wafupi wengi wao huzaa kwa "upasuaji": Kuna ukweli gani ktk hili?

    Kuzaa kwa operesheni kuna sababu nyingi. Lkn nimeambiwa sababu kubwa ni ufupi wa mama mjamzito. Kuna ukweli gani ktk hili? My take; suala hili likithibitishwa kitaalamu basi wadada wafupi mwafwa!
  17. E

    JamiiForums Tanzania Operesheni Ondoa CCM 2025 inanze sasa

    Ndugu zangu wapinzani nawaomba tuweke itikadi zetu mfukoni na tuendeshe Operesheni Ondoa CCM 2025. Katika operesheni hii siyo mbumbumbu kuzunguka wakiwatangazia watu ondoa ccm 2025 bali ni kwetu sisi kutazama ili tuwaondoe hawa tunahitaji kufanya nini? mkakati uko hivi 1. Tutazame makundi ya...
  18. Mzalendo_Mwandamizi

    JamiiForums Tanzania Polisi Warejesha Operesheni Kibiti Kufuatia Yanayojiri Msumbiji

  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Operesheni haki yaingia Pemba

    Kwa mujibu wa Taarifa za dunia, ulioitwa Uchaguzi Mkuu wa 2020, Pemba ndio eneo lililoongoza kwa mauaji ya raia, wakiwemo watoto na vikongwe. Wote waliounga mkono Maalim Seif na upinzani walishughulikiwa ipasavyo, zipo tetesi kwamba kulikuwa na majeshi ya kukodi kutoka nchi za kigeni ili...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Operesheni Haki yaingia Mlandizi , Freeman Mbowe aongoza Vikao vya Majadiliano

    Kama tulivyosema tangu awali ni kwamba Ile Kampeni ya kuamsha ari ya wananchi kudai Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi imeingia Kanda ya Pwani . Leo imepigwa Mkoa wa Pwani , Mlandizi , ambako Mwamba mwenyewe ameongoza vikao vya Mashauriano .
Back
Top Bottom