Ile Operesheni iliyotikisa nchi kwa kuhamasisha wananchi juu ya umuhimu wa katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi, ambayo ishatikisa na kuamsha watu wa mikoa 24, sasa imeingia kwenye mkoa wa DSM huku wakazi wake wakisubiri kwa hamu bila kuchoka.
Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe ataongoza...
Ile kampeni ya kuhamasisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi iliyotikisa Nchini Tanzania ya OPERESHENI HAKI , itaendelea tena baada ya kusimama kwa muda kwenye Kanda ya Pwani na baadaye Zanzibar na Pemba ,
Taarifa hii imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh John Mnyika...
Habari hii ni kutoka Kaliua, Tabora ambako wale jamaa wasiokuwa na chembe ya utu walikuwa wametia timu kwenda kufanya yao.
Unachoma vipi nyumba ambayo wanaweza kuwemo ndani watoto wadogo, wazee au wasiojiweza?
Piga picha kumwona mtoto wa miaka 4 yuko je.
Eeh mola wetu umrehemu malaika wako...
Hilo ndilo jimbo ambalo anatokea Waziri Mkuu wa Tanzania Mh Kasimu Majaliwa , kwenye kilichoitwa uchaguzi Mkuu wa 2020 Mh huyu alipita bila kupingwa, baada ya wagombea wa upinzani kuzuiwa kuchukua ama kurejesha fomu , huku wengine wakitekwa na kuokotwa Mkuranga wakiwa hoi.
Video hii ya Mapokezi...
Mkakati kabambe wa kuchagiza Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi, ukiambatana na mdogo wake aitwaye Chadema Digital ambao uko Kanda ya Kusini, leo umetikisa Mkoa wa Ruvuma kwa kuvunja rekodi ya Mahudhurio.
Naibu Katibu Mkuu Mh Benson Kigaila aliongoza semina, majadiliano na vikao vya ndani.
Mwenyekiti wa Chadema Mwamba Freeman Mbowe anaendelea na kampeni ya kuhamasisha upatikanaji wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi , kampeni hiyo imebatizwa jina la Operesheni Haki .
Anatarajiwa kuongoza vikao kadhaa vya Mashauriano ndani ya Kanda hiyo.
Pichani Mwamba Mwenyewe akisaini...
Kwa vile tuliahidi kuwaletea kila kitakachojili kwenye ule mpango mpya wa Chadema unaoitwa Operesheni Haki , na kwa vile bado mpaka sasa Ahadi inatajwa kuwa deni nchini Tanzania, basi hatuna budi kuwaletea kinachojili huko Iringa ambapo maandalizi yote ya kumpokea Mwamba Freeman Mbowe na timu...
Operesheni Haki ambayo imeingia Kanda ya Kati, kwa kuanzia na Mkoa wa Dodoma, sasa leo ni zamu ya Morogoro ambapo Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe atahutubia baraza la Mashauriano la Mkoa huo.
Kwa taarifa tu ni kwamba Tayari moto wa operesheni haki na Chadema digital ushaingia mitaani ambapo...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, ameelekeza Makamanda wa Polisi nchini kufanya operesheni dhidi ya magari mabovu ambayo hayapaswi kuwepo barabarani rasmi kesho, ili kuwahakikishia usalama watumiaji wa vyombo vya moto na kuepuka ajali za barabarani.
IGP Sirro amesema hayo leo...
Wakuu msituchoke, tuliahidi kuwafikishia kila kitu kitakachojiri kwenye ziara za Mkakati mpya wa CHADEMA inayoitwa OPERESHENI HAKI, hii ni kampeni ya kuchagiza upatikanaji wa Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi .
Baada ya kupita kwenye kanda kadhaa sasa imeingia kwenye Kanda ya Magharibi...
Ukweli unauma lakini ni lazima muelezwe ili mjitathimini na muda mnaoupoteza katika hiyo misafara yenu ya kufuja pesa za wananchi maskini mnaowalazimisha kuwachangia mafuta.
Lazima mkubali operesheni yenu iliyokuwa na malengo na ikafanikiwa na ikavuna wanachama ni moja tu ile operesheni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.