Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,487
- 9,501
We naye huna mantiki kichwaniUnajua kila mara naufananisha huu mwandiko, kumbe hili ni parody lako min 😹
Min tulia, umeshajulikana..!! 😹😹We naye huna mantiki kichwani
Dada unajidhalilisha sana hujui kufananisha ID ni kosa la jinaiMin tulia, umeshajulikana..!! 😹😹
Nilisha mkataza pombe, ona sasa ashajulikana...😂Min tulia, umeshajulikana..!! 😹😹
Mkuu nisiongezwe glass nyengine tafadhali kesho naenda kwenye interviewWalevi wa mbege nao waje huku Harmful Mpaji Mungu.
Yap, mning'inio wa ziada a.k.a hangover isije ikakukumba mkuu, hiyo uliyokunywa kwa Leo inakutosha.Mkuu nisiongezwe glass nyengine tafadhali kesho naenda kwenye interview
msalimie Baba mtakatifu91 mwambie aache kutafuta watu barYap, mning'inio wa ziada a.k.a hangover isije ikakukumba mkuu, hiyo uliyokunywa kwa Leo inakutosha.
Salamu zako zimemfikia.msalimie Baba mtakatifu91 mwambie aache kutafuta watu bar