online

In computer technology and telecommunications, online indicates a state of connectivity, and offline indicates a disconnected state. In modern terminology this usually refers to an Internet connection, but (especially when expressed "on line" or "on the line") could refer to any piece of equipment or functional unit that is connected to a larger system. Being online means that the equipment or subsystem is connected, or that it is ready for use."Online" has come to describe activities performed on and data available on the Internet, for example: "online identity", "online predator", "online gambling", "online shopping", "online banking", and "online learning". Similar meaning is also given by the prefixes "cyber" and "e", as in the words "cyberspace", "cybercrime", "email", and "ecommerce". In contrast, "offline" can refer to either computing activities performed while disconnected from the Internet, or alternatives to Internet activities (such as shopping in brick-and-mortar stores). The term "offline" is sometimes used interchangeably with the acronym "IRL", meaning "in real life".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Online yoyote inayohitaji mwandishi wa makala

    Habari za leo waheshimiwa, mimi ni Mwandishi mzuri tu wa makala na haswa za kijamii. Kwa yoyote mwenye kuhitaji Mwandishi kwa ajili ya kazi hiyo tafadhali tuwasiliane. Asante.
  2. E

    JamiiForums Tanzania TCU kwanini vyuo vyetu havitoa degree za online

    TCU kwanini vyuo vyetu havitoa degree za online. Nina uhitaji mkubwa sana wa kusoma Degree ya Accounting online lakini sijaona chuo chochote kinachotoa kozi hiyo kwa njia ya online Tanzania. Shida iko wapi.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Hivi gazeti la mwananchi online lilipatwa na shida gani?

    Mimi nilikuwa mfatiliaji mkubwa wa gazeti la mwananchi online, siku hizi silioni maana nilikuwa nalipenda sana. Kilichokuwa kinanifurahisha kwenye hiyo web yao hasa ni mpangilio wa habari, kuweka habari kwa wepesi na uhakika zaidi. Makala nzurinzuri na kupatikana katika application ya...
  4. JamiiForums Tanzania Mapendekezo na Ushauri kuhusu Online Store

    Habari Wana JF, Natumai mko poa. Wakuu, nataka kuanzisha online store ningelipenda mnishauri na mpendekeze products ambazo online zinauzika. Mimi nimefikiria kuhusu Laptop na Smartphones used and new. Kutokana na gharama za ku set up store na kuiendesha. Ningelipenda mupendekeze niche zenye...
  5. JamiiForums Tanzania TCRA waja na kibano kinginge: Wanaorusha matangazo mubashara ya matukio kuomba kibali kwanza kabla ya kwenda hewani

  6. JamiiForums Tanzania Klinik Ya Ngozi BURE Online Wiki Hii

    Klinik Ya Ngozi BURE Online Wiki Hii Dr.Mussa Zaganza nimekuwa kwa muda mrefu nikiwasaidia watanzania ushauri wa kutunza ngozi zao kwa njia za asili.Na Wiki Hii nimeandaa klinik ya ngozi kupitia group la whatsapp ambapo utapata kujifunza yafuatayo: Makundi 4 ya ngozi,jinsi ya kuipima ngozi...
  7. JamiiForums Tanzania Mwenye kujua jinsi ya kupata TIN Number online

    Naombeni msaada wenu mwenye kujua jinsi ya kupata TIN number online wakuu.
  8. JamiiForums Tanzania Njia nyingine ya ku earn pesa online kwa freelancers

    Remotasks I love being online na hilo limenifanya niwe natafuta njia kadhaa za kumake money while I am online, na leo ninawaletea hii tovuti Remotasks. Hii tovuti inahusika na mambo ya kusoma na kuenhance data ili kufanya AI bora Zaidi. Mfano machine za kusoma receipt, menu, magari...
  9. JamiiForums Tanzania Online loss report form ina shida gani?

    Habari wanajukwaa natumaini wote ni wazima wa afya. Poleni na mihangaiko ya shughuli za kujenga taifa. Naenda direct to the topic. Majuzi niliweza kupoteza ATM card yangu ya Bank fulani hivi, ndipo nilipoenda bank nikaambiwa nikachukue loss report. Nikaenda central police station nikaambiwa...
  10. JamiiForums Tanzania Better late than never, CHADEMA anzisheni YouTube Online TV haraka iwezekanavyo

    Kusema ukweli tokea Lissu arudi, anzia mkutano wa kamati kuu na mkutano mkuu. Nilifuatilia matangazo Mwananchi digital kila Lissu akiongea wakiona anaelekea kumsema Magufuli wanaanza kupunguza sauti na mwisho wanafinyia sauti ndani kabisa. Leo sasa kituko nilikuwa naangalia Millard Ayo yaani...
  11. JamiiForums Tanzania Naombeni Mawazo kuhusu kusoma LLM Online Uingereza ama nchi nyingine za magharibi

    Wakuu, Ninaombeni maelekezo kuhusu kufanya masters online kwa vyuo vya ulaya na marekani, Ni njia gani rahisi ya kufanya hivyo? Naomba msaada kwa mtu mwenye uzoefu na hayo mambo. Ni chuo gani kilicho Bora na Cha uhakika? Mafunzo yanapatikana kwa muda gani? Ni majira gani ya kufanya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Online Chanel, Youtube, Instagram na Facebook ziangaliwe zina pesa

    Wadau najiuliza swali naomba mwenye jibu aniambie hivi nani anaelipa kodi kwa Serikali ya Tanzania mtumiaji wa hii mitandao au mmiliki wa hii mitandao. Kama ni miliki kivipi na kama si kweli kwanini asilipie mmiliki, na kama TZ hatufanyi nchi gani zinafanya hivyo? Kwa sababu ingekuwa vizuri...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada - Naomba kujuzwa utaratibu wa kusajili blog na online TV

    Salam wapendwa. Naomba kujuzwa na wajuzi. Utaratibu wa kusajili hizi blog na website pamoja online TV huko kunakoitwa TCRA. Je, ni aina gani ya blog? (Inayojihusisha na nini?) Je, vipi upande wa chennel ya YouTube? Na je, vip kuhusu website? NAOMBA KUJUZWA JAPO KWA UCHACHE
  14. JamiiForums Tanzania Tupeane maujanja ya Dream League Online/Offline

    Wakuu, Wadau na wapenzi wa games njoeni tupeane maujanja ya kucheza Dream league game online,offline na local multiplayer. Natumia kikosi cha Liverpool hiki hapa Sifa ya wachezaji wangu wote wana urefu wa 204CM inaniwezesha kucheza kwa kujiamini wana kasi,mipira ya juu naichukua vizuri. Pia...
  15. JamiiForums Tanzania Tuwafundishe watoto wetu kutembelea tovuti hizi ziwasaidie katika elimu

    Teknolojia ya Habari na Mawasiliano(TEHAMA) ikitumika vizuri katika sekta ya elimu itasaidia kujenga mazingira mazuri na kuwezesha kuwepo kwa mbinu bora katika ufundishaji na ujifunzaji. Nimetembelea tovuti mbalimbali za elimu hapa TANZANIA, Nimeona mapinduzi makubwa katika sekta ya elimu hasa...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Online media, acheni hii tabia

    Kumekuwa na tabia ambayo ni very common haswa kwenye hizi online media sio zote lakini asilimia kubwa ya kuandika kichwa Cha habari ambacho akiendani na content ya hiyo video na imekuwa Kama fashion unaweza kukuta kichwa Cha habari kinasema "Country Boy amtolea kauli chafu Ommy Dimpoz" ukifungua...
  17. JamiiForums Tanzania Je, naweza kusoma Online University kwa Course hii na nikakubalika Kimataifa?

    Mwaka huu namalizia diploma yangu ya civil engineering Mungu akioenda. Malengo yangu niunganishe degree ya kozii hii, ila kwa online university huku nafanya kazi za civil engineering technician. Je, inawezekana? Na kama itawezekana ni vyuo gani hapa duniani ambavyo vyeti vyake vitakubalika na...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The University of Nairobi on Tuesday conducted its first ever end of semester examinations online

    According to the university management, more than 20 students taking Master of Arts in Environmental Law and Master of Arts in Environmental Policy sat their examinations from the comfort of their homes. “We used Google platforms to administer our exams-first we invited our students to Google...
  19. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada WaKuu, Naomba ambae anafahamu app yoyote kuangalizia mechi/games zozote online anisaidie au website

    Kwemaa ,wakuu .. Naomba msaada nahitaji application au website za kuangalizia mechi online, maana nipo sehemu ambayo hakuw uinyeshaji wa mpira, kwa week kadhaa nmekuwa namiss bundesliga Ila leo nimepania nisikose game Uzi tayari, nawasilisha
  20. JamiiForums Tanzania The best place for student to store online notes [Unlimited]

    Msaada wakuu natata kutunza / upload notes je sehemu ipi ni UNLIMITED
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…