Fuatilia yanayojiri kwenye Mkutano wa 13, Kikao cha 1, leo Oktoba 31, 2023.
https://www.youtube.com/live/7O0-sN3pzjA?si=eZJVi9sURaCGwvtK
Mbunge mpya wa Mbarali, Bahati Ndingo ameapa leo baada ya kushinda nafasi hiyo kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika Septemba 19, 2023.
Uchaguzi mdogo wa ubunge...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria Tanzania ya Mwaka 2022 na Ugawaji wa Magari ya Kubebea Wagonjwa na Vifaa Tiba katika Ukumbi wa Mikutano wa JNICC leo tarehe 28 Oktoba, 2023...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Zanzibar leo tarehe 24 Oktoba, 2023.
https://www.youtube.com/live/p8yX2IIpIGs?si=f1iByQWZfoe3Pf3d
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akikaribishwa Ikulu...
Kwa Tanzania hii Timu ambayo angalau inakaribia Hadhi ya Simba SC ni Ihefu FC kutoka Highland Estates Mbarali Mkoani Mbeya.
Hivyo kwa Kulitambua hilo na Kuitambua Uongozi wa Simba SC umeamua Kuialika Ihefu FC peke yake na kutozialika Timu zingine Tatu ambazo zina Urafiki wa Kinafiki wa...
Vijana Washiriki Kongamano la 7 la TEHAMA linalofanyika kuanzia Oktoba 16 -20 2023 Ukumbi wa Convention Centre The Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC) Mkoani Dar es Salaam huku Serikali ikihimiza nguvu ya uchumi wa kidigitali kwa wanawake, vijana
KWA kuwa wanawake na vijana...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki maadhimisho ya miaka 60 ya mkoa wa Singida na kuhutubia mkutano wa hadhara uwanja wa Bombadia mkoani Singida leo tarehe 16 Oktoba, 2023.
https://www.youtube.com/live/K8j7hmFrrgQ?si=gNNG4Lv6ssAf5wxO
Rais wa Jamhuri ya...
MBUNGE MARTHA GWAU ANAWAKARIBISHA WANA SINGIDA WOTE KATIKA MAPOKEZI YA RAIS SAMIA MKOA WA SINGIDA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Martha Nehemia Gwau anawakaribisha Wananchi wote wa Mkoa wa Singida katika Mapokezi ya ziara ya kikazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiendelea na ziara yake ya kitaifa nchini India tarehe 10 Oktoba, 2023.
https://www.youtube.com/live/VuNUt9YAn8Q?si=JkkkUnFuBzu6q8PP
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Shahada ya Heshima ya...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini, Kaimu Mkuu wa Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Geneva, Balozi Hoyce Temu na Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, Sudi Mwakibasi wakishiriki na kufuatilia Mkutano wa 74 wa Kamati Tendaji ya UNHCR unaofanyika...
Kwa 95% Kiongozi wa Azam FC ( ambaye Watu wa Mpira Tanzania tunajua ni mwana Yanga SC lia lia ) CEO Popat ndiyo huwa Silaha Kuu ya Yanga SC kuifunga Azam FC muda wowote na inavyotaka.
Na hiyo 5% iliyobaki ni ya Msaliti mwingine mdogo Msemaji Ibwe ( ambaye ni mwana Yanga SC kindakindaki ) hadi...
Match Day
📅 October 8, 2023.
⚽ NBC Premier League
Singida Fountain Gate vs Simba Sc
🏟️ CCM Liti, Singida.
⏰ 4:00Pm.
Haya, kumekucha vyema.
Baada ya michezo ya jana ya ligi kuu Tanzania Bara kupigwa,
Tukishuhudia Yanga kutoa kipigo kwa Geita Gold cha 3-0
Huku Ihefu akizamishwa na KMC kwa 1 -...
Kwahiyo matatizo yenu ( changamoto zenu ) alikuwa hazijui tokea akiwa hapo 2015 hadi 2021 hadi Jana ( 2023 ) ndiyo kazijua na kuwaahidi Kuwatatulieni zote?
Na mlivyo Watupu ( Empty Sets ) Vichwani mwenu najua sasa nyote mtafurahi, mtamsifu na kumuona anafaa ila baada tu ya 2025 mtaendelea...
Jeshi la Polisi nchini linapenda kuwakumbusha wananchi wanaomiliki silaha kinyume cha sheria kuendelea kutumia vizuri msamaha uliotolewa na Serikali ambapo atakaye salimisha kwa hiari hatachukuliwa hatua yeyote wala kuulizwa maswali. Silaha hizo ni pamoja na zile za wamiliki waliofariki ambazo...
Siku hii huadhimishwa Oktoba 5 kila mwaka ikiwa ni kumbukumbu ya kupitishwa kwa Pendekezo la ILO/UNESCO mwaka 1966 kuhusu Hadhi ya Walimu lililoweka viwango kuhusu Haki na Wajibu wa Walimu.
Pendekezo hilo huangazia viwango vya maandalizi yao ya awali, Elimu ya ziada, Ajira pamoja na Masharti ya...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed O. Mchengerwa (Mb) amewaelekeza Wakurugenzi wote wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhakikisha wanalipa fedha za kujikimu kwa Watumishi wa ajira mpya za Ualimu na Afya walioripoti kwenye vituo vya kazi kuanzia mwezi...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akipokea ndege ya Abiria, Boeing 737-Max 9, leo Oktoba 3, 2023.
https://www.youtube.com/live/lIJPqsglTiw?si=Vn-aBGEGe5ORDlfh
===
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amesema bado kuna malalamiko ya wateja wa ATCL...
Shirikisho la soka Barani Afrika ‘CAF’ linasubiri Oktoba 06 ili kukamilisha mpango wa kupanga makundi ya Michuano ya ngazi ya vilabu iliyo chini ya shirikisho hilo kwa msimu huu 2023/24.
CAF imewalazimu kusubiri hadi Oktoba 06, ili kutoa nafasi kwa mchezo mmoja wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika...
Jidanganyeni tu na endelea Kudanganywa kuwa things are okay on the ground wakati akina GENTAMYCINE ambao Kutwa tupo na tunajichanganya na Wananchi tunaona hali ni tofauti na kama mwaka 2025 PT, TISS, JWTZ na NEC wakisema wakae Kando na waachie Haki itendeke nina uhakika kuna Mtu mapema sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.