Kama inavyosomeka hapo juu
Kuna demu kaja hapa ghetto wiki sasa inaisha haoneshi dalili ya kuondoka
Nawaza nitumie njia gani ambayo haitaleta lawama kwa upande wangu pindi nitakapomtimua huyu demu.
Kuna wale wakongwe wa kufukuza wanawake ving'ang'anizi kwenye nyumba nipeni mbinu 2 3 zisizo na...
Kama utaweza kufanya upumbavu na unyama wa aina hii kwa kisingizio cha jadi ya dini au mara oooh sijui nani nani tunaemuheshimu alifanya then unastahili kibaya chochote kile kikutokee maishani mwako.
Naeelewa hatuko perfect ila kwenda kurubuni mtoto mdogo wa kike miaka 6, 12, 9, 10, 8 wewe ni...
Watu wa nyota ya CAPRICORN ♑ - MBUZI na nyota ya AQUARIUS ♒ NDOO
Jumamos ni siku yenu nzuri kiroho na kimaisha na mvuto,
Vaa rangi ya jumamos ambayo NYEUSI, Pia saa 12 ahsubuhi na saa saba mchana choma mafusho ya MIATUN-SAILA ili kuongezea nyota yako nguvu.
HAPPY SATAN DAY
By Dr DOGOLI...
Wakuu msaada kwenye tuta wale wenye exposure zao mnajua haya mambo yanavyoenda ebu nipeni madini napataje mchumba wa kizungu kupitia apps maana nimedownliad hizo app naona kila kitu ni complicated. Wazungu hawanizingatii na mimi ndio target yangu wanajitokeza wabongo ambao najua mwisho wake ni...
Wadau wazoefu,nina kijana wangu yupo kidato cha 6,nataka nimnunulie laptop kwa ajili ya matumizi yake,nikizingatia kuwa mwakani anaweza kujiunga na chuo kikuu,je ni laptop ipi,yenye uwezo upi nimnunulie?
Nawasalimu wadau wote wa biashara humu ndani.
Naomba ushauri wenu kwa yoyote anayejua programu nzuri ya usimamizi wa biashara (business management software). Programu hiyo nataka iwe na sifa zifuatazo:
Accounting
Invoicing
Support for Mobile and bank payments
Payroll
Track stocks, sales...
Mwanamke huangaliwa kama hips kifua n.k kifupi namba 8, je shape ya mwanaume inayovutia ni ipi? Yani ambayo unaweza sema perfect man.
N. B usifananishe uanaume na kua rough.
Kua na ngozi laini si kosa.
Kunukia sio kosa
Kua na sura nzuri sio kosa.
Ghorofa inauzwa
Iko Goba lastanza
Umbali mita 300 toka lami
Inavyumba Vinne (4) vyote master ,sebule 2 juu na chini,jiko kubwa dining, stoo na Choo cha public
ENEO Lina sqm 900
Hati ipo
Bei mil 550
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
Naomba msaada kwa anayeijua vizuri Ngerengere, nina wageni wanataka kwenda huko je kunapatikana lodgings nzuri? Bei gani? Je upatikanaji wa chakula upoje? Na umbali gani kutoka stesheni ya sgr?
Natanguliza shukururani
Iwe na sifa hizi.
-Ada nafuu
-Elimu Bora
-Isiyo na makuu
-Iliyotulia
-Watoto wa hali zote
-kidato cha 1-6
Nk
My take.
Hizi shule tunazopeleka watoto zinachangamoto nyingi, ukute shule walimu hawajitumi. Lkn kuna shule walimu wanafanyakaz ya Mungu. Hizi shule zenye walimu wa aina hii kumtumikia...
Umiliki na Usajili wa Mali
Wapenzi wageni, mabibi na mabwana, leo tunakusanyika kujadili mada muhimu inayohusiana na umiliki na usajili wa mali. Katika ulimwengu wa kisasa, neno "usajili" limekuwa na maana pana, na linaweza kuhusishwa na masuala mengi, ikiwemo usajili wa magari, nyumba, na hata...
Inshallah mwakani nitakuwa porini kwenye shughuli za ufugaji na kilimo.
Naomba Kwa wanao jua nitahitaji mambo wa solar Kwa ajiri ya mwaga,kutotoreshea vifaranga na burudani kidogo si unajua porini Tena.
Mimi binafisi nilinunua mtambo wa mySol Kwa mkopo kama m3 na ushee mtambo wa kati na ipo...
Habari wana jamvi poleni kwa miangaiko na kwa yanayoendelea nchini.
Bila ya kuwachosha niende moja kwa moja kwenye point.
Naombeni wadau wa taaram wa mambo ya tehama kuanzia mfumo mpaka vifaa nisaidieni ni wireless access point ipi nzuri ambayo ni kiifunga kwenye point inaweza kusukuma mawimbi...
Wadau wa technology.
Naomba msaada wa mawazo yenu, najua mpo wenye experience ya kutosha kwenye hivi vifaa.
Nataka kununua digital camera na printer mahsusi kwa ajili ya kazi ya picha za passport.
Nahitaji kwa ajili ya kutoa passport za haraka zile za dakika 3.
Nachoitaji ni kusaidiwa jina...