nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Jezi mpya za Simba zimevuja, Kama ni kweli ndio zile ni nzuri sana ila bado watu wabaya hawajafa ndani ya timu yetu na tujiandae kudhalilika tena

    Baada ya wao kutoa jezi mbovu, zinizi na ubora wowote, inasemekana jezi mpya za Simba zimetoka, wanaozipost ni washabiki wa Yanga pamoja na mwandishi kanjanja İbrahim Ambokile. Kama kweli zile ni jezi za Simba nimezipenda na nitazinunua za rangi zote, ni jezi zenye Quality ya kutosha, yule Ali...
  2. I

    JamiiForums Tanzania 🔥 Je, SSD Yako Ina Afya Nzuri? Hivi Ndio Namba Zinavyosema

    🔥 Je, SSD Yako Ina Afya Nzuri? Hivi Ndio Namba Zinavyosema Wengi hudhani SSD (Solid State Drive) ikishafanya kazi basi haina matatizo—lakini ukweli ni kwamba, kila SSD ina maisha yake. Kila namba unayoiona kwenye SMART data au software ya monitoring ni kama kura kwenye uchaguzi: inakueleza...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kampeni ya nishati safi kwa wote na anayosema Polepole kuhusu vitmbulisho vya NIDA

    Ni jambo jema kutumia nishati isiyochafua mazingira na kuumiza watumiaji. Tatizo la wanasiasa wetu kila wanachokipigia debe nyuma yake wanasukumwa na faida binafsi. Watu wanahoji yafuatayo: 1. Kwanini nishati safi suala la matumizi ya gesi linasisitizwa zaidi huku umeme ukiachwa? 2. Kwanini...
  4. JamiiForums Tanzania Mashine ya Umeme ya Kunyoa (Electric Shaver)

    ✨ Mashine ya Umeme ya Kunyoa (Electric Shaver) ✨ ✅ Unyoaji safi bila maumivu ✅ Rahisi kubeba – inatoshea mfukoni ✅ Betri ya kudumu, chaji mara moja tumia muda mrefu ✅ Muundo wa kisasa na rangi mbalimbali 💰 Bei: Tsh 30,000/- 📍 Arusha Mjini 📞 0721 235 0159 (Piga/Wh
  5. JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Reality TV Shows: Share reality TV shows nzuri

    Wale wenzangu ambao kila upatapo muda unakimbilia section ya reality TV shows pita hapa. TV shows zangu mara nyingi naangalizia Netflix, DSTV[app] na Showmax. My favorite so far: 1. Young, famous & African -hii tupo season ya tatu sasa. 2. Temptation island 3. Too hot to handle 4. Forever...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Wakuu sehemu nzuri Dar ya kuchill, kuangalìa mpira na chakula

    wakuu niko dar ni mgeni wa jiji naombeni mnambie sehemu nzuri kuchill kula na kuangalia mpira asanteni
  7. JamiiForums Tanzania Unahitaji nyumba nzuri na hii ni moja ya design kali yenye 4 bedrooms, fit on 900sqm plot. Call us kupata huduma 0624004650

    HII DESIGN INA; 1. ENTRACE LOBBY TO LOUNGE ,DINNING, OPEN KITCHEN WITH STORE AND LAUNDRY 2. 4BEDROOMS (WITH CLOSET),ALL SELF AND MASTER BEDROOM HAVE RELAXATION PATIO SISI TUNAHUSIKA NA UJENZI + DESIGN + USHAURI CALL/WHATSAP +255624004650 TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
  8. JamiiForums Tanzania Samia au mtoto kwa kikwete walikuwa wana nafasi nzuri ya kushinda uraisi kwa haki sio kwa njia hii wanayoitumia

    Katika uhalisia samia alianza vizuri na alikuwa na njia zote za kujenga akubalike kama raisi ambapo hata tungeweka tume huru angeshinda lakini amefanya makosa na amechagua njia mbaya inayomchafua kwenye sura za nchi na za kimataifa njia mbaya sana. Mtoto wa raisi mstaafu kikwete pia alikuwa na...
  9. JamiiForums Tanzania AsanteStars kwa kazi nzuri; Ila mashabiki tunazingua kiukweli watu wamekaa mavitambi hata kushangilia hakuna shame upon us

    Habari zenyu bhana najua hazina majotooo ! Kiukweli vijana wanapambana though kuna makosa mengi especially kwenye eneo la striking mostly huwa hamna utulivu mzuri wa kujenga mashambulizi pia middles zinapaswa kuwa na utulivu na kusogea mbele kwa speed. All in All vijana wanaubonda Hongera sana...
  10. JamiiForums Tanzania NYUMBA MPYA INAUZWA,IPO KUNDUCHI BEACH DARESSALAAM TANZANIA,NI NYUMBA NZURI SANAAA,NA IMEJENGWA KWA UBORA SANA,BEI NI BILLION 2 PESA ZA KITANZANIA

    #houseforsale Nyumba ya gorofa tatu ground floor 1) 1 bedroom en-suite 2) kitchen with separate dish washing room 3) kitchen pantry 4) laundry room 5) computer room 6) entertainment room 7) combined dining room area and sitting room area 8) separate sitting room 9) common toilet first...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa mwanaume, biashara gani ni nzuri kumfungulia mapenzi wako?

    Toa sababu na maslahi yapi kwa familia Yako 👇👇👇
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tiba ya Mshipa kwa Mzee wa Umri miaka65 hospital Gani nzuri kufanya operation

    Habar wadau msaada wenu,Mzee wangu Umri miaka65 Leo umemkamata Mshipa wakorodani moja kuuma na nyonga kuachia,ikabid awahishwe hospital akapatiwa sindano Mshipa ukapoa, Sasa nauliza tiba yake huwa ni nin,naje hospital Gani nzuri kufanya matibabu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ni nzuri ila imechangia sana kuwe na ongezeko la Gen - Z kujitenga na jamii

    Kijana anaweza kukaa ndani siku nzima bila kutoka kwenda nje kujichanganya, tena sio nje tu hata humo humo ndani ya nyumba hatoki kujichanganya na wenzake. Laptop na simu zimekuwa bei rahisi sana na zenye teknolojia ya juu sana, Internet zimeshuka sana bei ukiwa na elfu 70 unatumia internet...
  14. JamiiForums Tanzania Eti mwanamke anaweza kumkubalia mumewe akimuomba kuzalisha kwa mwanamke mwingine mwenye sifa nzuri sana

    Eti kwa mfano mwanaume alikuwa na ex wake waliopendana ila akazinguaga mwanamme wakaachana na mwanamke alikuwa anampenda Sana huyu mwanamme yaani Sana alijitoa ila jamaa akaleta mawenge.sasa baadae jamaa akapata mke mwingine na wakazaa ila baada ya kama Miaka mitatu wamekutana tena na ex na...
  15. JamiiForums Tanzania Zawadi nzuri kwa demu wako ni Simu nzuri, Saa nzuri au Fedha sio nguo za ndani.

    Sasa wewe endelea kumnunulia nguo za ndani, atazivua mbele yetu na kututunuku bila shida yoyote ile.
  16. JamiiForums Tanzania NYUMBA NZURI SANA INAUZWA,IPO IYUMBU DODOMA,UKUBWA WA KIWANJA NI 1500 SQM,BEI NI MILLION 350 TSH,

    A House to Call Home – For Sale! 📍 Location: Iyumbu , Dodoma 📐 Plot Size: 1,500 SQM 🏠 Structure: 5 Spacious Bedrooms Servant Quarters (Self-contained) Large Living Room Dining Area Kitchen + Store Study Room Garden & Ample Parking 💰 Goes Cheap! A rare opportunity for a serene home or...
  17. JamiiForums Tanzania NYUMBA INAUZWA,IPO IYUMBU DOODOMA,BEI NI MILLION 350,NYUMBA NI NZURI SANA NA IPO MTAA MZURI KABISA, 0758844717

    A House to Call Home – For Sale! 📍 Location: Iyumbu , Dodoma 📐 Plot Size: 1,500 SQM 🏠 Structure: 5 Spacious Bedrooms Servant Quarters (Self-contained) Large Living Room Dining Area Kitchen + Store Study Room Garden & Ample Parking 💰 Goes Cheap! A rare opportunity for a serene home or...
  18. JamiiForums Tanzania Peugeot e 3008 GT lina design nzuri

    Peugeot ni kampuni ya Kifaransa inayodili na utengenezaji wa magari ya umeme. Kwenye picha ni gari aina ya Peugeot e 3008 New Model (2024) SPECIFICATIONS ZAKE 👇👇 Dimensions: 4,542 mm x 1,895 mm x 1,641 mm, 2,739 mm wheelbase. Drivetrain tested: 73 kWh FWD - FWD 157 kW (210 hp), 343 Nm, 73...
  19. JamiiForums Tanzania Wafugaji wa kukuChukua tunda moja au mawili, kata vipande vipande loweka kwenye maji ya kunywa ya kuku wako.✅Ni kinga nzuri sana kwa maradhi ya ku

    Wafugaji wa kuku Chukua tunda moja au mawili, kata vipande vipande loweka kwenye maji ya kunywa ya kuku wako. ✅Ni kinga nzuri sana kwa maradhi ya kuku Mdharau asili hufa masikini
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya kuachana rasmi na Yanga SC sasa Mchezaji Clatous Chota Chama huenda Akili zake nzuri zikawa zimemrejea kwa kusema huu Ukweli

    Kiungo nyota wa kimataifa kutoka Zambia, Clatous Chama, amesema kuwa klabu ya Simba SC inapendwa na kuheshimiwa zaidi nchini kwao Zambia ikilinganishwa na Yanga SC. : Chama ambaye ameachana na Yanga, amesema kuwa staili ya mpira ya klabu ya Simba, historia yake barani Afrika, pamoja na uwepo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…