nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuna namna gani nzuri ya kudai mishahara inapocheleshwa

    Naombeni ushauri maana humu kuna watu wengi wenye akili na experience tofauti tofauti ila naomba kufahamu namna nzuri ya KUDAI mshahara maana inaonekana BOSS Hana mpango wa kulipa mwezi mmoja na NUSU sasa na hatoi sababu.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Viza za biashara na wanafunzi kwenda USA zimesimamishwa : Sio nzuri kwa wafanyabiashara

    Viza za biashara na wanafunzi kwenda USA zimesimamishwa : Sio nzuri kwa wafanyabiashara Wakati machawa na ndugu wa Samia wakifurahia mauaji ya vijana wetu wafanyabiashara wa kimataifa hali sio nzuri maana hawawezi kwenda kuongea na wawekezaji au kampuni ubia za marekani na hii inasababisha...
  3. JamiiForums Tanzania Simu nzuri ya kifahari kwa Mwanaume ni Samsung

    Kampuni ya Samsung inajua kumpa Mwanaume bidhaa anayotaka sio kama wale jamaa flani wanaotengeneza simu zilizopambwa kama za kike Simu ina shine nje na ndani utafkiri imepakwa siagi Mwanaume na viatu vinavyowaka taa wanaelewana vipi Samsung watazidi kula kihalali hela za Wanaume Hata...
  4. JamiiForums Tanzania Ukichunguza deeply, unakuja kugundua hata wasioamini katika Mungu wana roho nzuri kuliko hawa fanatics wanaojitapa kumjua Mungu vizuri

    Ninaamini katika Mungu wa chanzo na balance ya uwepo huu duniani na beyond ila siamini katika idea ya Mungu iliotangazwa karne na karne maana imekuwa twisted na mis-interpreted Idea ya Mungu inayoeleweka sawa sawa na wanadamu inatembea sambamba na mambo ya kufikirika, yasioeleweka na yasio na...
  5. JamiiForums Tanzania Sehem nzuri za kuenjoy/kupumzika moshi /Arusha naziomba

    Nina miaka takribani mitano Huwa napita tu moshi na Arusha nikienda kwa kasongo Sijawahi kaaa kwa zaidi ya siku moja Pasaka hii yote nitakua huko...nahitaji kujua hotel nzuri na tulivu kwa Arusha au Moshi kwa ajili ya kupumzika na ku enjoy... ...inbox ipo wazi kwa review ili tusiaribu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni websites au app gani nzuri za kuangalia historia ya ajali, matemgenezo na service za magari kutoka Japan?

    Ni websites au app gani nzuri za kuangalia historia ya ajali, matemgenezo na service za magari kutoka Japan? Msaada kwa hizo websites tafadhali
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kitengo cha Mapokezi Hospitali ya Rufaa Mbeya hakina huduma nzuri, kuna mtumishi anaongea sana na simu, hajali wagonjwa

    Watu wa Mapokezi ya Wagonjwa katika Hospitali ya Rufaa Mbeya hawana huduma nzuri kabisa kwa Wananchi wanaofika kituoni hapo. Mfano kuna mtumishi mmoja anaongea na simu muda mwingi bila kujali wagonjwa walio mbele yake, amekuwa na kawaida ya kufanya hivyo na hajali wanaohitaji kuhudumiwa. Mbali...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Claude ni chat bot nzuri kuliko ChatGpt, ni swala la muda tu

    Leo nilimshirikisha Chatgpt kwenye issues fulani anipatie ushauri, kisha nika copy prompt niliyomuandikia Chatgpt nikaenda ku paste mwa Claude kama ilivyo, Ushauri wa Claude umenyooka sana na haipo upande wa kukupamba na kutaka ikufurahishe sana kwa kukubaliana na idea zako bali inakupa ushauri...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Website nzuri ya kuverify ubora wa magari used japan kwa kutumia chassis au vin number

    Habari wanaJF kwa mwenye uzoefu aliyewahi verify ubora wa gari used japan wakati anaagiza kwa kutumia chassis au vin number naomba anijuze website aliyotumia. Najua Chatgpt inaweza toa majibu kwa kiasi fulani but napenda nipate uzoefu direct wa mwanaJF maana naamini kuna mengi ya kunisaidia...
  10. JamiiForums Tanzania Madeleka: Katiba tuliyonayo na inayotetewa kwamba ni nzuri ilitengenezwa na watu 20 ndani ya wiki 2

    Wakuu, Akizungumza jana kwenye kipindi cha Jambo Asubuhi cha Jambo TV Peter Madeleka alisema kwamba Katiba inayotumika sasa ilitegnenezwa ndani ya wiki 2 tu na ilitengenezwa na watu 20 pekee "Upatikanaji wa Kataiba tunayotumia leo haikupaatikana kwa michakato hii ambayo tunaambiwa leo ni...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ashwagandha by Himalaya inapatikana hapa kwa bei nzuri

    Ashwagandha ni tiba asili ya kihindi iliyojizolea umaarufu mkubwa kutibu changamoto nyingi za kiafya. Mmea huu unazalishwa zaidi Mashariki ya kati, Asia na hata Africa ya magharibi. Faida za Ashwagandha ni pamoja na 1. Kuboost memory na uwezo wa kufikiri 2. Kuboost hormone ya kiume 3...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada: Dawa ipi ni nzuri ya hospitali ya kukausha uvimbe wa mguu baada ya kuparuliwa na paka? Chanjo ameshachoma.

    Wasalaam aleykum, Twende kwenye mada, Nina mdogo wangu aliparuliwa na paka wiki mbili zilizopita, baada ya hapo tukamchoma chanjo zote za za kuzuia athari ya kung'atwa na wanyama pale hospital... Lakini hadi sasa ameendelea kutumia antibiotics mbali mbali, mguu haupungui uvimbe! Uvimbe...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na friji za Tmall naomba anambie kuhusu ubora wake au ni friji ipi nzuri kwa bajeti isiyozidi laki tano

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada kwenye hilo Mwenye uzoefu na friji za Tmall naomba anambie kuhusu ubora wake au ni friji ipi nzuri kwa bajeti isiyozidi laki tano
  14. JamiiForums Tanzania Plot nzuri inauzwa Kiluvya madukani

    Urgent wakuu!, plot inauzwa, SQM 400, imejengwa msingi na kisima kipo. IPO 2km from main road, Kiluvya Madukani maeneo ya kwa mhindi-tondoroni. Ni nzuri sana! Njoo inbox kwa details zaidi. Mil. 8 tu! Docs zote zipo za kisheria na kitaalamu!
  15. JamiiForums Tanzania Plot inauzwa, SQM 400, imejengwa msingi na kisima kipo

    Urgent wakuu!, plot inauzwa, SQM 400, imejengwa msingi na kisima kipo. IPO 2km from main road, Kiluvya Madukani maeneo ya kwa mhindi-tondoroni. Ni nzuri sana! Njoo inbox kwa details zaidi. Mil. 8 tu! Docs zote zipo za kisheria na kitaalamu!
  16. M

    JamiiForums Tanzania rangi na material ipi nzuri kushonea seat cover za gari kwa mazingira na hali ya hewa ya Dar ?

    Nimeipenda rangi nyeusi ila kuna sehemu nimeambiwa huwa inanyonya sana joto Je nichukue rangi ipi au mchanganyiko wa rangi gani. material ipi nzuri kwa bei isiyozidi laki 3, gari ina siti tano
  17. JamiiForums Tanzania BLIND SPOT MIRROR – Ulinzi wa Ziada Barabarani

    πŸš—πŸοΈβœ¨ BLIND SPOT MIRROR – Ulinzi wa Ziada Barabarani! βœ¨πŸοΈπŸš— Epuka ajali kwa kuongeza uoni mpana zaidi wakati wa kuendesha! βœ… Inafaa kwenye Pikipiki 🏍️ βœ… Inafaa kwenye Bajaj πŸš• βœ… Inafaa kwenye Magari aina zote πŸš— βœ… Rahisi kufunga – bandika tu kwenye kioo βœ… Inaongeza usalama wakati wa kubadilisha lane...
  18. O

    JamiiForums Tanzania Tumia mfumo ule ule uliojenga jambo hilo kwao kulipinga kama uko kinyume nao

    Mambo ya IMANI yapinge Kwa IMANI Mambo ya SAYANSI Kwa SAYANSI Falsafa Kwa falsafa. Kinyume na hapo hakuna kinachofanyavkazi unabaki na mtazamo wako na wao mtazamo wao. Ukipingana kwa falsafa au fact za kisayansi, Kwa WATU WA Imani, mara nyingi watu wa imani hawatakubali kwa sababu msingi wao...
  19. JamiiForums Tanzania Uzi wa nyimbo zilizo tumia AI

    Afichaye dhambi zake
  20. JamiiForums Tanzania Je ni wapi naweza pata huduma nzuri ya corporate food catering kwa hapa dar?

    Hello bosses and roses... Je ni wapi au nani anatoa huduma nzuri ya corporate/office food catering kwa hapa dar? Location around Ubungo, Kimara na Tabata. Pia hata kama una hoteli yako na upo maeneo hayo pia unatengeneza chakula grade nzuri unaweza nicheki tuka-negotiate
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…