nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sina kumbukumbu kama amewahi kutokea Mwanasiasa mwenye akili nzuri na smart nchi hii kama Tundu Lissu

    Mpende mchukie The guy is truly gifted. Huyu jamaa sio wa sayari hii. Sidhani kama Tanzania imewahi kupata mwanasiasa smart na aliyejaaliwa akili kubwa kama huyu. Akiongea. Hata uwe kilaza wa namna gani lazima utamsikiliza na kumuelewa. Akiwasilisha hoja hata uwe unamchukia na haumpendi kiasi...
  2. JamiiForums Tanzania BIHARAMULO: Wadau wa maendeleo kukabidhi tuzo kwa DC Advera na mbunge Chiwelesa kwa kazi nzuri .

    WADAU WA MAENDELEO YA WILAYA YA BIHARAMULO WAMEANDAA TUZO MAALUMU KWA VIONGOZI WETU .Mh,Mkuu wa Wilaya ya biharamulo SACP ADVERA BULIMBA na Mhe mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa. Tangu SACP Advera Bulimba awasili biharamulo mji umetulia na kutoa wasaa kwa kila mkazi kufanya shughuli...
  3. JamiiForums Tanzania Marekani ina katiba nzuri na mfumo mzuri wa uchaguzi, lakini vurugu na risasi havikomi — Kwanini?

    Marekani ni taifa linaloheshimika duniani kwa kuwa na katiba ya kihistoria yenye kuheshimu haki za binadamu, pamoja na mfumo wa kidemokrasia ulio imara. Chaguzi za Marekani huendeshwa kwa uwazi na uhuru mkubwa. Licha ya hayo yote, bado katika Taifa hilo kubwa duniani, tunashuhudia matukio ya...
  4. JamiiForums Tanzania Perfurmes gani nzuri kwa bei ya elfu10 hadi elfu30?

    Perfume gani za bei hizo za 'mtanzania' ambazo walau ni standard na bei wanayoimudu wengi?
  5. W

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua mashine ya kufulia nguo, ni mambo yapi niyazingatie ?

    Bajeti yangu ni shilingi laki 7,nahitaji kununua mashine ya kufulia nguo Ni mashine ipi nzuri pamoja na model yake Mashine ambayo hata ikiharibika spea zimejaa na mafundi wengi wanaziweza
  6. JamiiForums Tanzania Ipi ramani nzuri kati ya izi mbili apa chini

  7. JamiiForums Tanzania Ipi ramani nzuri kati ya hizi mbili hapa chini?

  8. JamiiForums Tanzania Ipi ramani nzuri kati ya izi mbili apa chini

  9. JamiiForums Tanzania Niko na 510K Natafuta Simu Nzuri, Nisaidieni Kabla Sijaingizwa Mjini DSM Na Wingbacks.

    Watalamu wa tech nipeni suggestions. BRands kama Samsung na Xiaomi. Chief-Mkwawa ,
  10. JamiiForums Tanzania Matumizi ya pombe kupungua kwenye nchi ni habari nzuri au mbaya?

  11. R

    JamiiForums Tanzania Nina perfume nzuri sana bei mserereko hutojutia

    Perfume nzuri za Dubai nicheki au tutembelee sinza karibu na wanyama hotel 0769618684
  12. U

    JamiiForums Tanzania Nashauri John Heche akamatwe haraka na kushtakiwa kwa . matamshi hatarishi yanayoharibu tashwira nzuri ya taifa na Rais wetu

    Wadau hamjamboni nyote? This is so serious, the man should be taken into jail Ni mtu anahatarisha Usalama wa ndani na kuharibu tashwira nzuri ya Rais wetru, he's so deadly dangerous judging by his statements . the law enforcement agency should do the needful before it's too late. It's now...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Budget ya 500k-700k Samsung mpya version ipi nzuri camera quality,betri chaji mda mrefu,fast charging

    Habar wakuu nataka kuhama kutoka kwenye Xiaomi kuja sumsung ,naombeni msaada wenu nitoleo jipi hasa matoleo mapya naweza pata Samsung yenye camera quality,betri kukaa na chaji mda mrefu,na iwe fast charging na je maduka Gani Hasa kariakoo napata mpya fullbox,
  14. JamiiForums Tanzania Saaa sita na robo KOMBE limeelekea na ndege MOROCO tuwatakie vijana usiku mwema na safari njema kwa KAZI nzuri pls.....

    Habari za uhakika Dk 20 zilizopita timu ya berkane imeleekea MOROCO wakiwa na KOMBE lao walilopata BAADA ya kutoka drw na Simba sc UWANJA WA Amani Taarifa zaidi vijana WA Simba bado awajarudi dar es salaam na aijulikan watarudi kwa meli boti ama ndege KWA KAZI nzuri waliyofanya Naomba...
  15. JamiiForums Tanzania TV Gani ni nzuri asa hizi kampuni za kichina

    Wakuu naitaji TV 32inch, sahivi kuna kampuni nyingi sana za TV ,hasa hizi made in china. Je kampuni gani nzuri ya TV Kwa hizi made in china? Ushauri tafadhari
  16. O

    JamiiForums Tanzania WATAALAMU NAOMBA KUJUA AI GANI NZURI KWA KUTENGENEZA VIDEO?

    HABARI ZENU NNATAKA KUTUMIA AI KUTENGENEZA VIDEO NAOMBA KUJUA IPI NZURI KATI YA GROK AI AU DEEPSEEK AU KM KUNA NYINGINE YOYOTE NZURI ZAIDI YA HZO NAOMBA KUJUA
  17. JamiiForums Tanzania Soma hapa umuhimu wa kuwa na landscape design nzuri kwenye nyumba yako wale wapenda garden

    Landscape design ina umuhimu mkubwa sana kwenye nyumba, na hapa ni sababu kuu chache: 1. Urembo (Aesthetics): Inafanya mazingira ya nyumba yaonekane maridadi na ya kuvutia. 2. Thamani ya Mali: Nyumba yenye landscape nzuri huongeza thamani ya ardhi na kuvutia wanunuzi au wapangaji. 3. Faragha...
  18. JamiiForums Tanzania Binafsi hadi hii leo sijaona kinachonivutia katika umbile la mwanamke zaidi ya sura ilio nzuri. Zingatia neno "binafsi"

    Najua mtaanza na maneno ya sura hata punda anayo🤣
  19. JamiiForums Tanzania Ndugu zetu wanademokrasia nendeni mkaifanye kazi nzuri ndani ya CHADEMA

    Wapendwa wetu ambao kwa haki Ile Ile ya kidemokrasia, mmeamua kuondoka katika chama dhoofu cha chadema, nendeni CHAUMMA, mkaifanye kazi iliyo tukuka, ninyi ni wajuzi, basi enendeni mkasambaze ujuzi wenu kwenye chama chenu kipya, umakini, ustadi sera na yale yote yaliyo mazuri, hasa kutotumia...
  20. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa jamiiforums ibadilishe muonekano wa app na kuongenza features ili kuendana na wakati ilikujiweka nafasi nzuri ya ushindani

    Ni wakati sasa jamiiforums ibadilishe muonekano wa app na kuongenza features ili kuendana na wakati ilikujiweka nafasi nzuri ya ushindani Ili kuoata watumiaji wapya
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…