nzito

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. INAUZWA Mashuka mazito

    SHUKA NZURI SANA WAPENDWA SHUKA 2 NA FORONYA 2 SIZE 6/7 GOBA PRICE 25,000/= 0699451529
  2. Urusi kupeleka majeshi yake na silaha nzito nchini Cuba na Venezuela kama Marekani itaendelea na kujiingiza Ukraine

    Huenda dunia ikarudi tulikotoka 1962,baada ya uoga wa Marekani dhidi ya USSR na kuamua kupeleka silaha za nyukilia nchini uturuki ili kuivizia USSR, nayo USSR haikua mvivu, ikapeleka silaha zake nzito nchini Cuba ili kuidhibiti Marekani. Leo Tena Marekani na mpango wake wa kutaka kuikaribia...
  3. Kuna meseji nzito imemchangaya jamaa yangu

    Habari za saa hizi ndugu zangu. Kuna ndugu anahitaji ushauri kidogo mimi nimeshindwa cha kumjibu labda nyie mnaweza mkamsaidia kwa mawazo KIUFUPI Jamaa ana binti ambaye ana marengo naye, ila binti huyo anasoma kwahiyo jamaa amesubiri binti amalize masomo yake ili aweze kufanya michakato...
  4. Jeshi la Polisi nchini, msimtishe Askofu Mwingira, bali zifanyieni kazi tuhuma nzito alizozitoa

    Jukumu namba moja la Jeshi la Polisi nchini, ni kuwalinda Raia na mali zao. Katika mahubiri aliyoyatoa katika sikukuu ya Krismas, Askofu Mwingira wa kabisa la Efatha nchini, alitoa tuhuma nzito Sana kwa vyombo vya serikali, kuwa alinusurika kuuawa mara 3 na akaendelea kueleza kuwa hata yule...
  5. M

    Whistleblower: Kashfa nzito suala la sukari, wamo vigogo wazito

    BARUA KWA RAIS SAMIA SULUHU KUHUSU UFISADI KWENYE SUKARI 11 December 2021 Mheshimiwa Rais nakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lakini ningependa badala ya kusema kazi Iendelee basi uitikie haki, ustawi wa watu na uhuru wa kweli. Mheshimiwa Rais nina mengi ya kukueleza kuhusu...
  6. M

    Ishu nzito kama hii ya Magendo, Bangi, ulevi, dawa za kulevya Mbunge Dkt. Charles Kimei amechemka

    1. Ku address issue nzito kama hii ya magendo, ulevi, dawa za kelevya (narcotics) kwenye Bunge inahitaji umahili wa hali ya juu sio kutoa tu statements na kusema huu ni ukweli. Hapo Dr Kimei alitakiwa atoe matamshi yake kama "facts" zenye supporting data, yaani "facts and figures". Yeye kama...
  7. J

    Shaka Hamdu Shaka: CCM haitavumilia wananchi kubambikwa kesi

    Shaka : IGP Simon Siro tupia jicho lako kwa baadhi ya askari wako wilayani Kahama na kwingineko | Wanabambika watu kesi kubwa na nzito na baadae kuwatoza faini tena bila risiti kamwe CCM hatutavumilia hili | "Wananchi ninazo taarifa juu ya vitendo viovu vya kupambikwa kesi za kukamatwa na bangi...
  8. Kenyatta na Nduguze wana mabilioni ya fedha waliyowekeza Uingereza

    Taarifa zenye ukubwa wa TeraByte 2.9 zimevuja zikiwa na taarifa kuhusu utajiri wa watu mashughuri duniani wakiwemo marais waliostaafu na walioko madadrakani Kwa nchi za Afrika taarifa za Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta zimeonekana katika taarifa hizo ambazo zinaonesha Kenyatta na nduguze wana...
  9. Achana na Chanjo ya UVIKO-19, Hii ndio propaganda nzito iliyokuwa inapigwa kupinga Umeme miaka ya 1990s

    Propanda ya kupinga Umeme.
  10. Rais wa Chama cha Walimu (CWT) Bi. Leah Ulaya, asimamishwa kwa tuhuma nzito

    Dodoma. Baraza Kuu la Chama cha Walimu Tanzania (CWT) limemsimamisha rais wa chama hicho, Leah Ulaya kwa madai kuwa ameshindwa kuwaunganisha walimu na kueleza changamoto zinazowakabili. Kwa uamuzi huo, Leah atasubiri hatima yake katika mkutano mkuu wa CWT utakaofanyika mwaka 2022 ili kujua...
  11. Zimebaki siku 6 nchi iingie kwenye aibu nzito

    Yanga itacheza na Rivers Jumapili Mkapa Stadium. Naionea huruma Tanzania inaenda kuingia kwenye aibu kubwa ya mwaka. Hii timu mazoezi inafanyia mitandaoni. Hii timu mazoezi inafanyia kwenye magazeti. Pre Season ya maana kabisa ilichezea kichapo kikali ikakata ringi kipindi cha kwanza tu. Pre...
  12. Sabaya, Kakoko ngoma nzito

    Dar/Tabora. Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imeeleza namna ilivyofichua sakata la aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, huku wananchi kadhaa wakijitokeza kuelezea malalamiko yao dhidi yake kwa Takukuru. Wakati hayo yakijiri, Takukuru...
  13. S

    Martin Maranja Masese apinga uteuzi wa Joshua Nassari

    Hivi ndivyo watu walivyochambua na kupinga uteuzi wa Joshua Nassari kuwa Mkuu wa Wilaya. === Mnazikumbuka sababu ya NASSARI kuvuliwa ubunge? Nchi zenye vetting system, kwa sababu zile za Nassari kutelekeza shughuli za Bunge na akaenda kula maisha Beverly Hills, USA, akashindwa kuheshimu kanuni...
  14. S

    Yericko Nyerere, tweet yako inaweza kukuletea shida kwanini ina tuhuma nzito kwa muhusika

    Nimeona umeandika ujumbe katika mtandao wa twitter huku ukimshushia tuhuma nzito yule RC wa zamani mwenye kashifa nyingi pengine kuliko wote. Wasiwasi wangu ni wahusika kukuhitaji wakitaka utoe ushahidi wa tuhuma ulizotoa ingawa si mpya kwani ni wengi wanamtuhumu ila wewe umekwenda mbali kwa...
  15. Dokta Ntara: Nguvu za kiume hutibiwa kwa vyakula tu

    Kamati ya Bunge masuala ya Afya iliypkaa dodoma hivi karibuni , kupitia mbunge wake , ambaye pia ni daktari, imesema tiba ya nguvu za kiume ni vyakula na si madaewa, alkasusu, wala mengineyp yatajwayo. Wanawake watakiwa kuwacha wanaume wapumzike kidogo baada ya bao la kwanza, maana mwanaume...
  16. Wakala wa Meddie Kagere, Mnyarwanda Patrick Gakumba atoa siri nzito za Kocha wa Simba SC Didier Gomez Da Rosa

    "Huyu Kocha nimejuana nae Siku nyingi hata kabla ya kuja hapo Simba SC. Anafanya mambo ambayo najua yatakuja Kumrudia na ataumbuka kwani hata Mwenyezi Mungu anayaona na atamuadhibu. Ana Chuki Binafsi na Mimi kwakuwa nilikataa Kumpigia Chapuo kwa Ushawishi wangu mkubwa katika Soka la hapa nchini...
  17. Baada ya Mdude Nyagali kuanza kujitetea kwa hoja nzito Mahakamani apigwa na kuteswa zaidi Gerezani kwa madai ya kuisumbua Serikali

    Madai haya mapya yametolewa mahakamani jijini Mbeya , ambako Mdude Nyagali anaendelea kujitetea dhidi ya tuhuma za uongo alizobambikiwa kinyama za madawa ya kulevya . Mdude amedai mbele ya Mahakama huku machozi yakimtoka kwamba , baada ya kuanza kujitetea tarehe 25 march 2021 , na kesi yake...
  18. Z

    Uongozi ni dhamana nzito kwa mwenye hofu ya Mungu

    Uongozi sio kitu cha kukimbilia wala kukihangaikia. Kwa mtu yeyote yule mwenye hofu na Imani kwa Mungu huwa hana tabia ya kukimbilia au kuhangaika kutafuta vyeo kwa sababu anajua kuwa cheo ni dhamana kubwa sio tu kwa Binaadamu mwezako bali Kubwa zaidi kwa Mungu. Hupaswi kufarahia sana unapo...
  19. Wanawake hivi mnapendea nini sauti nzito?

    Mimi binafsi sauti langu nalichukia yaani unakuta siku lisauti linakuwa lizito kama umemeza kokoto, cha kushangaza eti kuna lidada limoja huwa linaniambiaga anapenda sauti yangu ilivyo yani hadi namshangaa. Hivi mnapendea nini sauti nzito yaani inakuwa inawapa feeling gani sisi wenyewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…