Ishu nzito kama hii ya Magendo, Bangi, ulevi, dawa za kulevya Mbunge Dkt. Charles Kimei amechemka

Masue 1

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
661
1,162
1. Ku address issue nzito kama hii ya magendo, ulevi, dawa za kelevya (narcotics) kwenye Bunge inahitaji umahili wa hali ya juu sio kutoa tu statements na kusema huu ni ukweli.

Hapo Dr Kimei alitakiwa atoe matamshi yake kama "facts" zenye supporting data, yaani "facts and figures". Yeye kama mchumi na mbobezi kwenye financial sector alitakiwa alieleze bunge kuwa jimbo lake lina watu kadhaa na kila watu 1000 kuna walevi wangapi na wavuta bangi wangapi na wenye kutumia dawa za kulevya wangapi. Ili bunge lijue kuna tatizo la ukweli linalohitaji ufumbuzi. Alivyotamka yeye ni kama kukebehi wananchi waliomchagua.

Pili issue ya magendo ni tatizo la kiuchumi na kifedha. kwa hiyo angeliambia bunge Kilimanjaro volume ya biashara ya magendo kwa bidhaa fulani ni shs bilioni kadhaa na serikali inakosa kodi kiasi cha milioni kadhaa.

Tatu, ili kunusuru jamii na uchumi wa taifa tunahitaji kufanya mambo yafuatayo.

Kuomba serikali ikajenge vituo vya polisi bila supporting data kwanini tufanye hivyo ni kutokuwa makini kisiasa. Walevi na wavuta bangi na madawa ya kulevya sio tatizo la kimsingi la Vunjo. Vijana wakipata training for certain skills, wakipata elimu nzuri na malezi bora, wakiweza kutambua potential yao kwa kuwa involved in community activities ambazo zimeandaliwa kwa uongozi wa Mbunge, sidhani aliyoyaongea Dr Kimei yatakuwa ya msingi kwenye jimbo letu na Mkoa wa Kilimanjaro

2.Vijana wengi hawana ujuzi na wenye ujuzi hawana ajira na wenye ajira ndogo hawana mitaji na ndio hao mnaanza kuwafurusha barabarani (Wamachinga) mnatarajia wakaimbe mapambio ya kusifu na kuabudu? Dr Kimei hiyo hela ya Kuwanunulia polisi magari na pikipiki unayoiwaza kama suluhu Nenda kajenge Chuo cha Ufundi pale kwa Baldini (Balueni karibu na ilipo Agape jonior Seminar ili vijana wapate ujuzi wa Ufundi ,, Pia napo Meresini malizia kile kiwanda cha matunda ili maparachichi yetu, ndizi ziongezewe thamani

Yapo mengi ya kutatua changamoto za watu Si kuwapelekea Polisi au vituo vya polisi.

Dr huna washauri ? Katibu wako hakushauri vizuri

Nimesikitika kwa hotuba yako iliyojaa kebehi na dharau kwa wachagga kuliko matumaini na suluhu . Baba bora hakimbilii kutangaza watoto wake kuwa wanakojoa kitandani bali hukimbilia kutafuta namna ya kutatua tatizo .

#Aikenyii ndao
 
Takwimu unazozihitaji kamwe huwezi kuzipata! Na hata ukituma watu kufanya hiyo research hawatafanikiwa? Kubaliana na maelezo ya Mbunge wako kwani ana taarifa kutoka sources nyingi ikiwa pamoja na wewe!
 
Kuna watu huwa wakikataa kitu wanatafuta sababu za kijinga ili waondolewe. Huyo mbunge wako kazi hiyo haiwezi na wala hataiweza kwa hiyo ameamua kutukana watu wake ili akipigwa chini ajiite Mkweli. Amuulize mwenzake aliyeomba idadi ya Magereza iongezwe Kyela!!
 
Ukweli umechambua vizuri.
Viongozi wetu wakishakalia viti vyao huwa kama vile wanaishi sayari tofauti na hii ya kwetu.
Niseme wazi,mimi si mtenda maovu kiviile(labda dhambi za msingi) lakin n mpinzani mkubwa wa vituo vya polisi.
Kama wananchi wangekuwa vizuri kiuchumi na kimaadili polisi wasingepata kazi ya kufanya,so tuanze na elimu na uwekezaji na tukishayafanya hayo halafu watu waendelee ku-misbehave basi ndo tuwajengee vituo vya hawa wanyanyasaji(polis)
 
Back
Top Bottom