nyuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Swali kwa mods; nyuzi ni nyingi na comments zinaongezeka, Je siku JF servers zikijaa itakuaje? Ni mwisho wa JamiiForums?

    kwa hii hali ya sasa nyuzi zinavyoanzishwa kwa fujo halafu bila mpangilio na maana yoyote halafu nyuzi zenyewe za hovyo nyingi zikiwa ni za wanafunzi walioko likizo na vijana wanaokaa kwa dada zao hali inayopelekea comments kuwa nyingi pia. hii hali si itapelekea siku moja servers za JF zijae...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nyuzi zipi zina wachangiaji wengi?

    Jamii forum ndo jukwaa lenye mchanganyiko wa watu mbalimbali wakiwemo wasomi na watu wenye vitengo mbalimbali n.k. Hivyo wingi wa uchangiaji kwenye mada fulani unaweza kusaidia kuiona sura ya taifa. Je wachangiaji wengi wapo kwenye nyuzi za siasa, michezo, vita, uchumi, harakati za maisha...
  3. JamiiForums Tanzania Warembo wa JF msichukulie poa nyuzi mnazoanzishiwa wengine tuko seriously

    Nashqngazwa na hawa warembo wa Jf, wanamashauzi kinoma ujue mpaka mtu amekufungulia ni kwamba kavutiwa kutoka moyoni kwasababu "The true love come from unknown" Ebu fikiria yaani Jf yote hii mtu kakuchagua wewe tu huoni hiyo ni bahati ya mtende. Sasa basi kuanzia leo tukiwaandikia nyuzi hapa...
  4. JamiiForums Tanzania Mbona sina access ya nyuzi zangu, nikitaka kuziona nazipatia wapi kwenye App?

    Nimejaribu kutafuta threads zangu sizioni sasa najiuliza hii app ya JF imezipeleka wapi maana sina access nazo wala siwezi kuziona. Nikiingia kwenye "your contents" nakutana replies zangu kwenye nyuzi za watu wengine ila sioni nyuzi zangu.
  5. JamiiForums Tanzania Hivi nyuzi za maana humu jeiefu ni ZIPI?

    Kwanza kabisa nakubali kwamba nikweli mimi mwehu ndama ubongo wangu umecheza mahala fulani..Na nyuzi zangu nyingi humu jukwaani nikweli zinaashiria upungufu wangu wa akili sababu bado nakula majani. Lakini kumekua na wimbi kubwa la wenye hekima na akili tele humu jeiefu kuzisema Kila nyuzi...
  6. JamiiForums Tanzania Kumbe kuna nyuzi nimezuiluwa kuchangia?? Nini jf inakiogopa ni haya madini yangu😀😀

    Kuna uzi nimuuona unahusu Nchi ya Rwanda imeendelea kuliko Kagera” Nikajaribu kupitia nikaona analysis iliyofanyika ni yakitoto! Wakati nimeandaa madini yangu kumuelimisha huyu jamaa nikaambiwa SIRUHUSIWI KUCHANGIA” kuna shida kidogo Nikalog out nika log in kurudi ishu ile ile Kuufuatilia...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Najitolea kuwa Mentor

    kama unataka kuwa na personal development, au unatafuta mtu wa kukuelekeza kwenye mambo mbalimbali kupitia falsafa. basi mimi ninajitolea kua mentor nitawaongoza watu wawili kwa mwaka mzima mentor wangu Mr Rohn alisema don't wish for less challenges, wish for more skills. don't wish for less...
  8. JamiiForums Tanzania Tuheshimianeni humu ndani, nyuzi zangu hazina muendelezo leo nikisema mimi polisi, kesho kutwa mganga.. nisiulizwe

    Hamjambo nyie waja Binafs sitaki niulizwe, yaani ukute leo nimetoa uzi mimi mwizi, kesho kutwa mimi askofu au sheikh sitaki niulizwe au nikumbushiwe Uwa nawa replesent watu wangu wa karibu, sasa mkiniuliza mimi nilikuwa mlevi vipi leo naswalisha sitak maswali ya hivyo Humu kuna watu...
  9. JamiiForums Tanzania Andekeni nyuzi nzuri ila punguzeni mahaba ndani yake

    Wadogo zetu wa kiume mnawapa shida sana na post zenyu🤪 Wakizisoma wako magetoni pekeyao na upweke na hii hali ya hewa halafu vichelema vimewachosha.. Kuna hisia fulani amazing wanazipata Kwa umri wao hata maandishi yanaweza kuwapa ashiki maana wanayafanyia transformation kwenye sauti na kuvuta...
  10. JamiiForums Tanzania Hawa wanaume wanaoleta nyuzi za kulia lia ifike mahali wadhibitiwe

    Habari everyone. We're too weary... you did it long enough, no more chance for that. haipiti week mwanaume analeta uzi analia sijui kaachwa, mara sijui anaitwa bahili na vitu kadha wa kadha... binafsi nakwazika sana na nadhani wapo wengi wanakwazika kama mimi. MMU kuwa jukwaa la mahusiano...
  11. JamiiForums Tanzania Ramadhani imeshaingia zile nyuzi zimeshaanza

    Moja kwa Moja.. Leo nimeingia Jf now , nilijua tu haiwezi Ramadhani kuanza kinyonge bila kukuta zile nyuzi nikasema ngoja nichungulie HMM , page ya mwanzo tu nikakuta nyuzi zimeongozana ya kwanza hii 👇👇 halafu hii nyuzi kila Ramadhani lazima ianzishwe ndio uzi ambao unaingia kwenye rekodi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Hakuna bunge pale acheni kuleta nyuzi zake hapa JF kujaza server.

    GT Nawashangaa sana ninyi mnaojaza server za JF kwa habari za wahuni wamekaa kumsifia Samuya. Hiyo ndo.kazi ya mbunge? Hilo bunge siyo halali hawatakiwa kupewa airtime hata kidogo.. Maana hakuna hata mbunge mmoja aliyajutia mauaji ya M029 hao ni kuku kabisa achaaneni nao.
  13. JamiiForums Tanzania Kama jf ni great thinkers, kunakuwaje na nyuzi za kizwazwa?

    Kuna nyuzi nyingine zinazokingana na sifa ya jf. Mfano, mtu anauliza eti ni faida gani ulipata kwa mwanamke! Kamuulize mama yako ndo utajua faida ya mwanamke. Mwingine mara usipinge dini fulani na mengine mengi. Kwani hizo dini zenu hazipingwi? Huwa nashangaa kwanini kuna nyuzi nyingi za...
  14. JamiiForums Tanzania Mimi sio nabii ila kesho utaona nyuzi za yesu alikuwa ni mpalestina na christmas ni sherehe ya majini

    Anaesema hivyo yeye mwenyewe anasubiria mto wa mvinyo na wanawake 90 huko peponi 😂😂
  15. JamiiForums Tanzania Uzi wa kuhamasisha kutochangia chochote kwenye nyuzi za Lucas mwashambwa na Tlahtlaa

    Ndugu wana jf binafsi nimechoshwa na uchawa wa hayo mazimwi hapo juu nawaomba ili kutowapa airtime yoyote kama alivyoshauri comrade Mshana Jr nawaomba wakipost chochote kikaushieni msikoment Wala ku react Kwa namna yeyote ile hii itapelekea manyuzi yao kupotea na kujifia haraka na mwisho hata...
  16. JamiiForums Tanzania Uwiano wa kujibu(replies) nyuzi na soma (views) jukwaani ya shangaza!

    Uwiano wa kujibu nyuzi na kuzitama/soma jukwaani, hasa jukwaa hili la siasas unashangaza! Kwa haraka haraka sana uwiano ni kama ifuatavyo kwa uchache: 1. Nyuzi za Leo-74/994; 2/10; 29/698; 10/134; 16/282;,na 24/307 2. Nyuzi za jana kurudi nyuma- 61/2000; 164/3000; 15/214; 15/219; 4/126...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Nyuzi mfululizo za kubeza, kutisha na kukatisha watu tamaa dhidi ya kutoka badala ya kutiki Oct 29 zinachefua na kukera sana

    Wiki ya pili sasa kuelekea October 29 kumeibuka mfululizo wa nyuzi nying za ajabu ajabu za watu wanaojiona ni wazee wa busara wakibeza, kutisha na kukatisha tamaa raia wanaopanga au kuhamasisha kutoka na kupaza sauti kwa maandamano dhidi ya mfumo dhalimu na kandamizi wa haki. Utitiri wa hizi...
  18. JamiiForums Tanzania Wito wa kususia nyuzi zisizo na uhalisia kisiasa kuelekea hatma ya Taifa hili

    Comrades, Natoa wito kususia mada ambazo ha,ina uhalisia kisiasa. Mada zinazoikweza ccm katika mazingira haya ya sasa. Mada kama zifuatazo 1. Kusifia nyomi 2. Kusifia ilani, hasa hama kilichopo madarakani 3. Kusifia misafara ya mvombea wa ccm 4. Kuaminisha watu ccm kina nguvu ya hoja 5...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini wana JF wengi hawapendi kuchangia nyuzi za kimombo?

    Nimekuwa nikifuatilia nyuzi nyingi za kimombo. Nimegundua kuwa hazina wachangiaji, na hivyo wasomaji. Je, tatizo ni lugha au kuna namna?
  20. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuelekea Sep 15: Macho yote kumchuzi, nyuzi nyingi kuhusiana na Lissu humu ziko kupima maji. Tujipange kusuka au kunyoa!

    Si haba kujua wahuni wamejaa kote mtaani na wengine mitandaoni wakitumia VPN, wakipima maji. Wenyewe wakiita wakiusoma mchezo. Kwa hakika kama uraiani kutakuwa hakusomeki na ni salama zaidi kwao, TAL ataendelea kubakia korokoroni. Na huo ndiyo ulio ukweli mchungu na kinakachotokea Sep 15 wala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…