nyumba

  1. D

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kujenga nyumba ya vyuma kwa kipato Cha 800k?!!

    Habarini wadau. Kutokana na udogo wa kipato na changamoto ya kutopatikana kwa miti ya maana ya kupaulia, napata wazo kichwani la kujenga na kupaua kwa kutumia vyuma. Sijajua gharama yake ila hiyo ndo ndoto niliyonayo......nahisi hilo litakuwa nafuu huko mbele (kwa maana nitatulia muda mrefu...
  2. JamiiForums Tanzania Usijenge nyumba kwenye mpaka ni kosa kisheria

    MAANA YA SETBACK KWA LUGHA RAHISI Setback ni nafasi ya wazi ambayo lazima uache bila kujenga kati ya nyumba yako na mpaka wa kiwanja chako. Mfano rahisi kama hauna elimu ya ujenzi: Fikiria kiwanja chako ni karatasi. Halmashauri inakuchorea mstari ndani ya karatasi hiyo. Inakuambia: "Jenga...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mapazia ya kisasa, designing and installation kwa ajili ya nyumba, hotel, offices etc

    UNATAKA NYUMBA, HOTEL AU OFFICE YAKO IONEKANE YA KISASA NA YA KIFAHARI? 🏠✨ Watu wengi hutumia fedha nyingi kwenye furniture, rangi na decoration mbalimbali lakini bado room haipati ule muonekano wa “complete luxury look”. Sababu kubwa mara nyingi huwa ni uchaguzi mbovu wa MAPAZIA. Pazia si...
  4. JamiiForums Tanzania Unajenga nyumba ya milion 300 ili upangishe laki 3, ni akili au matope?

    Tubuni njia nyingine za kuwekeza, kwenye mijengo ni kutupa pesa. Ukishapata kimjengo cha kuishi achana na show offs ati unamiliki mijengo mingi Ili kurudishwa milion 300 itachukua muda wa miaka 83. Hapa hujahesabu gharama za ukarabati na muda mwingine wapangaji hakuna Miaka 83 ni mingi mno...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naangalia Nyumba kwa ungalizi

    Mhali Gani wakuu husika na kichwa cha habari pale juu Mimi ni kijana wa kiume natafuta mtu au watu naoweza kuingia nao mkataba wa kumtunzia Nyumba akiwa kasafiri yupo mkoani au nje za nchi usihofu Mimi ipo ndani ya uwezo wangu usiwe na wasiwasi Utaikuta katika Hali nzuri vilevile kama...
  6. JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Bahari beach

    Nyumba Inauzwa Bahari beach, Dar es Salaam. Mahali: Mtaa wa Simba/Mugeta. Sifa za Nyumba: *Iko Mita 100 kutoka barabara kubwa ya ununio. *Ina vyumba vitano vya kulala, vyote ni master. *Huduma zote za kijamii zipo. Ukubwa wa Eneo: SQM 1833. Nyaraka: Ina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 900...
  7. JamiiForums Tanzania Nyumba ina hati ya wizara inauzwa 270m Dar kitunda ukonga

    NYUMBA INA HATI YA WIZARA INAUZWA #MILLION_270 MAONGEZI IPO DSM KITUNDA UKONGA VYUMBA VITATU VYOTE MASTER SEBULE DINNING JIKO CHOO CHA PUBLICITY N.K STORE UKUBWA WA ENEO SQM 1,500 KARIBUNI SANA PG AU WHATSAPP 0718408733
  8. JamiiForums Tanzania Inahitajika nyumba ya kununua kuanzia Mbezi, Kibamba na Kiluvya

    Location: Kuanzia Mbezi Mwisho, Kibamba hadi Kiluvya Budget: Isizidi Tsh Milioni 50 Mahitaji ya nyumba: • Vyumba 3 (kimoja kiwe Master Bedroom) • Sitting Room & Dining Room • Jiko kizuri • Public Toilet • Nyumba iwe imekamilika full tayari kwa kuhamia • Iwe na Tiles, Gypsum na Madirisha ya...
  9. JamiiForums Tanzania House4Sale Inauzwa Tshs. million 160 (mazungumzo) nyumba ipo Kitunda ukonga

    Ina hati ya serikali ya mtaa Inauzwa #million_160 (mazungumzo) Nyumba ipo Kitunda Ukonga Vyumba vitatu- kimoja master) Dinning, sebule, jiko & choo Kiwanja sqm 500 Mawasiliano 0718408733
  10. JamiiForums Tanzania Kipi bora kununua nyumba au kujenga mwenyewe?

    Hivi kati ya kujenga nyumba au kununua kipi ni gharama kubwa?
  11. JamiiForums Tanzania Tunafanya urembo wa nyumba yako kwa gjarama nafuu sana.

    Tanafanya finishing za nyumba kwa gjarama nafuu sana , moulding decorations, ceiling disign na skimming .tupo dar es salaam na tunafika mikoani bila shida kabisa. 0765069058 WhatsApp.
  12. JamiiForums Tanzania Umeme na usalama wa nyumba, Kiwanda au mitambo yako

    ⚠️KWANINI UKATE TAMAA NA KUIONA KAZI YAKO CHUNGU? Umechoshwa na: ❌ Cable na Vifaa feki vinavyochelewesha kazi na kuhatarisha usalama site? ❌ MCB zinazokatika bila sababu? ❌ Wasambazaji wasio na uelewa wa kiufundi? ❌Kufanya Biashara na Watu Wasio Waaminifu? ✅SULUHISHO LIMEPATIKANA Rafiki...
  13. JamiiForums Tanzania Raman za nyumba zinazokubalika na Halmashauri/Mamlaka ya Mji lazima ziwe na vitu hivi

    Raman za nyumba zinazokubalika na Halmashauri/Mamlaka ya Mji lazima ziwe na vitu hivi: 1. Taarifa za Msingi - Title Block Jina la mradi - Mf: Nyumba ya Makazi ya Bw. Juma Ally Mmiliki - Jina kamili la mteja Mahali - Plot No, Block, Kitongoji, Kata, Wilaya Msanifu - Jina, saini, namba ya...
  14. JamiiForums Tanzania Mkakati kamambe uanzishwe kuandikisha wanachama wa CHADEMA. Ziundwe timu maalumu kupita nyumba hadi nyumba. Gen Z wawe kipaumbele

    Nyumba kwa nyumba wanachama washawishiwe kujiandikisha. Iundwe timu maalumu kushughulikia hili. Ndani ya miezi sita Chadema itakuwa na wanachama wengi. Gen Z iwe kipaumbele. .Baada ya hapo maandamano ya kuipinga serikali ambayo haikuchaguliwa na wanannchi yaandaliwe.
  15. JamiiForums Tanzania Unafanyaje kukusanya kodi nyumba iliyo mbali? Nishachoka

    Wakuu, akili imezima Wapangaji hawalipi na niko mbali
  16. JamiiForums Tanzania Napinga pendekezo la tume ya Jaji Chande la kurudisha na kurasimisha mfumo wa nyumba kumi, haufai

    Jaji Chande katika mapendekezo yake ya kuimarisha usalama na uzalendo alikuwa anaongea mambo ya ajabu ajabu sana ikiwemo kuhakikisha vijana wote wanaenda JKT na kurudisha na kuimarisha mfumo wa nyumba kumi. Sababu alizozitoa ni za ajabu sana , zisizo na mashiko kama sio za uongo, kwamba eti...
  17. JamiiForums Tanzania Nyumba za Dar zinazouzwa bilioni tano, zinastahili?

    Nimejaribu kuwaza thamani ya baadhi ya nyumba za kuishi zinazouzwa kwenye Jiji la Dar es salaam kama zina thamani inayotajwa, Bado sijapata jibu. Hivi nyumba inawezaje kuuzwa kwa bei ya shilingi bilioni tano kama hakuna dhana ya utakatishaji fedha ndani mwake? Ni thamani ya Hela yetu imeshuka...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Siridhishwi na Watumishi wa Umma tunavyokatwa kodi ya Nyumba ya Serikali kupitia TANESCO

    Kutokea Kibondo, naomba ufafanuzi kwenye shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Je! Ni kwanini sisi Watumishi wa Serikali tunaoishi nyumba za Serikali, vijijini tumeunganishiwa kwenye system ya Kulipa kodi ya nyumba ilihali kuna makato kwenye mishahara yetu na bado hayo makato ya REA, VAT na EWURA...
  19. JamiiForums Tanzania Tuwe watulivu, busara na hekima itawale asijifanye mtu mwenye nyumba wote ni wenye nyumba

    Tanzania katikati ya matumaini na mashaka, ikisubiri ripoti ya Oktoba 29 Tanzania kwa sasa iko katika wakati wa kipekee na wenye uzito mkubwa wa kihistoria. Ni kipindi cha kusubiri, kutafakari na kujiuliza maswali magumu kuhusu mustakabali wa taifa, wakati macho yote yakiwa yameelekezwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini nyumba zinazopauliwa kwa mabati mfano wa vigae ni chache sana?

    Kwanini nyumba zinazopauliwa kwa mabati mfano wa vigae ni chache sana? mabati haya aina ya vigae maarufu kama versatile fatilia uzi huu nitashare maoni yangu kama una maoni yako yalete pia 0743 257 669 fundi kupaua
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…