nyumba

  1. T

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujenga nyumba kimasihara

    Wakuu heshima kwenye, Naamini mmestuka kidogo mkajua Uzi huu unafanana na Uzi wa Rikboy... hapana, hapa namaanisha NAMNA gani tunaweza kupata cement, nondo, tiles, mabati, fundi wa bei rahisi Ila anakazi nzurna vifaa vingine. Kumbuka unapochangia zingatia kutoka location, na gharama...
  2. JamiiForums Tanzania DR Congo: Mafuriko yaua watu 141 na kuharibu nyumba 38,000, Rais atangaza siku 3 za Maombolezo

    Taarifa ya Wizara ya Afya imesema hadi kufikia leo Desemba 14, 2022 imehesabu miili 141 na kuongeza kuwa idadi inaweza kuongezeka kadri utafutaji unavyoendelea. Zaidi ya nyumba 38,000 zimekumbwa na Mafuriko na nyingine 280 zikiporomoka jijini Kinshasa, eneo lenye Wakazi Milioni 15...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini nyumba za Chamazi, Mbagala, Chanika zinauzwa sana?

    Kwenye matangazo mengi, mf. Kupatana, Facebook market n.k, utakuta matangazo mengi ya nyumba zinazouzwa zipo Mbagala Chamazi. Ni kwanini? Hii inatia shaka hata kununua nyumba hizo. Kunani Chamanzi?
  4. JamiiForums Tanzania Mliooa hamna tofauti na vizimba vya sokoni. Watu wazurulia humo

    Walioa bhana yaani kelele na kutikisa vitambi tu, hawatembei na vivuli vya wake zao. Wakiwa bar wao, mgahawani wao, lodge au gesti wao, ktmota wao, kuku wao, kwenye sebene wao. Jazeni vitu vya maana kwenye mafrifge zero, pigeni shoo za maana zero, kwenye sebene mnaenda na migebuka, mkirudi...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya saloon vinauzwa

    Habarini ndugu zangu. Kuna saloon inauzwa ipo Kimara B Kwa Komba (karibu na Stopover), kama huitaji kununua saloon yote then unaweza kununua kitu utakachohtaji. Kinyozi wangu aliekua hasumbui kweny hesabu amehamia mkoani ili kuwa karbu aweze kumuuguza mama yake, namm pia nahamia mkoani kikazi...
  6. H

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inatafuta mpangaji Kimara stopover

    Habari ndugu zangu, Nyumba inatafuta mpangaji, mpangaji amehama jana tar 04/Dec/2022. Location-Kimara stopover Kodi-450K per month Ulipaji-Kila baada ya Miezi 6 Vyumba vi3 (Kimoja masters) Sebule kubwa Room moja ya jiko Public toilet (Ipo ndani ya nyumba) Ipo ndani ya fence, na kuna...
  7. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba nzuri zinauzwa maeneo mbalimbali jijini Mwanza

    Ni nyumba nzuri kwa ajili ya matumizi ya familia ipo jijini Mwanza, bei yake ni shilingi milioni 37 japo maongezi yapo. Wewe njoo na pesa yako tuongee, hiyo bei wala isikutishe, miliki na wewe nyumba yako jijini Mwanza. Kwani wao waweze wana nini na wewe ushinde una nini? 0769344686
  8. JamiiForums Tanzania Jiunge Leo Katika Mafunzo Ya Siku 10 Kuhusu Uwekezaji Kwenye Viwanja Na Nyumba

    Habari yako rafiki yangu, Naitwa Aliko Musa kutokea jiji la Mbeya. Mimi ni mwandishi mbobezi wa makala na vitabu vya mbinu bora za kuwekeza kwenye viwanja na nyumba. Ninawafikia wawekezaji kupitia mtandao wangu uitwao UWEKEZAJI MAJENGO. Nimekuandalia mafunzo mazuri sana ambayo yatakuwezesha...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Anayejua tabia za wanajeshi wanaume katika mahusiano (kuna mwanajeshi ana flirt na nyumba ndogo yangu)

    Kwa mwenye uzoefu na hawa wanajeshi wa kibongo tafadhali afunguke. Description: ~ Huyo mjeda ni mtu mzima above forty. ~ Ana mke na watoto. Huyo nyumba ndogo yangu ni mke wangu wa pili halali wa ndoa, anaishi mtaa tofauti na mke mkubwa. Nilimfungulia biashara so huyo mjeda kakutana naye kwenye...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mabati ya kampuni ya Taishan nani anayafahamu vizur?

    Wakuu Nina ka ujenzi kanaendelea nimefikia hatua ya kupaua nimeona hii kampuni imefungua ofisi hapa mwanza karibu na site yangu na bei zao sio mbaya wasiwasi wangu ni ubora je kuna mtu anauzoefu na Bidhaa hii?
  11. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo: Kubadilisha nyumba ya makazi kuwa gesti

    Poleni na majukumu wakuu, naombeni mawazo yenu binafsi nimefanikiwa kujenga nyumba ya room 3 zote master, sitting room kubwa, dinning, jiko, stoo na public toilet na kwa sasa nimeshaipaua nategemea kuingia kwenye hatua ya finishing. Baada ya kufika hatua hii likaja wazo kuwa huko mbeleni nije...
  12. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina, wenzio huwa wanachoma nyumba baada kumaliza kuhamisha asset zilizomo ndani!

    Mpina ni shujaa wa kweli, akisimama bungeni kunakuwa kimya! Hana unafiki tatizo kachoma nyumba mapema sana angesubiri kwanza akusanye vitu vyake timing imekuwa shida sio usione kujiunga Tadea!
  13. JamiiForums Tanzania Iran: Waandamanaji watia kiberiti iliyokua nyumba ya Khomeini, wanapinga dhuluma kutoka kwa dini ya kiislamu

    Wananchi wamechachamaa....hadi kieleweke, wamechoka unyanyasaji wa kidini, kila mtu aachiwe huru kwenye masuala ya kiimani, Iran ilikosea sana kumuua mwanamke kisa kipande cha nywele kilichomoza kichwani, serikali inaendelea kuwaua ili kumpigania "mungu" wa waislamu ila wananchi wameamua hata...
  14. JamiiForums Tanzania Panya Road wavamia nyumba za wakazi Kibaha, wapora na kujeruhi wananchi kadhaa

    Wananchi waliovamiwa na kundi la vijana Wahalifu wenye silaha mbalimbali maarufu Panya Road maeneo ya Kibaha Mkoani Pwani wamesema vibaka hao waliwavamia kwa makundi huku wakisema hiyo ndio njia yao ya kupata rizki hivyo kila mtu atii amri ya kutoa anachoelekezwa. Wakizungumza kwenye makazi yao...
  15. JamiiForums Tanzania Unahitaji mapazia ya nyumba yako? Pitia uzi huu

    Anza kwa kutazama clip hii⬇️ Then, mengine tutazidi kujuzana.... Ila kama upo interested sana basi waweza kunicheki WhatsApp 0685269533 au ukapitia page yangu ya Instagram kujionea kwa kubonyeza link hii https://instagram.com/flameinteriors?igshid=YmMyMTA2M2Y= Hapo kama uonavyo ni mapazia...
  16. JamiiForums Tanzania Kuweni makini: Nyumba za kisasa zisizoonyesha bati juu zinavuja mno, msikimbilie kujenga

    Wadau habari zenu, Utafiti wangu wa kina umebaini kuwa watu wengi Leo hii wanajenga kwa kasi sana nyumba za kisasa zisizoonyesha bati lake. Ila wengi mno wanalia kipindi cha mvua, hazitililishi maji vizuri na hivyo kuharibu sana Ceiling boards na Gypsum na kulowanisha kuta. Nimeshuhudia wengi...
  17. JamiiForums Tanzania Nyumba ya 150,000,000 iliyojengwa kwa tozo hongereni CCM

    Baada ya jamaa kule kupiga mamilioni huku tutizame nyumba ya Mkurugenzi ya mamilioni ya tozo za watanzania
  18. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa taratibu za kupata Hati Miliki ya Nyumba

    Wana-Jukwaa habari ya muda huu, naomba kufundishwa jinsi ya kupata hati miliki ya nyumba, baada ya kuandikishana kwenye kitongoji husika sasa nahitaji kupata Hati Miliki Natanguliza shukurani.
  19. JamiiForums Tanzania Fumanizi la mama mwenye nyumba

    1st Portion: Nimepitia nyumba kadhaa za kupanga, visa na Mikasa ni mingi, ila kuna hii moja sitoweza kuisahau kirahisi. Hii nyumba ipo (ilikuwa) maeneo Fulani, jijini Dar Es Salaam. Baada ya kuoneshwa nyumba kadhaa na madalali, ndio nikaangukia kwenye ile nyumba. Wamiliki ni watu wa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya ghorofa Arusha yenye uwanja wa kutosha

    Habari wakuu. Natafuta nyumba ya kununua iwe na ghorofa moja hapa Arusha na iwe na uwanja wa kutosha angalau nusu eka.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…