nyongeza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Serikali imesitisha nyongeza ya mishahara ya kila mwaka (annual incriment) na tucta ipo kimya tuu

    Mwaka jana mama alitangaza kurudisha ile nyongeza ya kawaida ya kila mwaka baada ya kusitishwa na Raisi Magufuli, Pamoja na kupandisha vyeo wafanyakazi ambapo walikuwa wamesitishiwa .. Tumeona wafanyakazi wakipanda vyeo kwa mujibu wa sheria japo kuna miaka iliyodhulumiwa vyeo Yaani mwaka...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu 2024 hakuna nyongeza ya Mshahara?

    Juzi mishahara ya Watumishi wa Umma ilitoka ikiwa haina nyongeza hata chembe. Je, ina maana mwaka huu pia hakuna pekeji' mbona kazi!?
  3. Gai da seboga

    JamiiForums Tanzania Tuliambiwa Mama atasema Jambo Nyongeza ya Mishahara, Hadi Leo Bado Tu hilo Jambo Jamani!

    Katika Mei Mosi ya mwaka huu 2024, Makamu wa Raisi wakati akihutubia akimwakilisha Raisi alisema suala la nyongeza ya mshahara tusubirie Jambo kutoka kwa Raisi mwenyewe. Tunavyofahamu nyongeza ya mshahara hubadilika katika mshahara wa Mwezi July, sasa mpka tarehe ya leo 14 July hakuna tamko...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya 2024 - Nyongeza ya kima cha chini cha Pensheni ni takwa muhimu kwa wastaafu Tanzania

    Tangu July, 2015 wakati wa utawala wa Rais Kikwete kima cha chini cha Pensheni za wastaafu hakijawahi kuongezwa kutoka Tsh. 100,000/=. Tokea 2023 Waziri Mwigulu amekuwa akiongelea zoezi la mapitio ya mifuko ya pensheni na kuwapa matumaini kwamba jambo hili linafanyiwa kazi lkn tumeona juzi...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Wafanyakazi waanza Mgomo wa Kitaifa kudai nyongeza ya Kima cha Chini cha Mshahara kutoka Tsh. 58,400 hadi Tsh. 962,865

    NIGERIA: Wafanyakazi wa Taasisi za Umma na Binafsi wameanza Mgomo wa Kitaifa usio na kikomo nchini humo wakidai maboresho ya Maslahi ya Kazi ikiwemo nyongeza ya Mishahara Mgomo huo unfautia kukosekana kwa muafaka wa Mazungumzo kati ya Chama cha Wafanyakazi (NLC), Umoja wa Wafanyakazi (TUC) na...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nyongeza ya mshahara bora watumish wote wahamie Zanzibar

    Kwa hiki kinachoendelea pole sana watumishi wa umma, haiwezekani mtumishi no. 1 akashindwa kufika kwenye siku ya WafanyaKazi ambayo yeye ni mwenyekiti na ni mwajiri wa watumisho yote. Halafu Cha ajabu wawakilishi wake wanatoa majibu mepesi kwenye maswali yanayohitaji majibu sahihi. Mbona Mh...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Biashara gani naweza kufanya nyongeza kwenye stationery yangu

    Habari, Naomba msaada jamani nina stationery lakin katika kipindi hiki cha umeme kata rudi napitia wakati mgumu sana.. Naomba usbauri wenu jamani naweza kuongeza biashara gani isiyotumia umeme nikajiongezea kipato? Pia ni sehem ipi online ambapo naweza kujifunza graphic design kwa undani??
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Liberia ajiuzulu baada ya Wake wa Wanajeshi kuandamana kushinikiza nyongeza ya Posho

    #LIBERIA: Waziri wa Ulinzi, Prince Charles Johnson III amejiuzulu nafasi yake baada ya Wake wa Maafisa wa Jeshi kuandamana kwa malalamiko ya Waume zao kutoongezewa Mshahara huku wakiishi maisha duni katika kambi za Kijeshi. Wanawake hao waliandamana na kuweka Vizuizi kwenye Barabara zinazoingia...
  9. Jensen salamone

    JamiiForums Tanzania Serikali yafanya ubaguzi kwenye nyongeza ya mshahara

    Licha ya serikali kujigamba kuongeza mshahara "annual increment" kuna baadhi ya makundi ya watumishi wa umma hususani walimu hawajanufaika na ongezeko Hilo. Miongoni mwa makundi yaliyofanyowa ubaguzi ni pamoja na, 1. Walimu waliopandishwa vyeo tarehe 1/5/2023 kwa madai kwamba wanaendelea...
  10. CK Allan

    JamiiForums Tanzania TUCTA: Nyongeza ya Mshahara itaanza kulipwa Mwezi August

    Barua ndio hii ngoja tusubiri! Ingawa naona dalili za mkutano kuahirishwa au ukiwepo hautakuwa na tija. Tunajua kabisa TUCTA ndio Serikali yenyewe. ====== SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WAFANYAKAZI TANZANIA (TUCTA) TARIFA KWA WAFANYAKAZI KUHUSU AHADI YA NYONGEZA YA MSHAHARA YA KILA MWAKA (ANNUAL...
  11. Jugado

    JamiiForums Tanzania Mshahara umetoka hakuna incriment hakuna nyongeza!

    Ndo hivyo yaani kama walivyosema tutawaongeza kimya kimya tusubiri🚬🚬
  12. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto akataa nyongeza ya Mshahara wake, Naibu Rais, Mawaziri na Wabunge

    Uamuzi huo unafuatia pendekezo lililowasilishwa na Tume ya Mishahara na Marupurupu (SRC) iliyotaka kuongeza Mishahara kwa Maafisa wakuu Serikalini kuanzia Mwezi Julai 2023. Ruto amesema suala hilo haliwezi kutekelezwa wakati kuna pengo kubwa kati ya Wanaolipwa kiasi kidogo na wenye mapato ya...
  13. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Anayejua mchakato wa nyongeza ya mshahara 2023/2024 kwa kuwa kima cha chini kimetajwa kutoka 300,000/- Hadi 370,000/-

    Naomba wale wataalam wa kimahesabu watuchakatie tujue makisio ya ongezeko la mshahara mwaka 2023/2024 Tukiwa kwenye majukwaa kama hivi si mbaya kujua Kwa sababu iliishatangazwa kianzio kutoka 300k-370k TSH. Rejea hotuba ya waziri wa fedha bungeni. Sasa tujie hizi Naomba kuwasilisha
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ester Bulaya: Mkandarasi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere anataka kushtaki alipwe nyongeza wakati mradi haujakamilika

    Mbunge Ester Bulaya amesema “Mkataba wa ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere unaeleza mkandarasi akichelewa kukamilisha mradi anatakiwa kutozwa tozo, mradi ulitakiw akukamilika 2022 na taarifa zilizopi hautakamilika mwaka huu. Amesema hayo Bungeni na kuhoji kwanini TANESCO hawajamtoza...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mimi mfanyakazi Namba 1 sikupata nyongeza ya Mshahara

    Akizungumza kutoka katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi), #RaisSamia amesema ongezeko la 23% la Mshahara lililofanyika mwaka 2022 halikuwagusa Wafanyakazi wote akiwemo yeye. Amesema lengo la nyongeza hiyo ilikuwa kuwainua Wafanyakazi wa Kima cha Chini huku ikiongeza Posho kwa...
  16. Influenza

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumerudisha nyongeza ya mishahara ya mwaka kwa Wafanyakazi

    Rais Samia akiwa katika Sherehe za Siku ya Wafanyakazi mkoani Morogoro amebainisha kuwa nyongeza za mishahara za mwaka ambazo kwa muda mrefu zilikuwa zimesitishwa, zimerudishwa mwaka huu Amesema “Wafanyakazi wote mwaka huu, mbali na Kupanda Madaraja, na mambo mengine, kuna nyongeza za mishahara...
  17. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Kwanini watumishi hawana hamu na tarehe 1/5/2023 sikukuu ya wafanyakazi? Ni majeraha ya nyongeza ya 23% mshahara?

    Kama mjuavyo mwaka jana watu walikuwa kimuhemuhe cha nyongeza ya mishahara kwa asilimia 23.3 kitu ambacho "msigwa na raisi wa tukta" hawana majibu ya namna asilimia hizo zilivyo ongezwa kwenye mishahara ya watumishi. Jambo hilo huwenda ndio chanzo cha watumishi walio wengi kupoa mioyo yao...
  18. BARDIZBAH

    JamiiForums Tanzania Watu wa Pemba mnaweza vipi kuishi sehemu pagumu kama huku?

    Ebhana niaje, niko pemba mwezi wa Tatu huu sasa. Pemba ni kamji kadogo kenye mambo yake ya kustahajabisha. 1. Wale dada zetu poa huku kuwapata ni kasheshe sana. 2. Pombe mpaka uende Messi huko kwenye ukumbi wa wanajeshi 3. Kupata Sigara pemba ni mtiti maduka yanayo uza fegi yanajulikana kabisa...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna nyongeza ya mishahara kwa watumishi mwaka 2023

    Nimepita huku na kule naona kwenye bajeti 2023/2024 hakuna nyongeza bali matumizi mengineyo yasiyo ya mshahara hii inamaana hakuna nyongeza mwaka huu.
  20. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi kuna majina ya nyongeza kwenye Ajira Portal za Serikali?

    Habari zenu wanaJF Naona siku hizi kumekuwa na majina ya nyongeza sana kwenye usaili kutoka sekretarieti ya ajira. Na nahisi hii inatokea baada ya wengi mfumo kuwakataa na kupeleka malalamiko na baada ya uchunguzi wanaona ni kweli na ndio maana wanaongeza majina. Swali langu ni kwanini wa-set...
Back
Top Bottom