nyingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuwepo na Bunge la kujadili ufanisi wa bajeti iliyopita Kabla ya kuanza kujadili nyingine

    Hoja ya Dkt. Tulia kusema hili ni bunge la bajeti na siyo la kujadili report ya CAG lipo sahihi, lakini kwa nini report ya CAG ijadiliwe baada ya kupitisha bajeti nyingine ilihali iliyopita ufanisi wake ni sufurisufuri. Kwanini tisingeanza kujadili madudu ya bajeti iliyopita badala ya kuendelea...
  2. Ndege nyingine ya Urusi yapigwa chini Bakhmut, zitaisha hizi

    A Russian Alligator Ka-52 helicopter was destroyed by the forces of the 10th Separate Mountain Assault Brigade "Edelweiss" on 5 April. Source: Serhii Cherevatyi, spokesperson for the East Grouping of Forces of the Armed Forces of Ukraine, in a comment to Ukrainska Pravda; "Edelweiss" Brigade on...
  3. Clouds FM inapoteza mvuto au imeshindwa kwenda sawa na mabadiliko na uwepo Radio nyingine?

    Kama ni mfuatiliaji mzuri wa vipindi vya Radio, utagundua kuwa kuanzia saa 12 asubuhi kipindi cha Good Morning kutoka Wasafi FM kinasikilizwa sana mitaani, kwenye madaladala, magari binafsi kuliko ilivyo Power Breakfast ya Clouds FM. Nimeshindwa kuelewa tatizo ni nini kwa Clouds kupoteza...
  4. S

    Ndege na mali nyingine za Trump tunaziona, hapa kwetu Marais hawatuoneshi hata bajaji zao. Kwanini wanaficha?

    Nini kinawafanya marais wetu waliostaafu na waliopo madarakani kushindwa ama kuogopa kuonesha mali zao ikiwemo vitu wanavyomiliki? Je, ni wizi? Kwamba mali walizo nazo walozipata kwa wizi? Je, ni wivu? Kwamba wanaogopa kuonewa wivu na kundi kubwa la watu wanaowazunguka na kuwafahamu? Kwanini...
  5. Evelyn: Nina sehemu za siri mbili. Moja kwa ajili ya mume wangu, nyingine kwa ajili ya kazi

    Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, wahenga walipata kunena. Mwanamama Evelyn Miller mwenye miaka 31, Mkazi wa nchini Austarilia amestaajabisha kwa kusema wazi kwamba amejaaliwa nyuchi mbili, zote zikifanya kazi kwa usahihi kabisa. Mlimbwende huyo mwenye mume na watoto wawili ni mchezaji...
  6. M

    Onyango, Nyoni, Bocco na Mkude hawastahili kuichezea Simba. Muda umefika wa kuwaruhusu wakatafute maisha sehemu nyingine

    Chei Chei..... Nimefuatilia mahojiano ya Rais, Tajiri na mwekezaji mwenye mapenzi wa dhati na Simba Sc, Mh. Mohammed Dewji yaliyofanywa na Saleh Jembe, nimesikitika kusikia Simba imepewa 1.5 billioni za usajili lakini upigaji umekuwa mwingi.Miongoni mwa upigaji wa pesa za Rais Mo ni kuwaongezea...
  7. K

    Ushauri tuendelee kujenga "metre gauge railway" sehemu nyingine

    Watanzania na Waafrica kwa ujumla tunapenda vitu vizuri na vipya. Mimi naishi Texas, USA na nataka kuwajulisha reli zenye manufaa makubwa sana kwenye uchumi wa nchi hii ni reli za kizamani "metre gauge railway" na sio "Standard Gauge Railway" za umeme. Hizi reli za kizamani ndizo zinasafirisha...
  8. D

    Maisha, what is this now?

    Yani ni kama utajiri wangu na mafanikio yangu yapo kwa mdada mmoja hata anifai kabisa. Ajatulia kabisa yani awezi kupoa sema awezi niacha, tumeachana tume ludiana a year later kama hatujaachana. Tatizo ndo mtu pekee nikiongea naye jambo linafanikiwa 100% tatizo Ajatulia kabisa kabisa yani...
  9. Vodacom wamesitisha huduma ya kuhamisha bando kwenda namba nyingine bila taarifa

    hapo kabla kulikua na huduma ya kuhamisha bando (MB 250) kutoka namba moja kwenda namba nyingine sasa ivi naona hii huduma wamesha itoa bila hata ya taarifa. Pia hii ilikua ni amri kutoka TCRA kwamba ma kampuni ya simu yaruhusu luamisha bando naona vodacom wameamia kukaidi na kuondoa hii...
  10. Ripoti nyingine ajali ya Precision yatoka, yaonesha mambo 8

    Ripoti ya pili ya ajali ya Ndege ya Precision Air imetoka na kubainisha mambo nane yaliyochangia ndege hiyo kuanguka katika Ziwa Victoria, Bukoba, Mkoa wa Kagera. Ndege hiyo ya Precision Air iliyotoka Dar es Salaam kwenda Bukoba ilitokea Novemba 6, 2022 ambapo ilikuwa na watu 43 kati yao, 39...
  11. D

    Kinachotokea Afrika Kusini na Kenya inaweza kuwa sawa na Arab Spring kwa nyingine za Afrika

    Mlipuko wa Arab Spring ilianza kama masikhara nchini Tunisia baada kijana mmoja mhitimu wa Chuo Kikuu aliyekosa kazi na kuamua kuuza matunda kwa kutumia toroli mitaani. Lakini alipokatiza mbele ya ofisi za Serikali kuuza matunda alizuiwa na kuadhibiwa kuwa anachafua mwonekano wa mtaa huo. Hasira...
  12. T

    Bodaboda ni ajira China na nchi nyingine. Ni aibu kwa Lissu kama kiongozi kupotosha Umma

    Wengine wanafikiri bado tupo kwenye zile zama za ulimbo na ulimbombo, zile zama za kuambiwa Jambo na kukubali bila kujiridhisha. Wanaofanya hivyo wanatambua watanzania ni wavivu sana wa kutafuta ukweli hivyo lolote analosema linabebwa kama lilivyo. Kitendo Cha Lissu kusema China hakuna...
  13. B

    Tuna Imani na CHADEMA hii, wala si nyingine

    Tunahitaji kuwa na uhakika ili kuweza kujipanga kwa hatua zetu za baadaye, iwe ni kusuka au kunyoa nywele zetu. Tunayo imani na CHADEMA ambayo ina misimamo ifuatayo: 1. Kipaumbele chao ni kupatikana kwa Katiba mpya. 2. Hawatakuwepo uchaguzi mkuu wa mwaka 2024/25 bila Katiba mpya. Baada ya...
  14. L

    Marekani ndio nchi inayochunguza zaidi nchi nyingine duniani

    Hivi karibuni, puto moja la China ambalo lilifika Marekani kwa bahati mbaya lilisababisha wasiwasi mkubwa kuhusu “tishio la China” nchini Marekani. Mwishowe, jeshi la Marekani liliangusha puto hilo kwa kutumia ndege zake za kivita aina ya F22, na kutafuta mabaki ya puto hilo ili kuthibitisha...
  15. Aibu nyingine - Urusi inapata msaada kutoka kwa wakimbizi wa Palestina na magaidi wa Hezbollah

    Supapawa anapata tabu sana, mpaka amefuata msaada kwa wakimbizi na magaidi wa kidini...... Most Palestinians sent to the front lines in Ukraine are from Ein Al-Khalwa, the biggest camp for Palestinian refugees in Lebanon Russian organizations reportedly offered $350 to convince Palestinian...
  16. DOKEZO Pesa nyingine ziko Seychelles 🇸🇨

    Kuna kakikundi kalikoaminisha Umma kwamba ni kasafi Kumbe kameoza sana. Pesa zaidi ya Trilion 3 ziko hapo visiwa jirani. B
  17. D

    Siku nyingine Rais akitoa fungu atenge kwa viwango; Bao la Championi lisiwe sawa federetation, Yanga alistahili kupewa 2 mil kwa bao

    Hii michezo ina ngazi! Simba wamecheza Champion league (ligi ya mabingwa). Automatically huku ni kugumu maana kuna timu ngumu na zenye viwango! Promotion ya kuwapa zawadi alitakiwa hawa wapewe zaido nyingi kama motisha ya kutambua na kutofautisha! Yanga iko federation cup ( ligi ya...
  18. Siasa za Gesi na Mafuta Tanzania: Uhusiano wa Gesi Asilia inayozalishwa Tanzania na sekta nyingine za kimkakati

    Gesi asilia ina uhusiano mkubwa na sekta nyingine za uchumi kama vile misitu, kilimo, usafiri, elimu, afya, madini, utalii, biashara, viwanda na nishati. Aidha, shughuli katika sekta ya gesi asilia, kama vile utafutaji wa gesi, ujenzi na uendeshaji wa mifumo ya uzalishaji na utumiaji wa gesi...
  19. N

    Rais Samia aweka historia nyingine katika uchumi

    Mapitio na maboresho ya sera za biashara pamoja na misingi bora ilioimarishwa kati ya serikali na taasisi binafsi nchini imechochea kuwekwa kwa rekodi ya faida ilitengenezwa na taasisi za kibenki nchini. Kwa mara ya kwanza katika historia, benki za Tanzania zilipata faida ya jumla ya Sh...
  20. DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali wawaondoe Mawakili wote waliohusika na plea-bargaining, wataingilia uchunguzi!

    Nadhani pamoja na kuufumua mfumo wa haki jinai, haya mambo yasiishie hapo. Ofisi ya DPP na Mwanasheria Mkuu wawaondoe mawakili wote waliokuwa wakifanya kazi ya kishetani pale kisutu na nchini kote, wawe desk officers ili wasiingilie uchunguzi. Hawa watu ni matajiri wakubwa kwa Sasa, na baadhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…