nyingi

Dorothy Wanja Nyingi is a Kenyan ichthyologist and recipient of the Ordre des Palmes académiques (Order of Academic Palms) for her work on Fish Biodiversity and Aquatic Ecology. She is the head of the Ichthyology Department at the National Museums of Kenya. She is the author of the first guide to fresh water fish in Kenya, Guide to the Common Freshwater Fishes of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, wajua smartphone zina dhahabu kwa hiyo ukizikusanya nyingi zilizoharibika unajilia hela kirahisi

    Simu Janja zinatengenezwa kwa madini kadhaa ikiwemo dhahabu, fedha, platinamu, shaba na paladi. Ukikusanya simu nyingi na kuvuna madini hayo unaweza kuwa milionea ndani ya muda mfupi sana Imeajwa kuwa Iphone ina gramu 0.034 za dhahabu hiyo ni sehemu ya utajiri unaobaki hata baada ya simu...
  2. JamiiForums Tanzania Shule nyingi za sekondari zinazomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi wa CCM zadaiwa kufungwa kwa kukosa wanafunzi

    Shule za sekondari zinazomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi wa CCM zimeanza kufungwa na kubaki kuwa mazalia ya wadudu, baada ya wananchi kwa umoja wao kuzigomea kupeleka watoto kusoma humo. Hii ni baada ya wananchi hao kufahamu kwamba chanzo cha umasikini na dhuluma dhidi yao Kwa miaka yote ni CCM ...
  3. JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini ndoa nyingi za nyakati hizi huwa hazidumu

    Hivi ni kwanini ndoa nyingi siku hizi zinavunjika? Yaani unakuta watu wameoana haipiti hata miaka miwili unasikia wameachana. Mfano ni ndoa ya wasanii wetu wa Tanzania , kama Ndoa ya Ali Salehe Kiba maarufu kama “ALIKIBA” na mke wake kutoka Kenya , na ndoa ya Judith Wambura maarufu kama...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa mwenendo huu wa kibiashara, shirika la ATCL litakufa kibudu siku si nyingi

    Kusudio la kuanzishwa, kufunguliwa na kuhuishwa kwa shirika mama la usafiri wa anga la nchi yetu pendwa Tanzania ilikuwa lijiendeshe kibiashara, lipate faida na liweze kujisimamia na kujihudumia lenyewe bila kuwa mzigo kwa serikali. Shirika la ATCL limekuwa na flight cancellation za mara kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwenye wilaya yako kuna maeneo gani mazuri na vivutio gani kwa utalii wa ndani?

    Utalii wa ndani siyo mpaka kwenda Serengeti au kupanda mlima kilimanjaro. Unaweza kutoka Dar ukaenda Bagamoyo kuangalia majengo, ni utalii. Unaweza enda Pugu hill, ni utalii. Siku hizi watu binafsi wameanza kuwekeza na kuboresha maeneo haya. Hii inatengeneza ajira na halmashauri zinapata pesa...
  6. JamiiForums Tanzania Aliyeweka tuta kituo cha Maji njia ya Kimara-Ubungo na zile zebra nyingi kibaha high way alifikiria nini?

    Sometimes huwa nafikiria sana wabongo huwa tunawaza nini. Mfano 1. Tumeweka Ubungo flyover ili tuweze kupunguza msongamano wa magari kwenye taa za Ubungo...proposal imeandikwa vizuri kabisa Ela zikatafutwa na ikajengwa. Flyover imeanza kutumika ameibuka sijui Kanjanja gani ameenda weka matuta...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini sala nyingi ujikita kuombea waliopo madarakani na kuacha vyama pinzani?

    Ukifuatilia sala na maombezi mengi yanayofanywa hasa na viongozi wa dini ya kikikristo ambayo Mimi Ni muumini utaja majina ya viongozi wa kitaifa, kimkoa, kiwilaya na hata mataifa mengine. Katika sala hizo utajwa kwa majina, Rais na Marais wastaafu, Makamu, Waziri mkuu, Jaji Mkuu, Spika ,vyombo...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania tuna magenge ya kuuza Nyanya Somaliland wana magenge ya kuuza pesa za kigeni nyingi bila ulinzi wowote

    Ulishakutana na magenge ya kuuza pesa za kigeni mitaani ona somaliland
  9. JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Temeke mnatia aibu wananchi wenu wana umasikini wa kutupwa na kero nyingi amjazifanyia kazi mnabaki kupambana na Amba Rutty

    Habari wadau..! Katika moja ya Halmashauri ambazo zina changamoto nyingi sana ni hii Temeke kwa hapa Dar es Salaam. Temeke ina kero nyingi sana zikiwapo matumizi ya madawa ya kulevya kwa vijana,upungufu wa madarasa, utoro wa wanafunzi, umasikini, uporajwi wa ardhi za wananchi, upungufu wa...
  10. JamiiForums Tanzania Barabara hatarishi huwa na mtelemko mikali au kona nyingi

    Barabara hatarishi huwa na mtelemko mikali au kona nyingi au vyote kwa pamoja hapa Tanzania, hivyo uwezekano wa kupata ajari ni mkubwa dereva asipokuwa muangalifu. - Hizi ni baadhi ya barabara hatarishi Tanzania. 1. Nyang’olo barabara ya Iringa kwenda Dodoma 2. Barabara ya mlima Kitonga...
  11. JamiiForums Tanzania Sababu Kubwa Inayopelekea Biashara Nyingi Mpya Kushindwa.

    Rafiki yangu mpendwa, Bill Gates ajaye hataanzisha Microsoft. Mark Zuckerberg ajaye hataanzisha Facebook. Elon Musk ajaye hataanzisha Tesla. Na Bakhresa ajaye hataanzisha Azam. Lakini ni vitu gani ambavyo watu wapo ‘bize’ kufanya? Kuiga wale waliofanikiwa, kufanya kama walivyofanya wao wakiona...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Wapo waliochanjwa chanjo feki ili kuwashawishi watu wachanjwe. Sijachanjwa na haitatokea

    Askofu Gwajima amewaambia wafuasi wake katika semina inayoendelea kanisani kwake kwamba wazipuuze taarifa zinazoenea mitandaoni kwamba yeye amechanjwa chanjo ya Corona. Wapo wanaowaaminisha watu kuwa wamechanjwa na chanjo haijawaathiri kumbe wamechanjwa chanjo feki ili kuwashawishi watu...
  13. JamiiForums Tanzania SoC01 Nafasi za biashara zipo nyingi lakini tumeshindwa kufungua macho na kuziona

    Katika mawazo ya biashara ya kufanya, weka mawazo yako katika kutoa huduma katika jamii inayokuzunguka. Mawazo yako yakijikita hapa ni rahisi kugundua kitu kinachohitajika sana katika jamii yako. Fikiria jinsi utakavyozalisha kwa wingi bidhaa ile itakavyo okoa maisha au usumbufu katika jamii...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nchi iliyoshinda medali nyingi za Olympiki kushinda nchi yoyote hapa Afrika ni Kenya

    Kenya imeshinda medali nyingi za Olympiki kushinda nchi yoyote ile hapa Afrika. Sisi ni watu wa kujituma. Lazyland tazameni wazee wa kuchapa kazi jinsi kazi inavyostahili kufanywa.
  15. JamiiForums Tanzania SoC01 Akili ya binadamu ndio muhimili mkubwa wa maendeleo yote

    Dunia ya leo imesheheni mataifa mengi na jamii nyingi kutoka kila pande ambazo kila moja ya jamii hizo iko na desturi na utamaduni wake wa pekee. Tamaduni na desturi hizo zinaweza kuwa chanzo cha kuongezeka au kudorora kwa maendeleo katika jamii husika, mfano mzuri ni uzingatiaji wa afya ya...
  16. JamiiForums Tanzania Jealous ya Ali Kiba yapata anguko kubwa licha ya views nyingi, sababu ni hizi

    Ni takribanai wiki 2 kasoro tangu video ya Kiba itolewe lakini tumeshangazwa kuona mfalme (kama ajiitavyo) katoa kaze 2 mfululizo (jealous & ndomboloo) ila kashindwa kutetea kwa vitendo kiti chake walau kwa kushika namba 1 kwenye trending videos za youtube, Ni ajabu na wengi wamebaki vinywa wazi...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali wafuatilie huduma za mitandao nyingi ni utapeli

    Kipindi cha nyuma kidogo nilijiunga huduma yao ya halo quiz mtandao wa halotel bila kuijui vizuri baada ya muda mrefu jan nikaweka salio ili nijiunge kifurushi natumiwa sms salio limekatwa basi nikaona hii huduma ngoj nijitoe Sasa kilichonileta hapa mpaka naandika uzi huu jana niliingia menu ya...
  18. JamiiForums Tanzania Tatizo nyota au? Ni wiki sasa Jealous ya Alikiba haijashika namba 1 trending licha ya views nyingi

    Mmakonde kaamua kumkata matumaini kabisa Binafsi nashangaa kuona hii ni video ya pili mfululizo ya kiba haijafika kilele cha trending, Nahisi ni sababu Ali kiba kaanza kulipia matangazo ya kulipia fb na insta ya sponsored (kama la kwenye picha ya chini), haya matangazo unaweza kuchagya...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Serikali ikubali uraia pacha na kutoa likizo ya kodi kwa wawekezaji wazawa ili kuchochea ajira

    Nchi yetu imebarikiwa maji, ardhi yenye rutuba, watu wenye afya, Rasilimali lukuki lakini 60% ya raia wanaishi katika umasikini wa kutupwa. Kitu kinachowashinda wengi ni mitaji ya kuanzisha biashara. Hili si tatizo kubwa kama tukiwashirikisha diaspora. Diaspora anaweza kupata mtaji wa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kagame hakuja msibani kumzika rais wetu, na alikaa miezi siku nyingi sana kabla hajatupa pole, Rais Samia unakwenda Rwanda kufanya nini?

    Nchi yetu ilifikwa na msiba wa kufiwa na rais, baada ya kufiwa immediately tulipokea salamu za rambirambi kutoka kwa maraisi wa jumuia ya Afrika mashariki akiwemo mzee Museveni, Rais Kenyata, Rais Ndaishimiye, Lakini Kagame ilimchukua siku nyingi sana takriban miezi miwili kabla ya kuwapa pole...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…