nyingi

Dorothy Wanja Nyingi is a Kenyan ichthyologist and recipient of the Ordre des Palmes académiques (Order of Academic Palms) for her work on Fish Biodiversity and Aquatic Ecology. She is the head of the Ichthyology Department at the National Museums of Kenya. She is the author of the first guide to fresh water fish in Kenya, Guide to the Common Freshwater Fishes of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. V

    JamiiForums Tanzania Nafasi nyingi za kazi ajira portal kwa kada za elimu,uongozi nk usiache kuomba

    Kama una changamoto kama kusahau password, kusahau email nk tuwasiliane kwa 0792715343
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kwanini vilabu vya Tanzania haviingizi sokoni jezi zenye majina ya mastaa wao? Je, ni ukosefu wa mipango ya kibiashara?

    Mauzo ya jezi ni miongoni mwa vyanzo vya mapato ya vilabu vya soka duniani, ingawa fedha zote zinazolipwa na mashabiki haziendi moja kwa moja kwa klabu. Kwa kawaida, mapato hayo hugawanywa kati ya mtengenezaji wa jezi, wauzaji wa rejareja na klabu kulingana na makubaliano ya kibiashara. Hivyo...
  3. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Kwanini nyumba nyingi Tanzania zina mabati marefu?

    Kuna kitu kama umenotice Tanzania, mabati kwenye nyumba nyingi yanakuwa raised too high. Kuna watu wanaoverdo wanafanya mabati yawe marefu sana, ila kuna wengine ambayo hawaja overdo, bati linakuwa tu na mwonekano mzuri lakini still unaweza kunotice kuwa ni refu ukifananisha na nyumba...
  4. V

    JamiiForums Tanzania Ajira nyingi ajira portal omba sasa

  5. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania Je Dar es salam ni jiji lenye fursa nyingi?

    Dar es Salaam ina vyanzo vya mapato ambavyo bado havijaguswa. Tatizo si ukosefu wa fedha, bali ukosefu wa ubunifu. Kila mwaka tunazungumzia namna ya kuongeza mapato ya halmashauri na kuboresha huduma za wananchi. Mara nyingi mjadala huishia kwenye kuongeza ushuru au kodi. Lakini je, tumeshawahi...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Usalama wa Tanzania una kasoro na unatakiwa kugawanywa na kuboreshwa kwa sasa ni kama umekwama kabisa.

    Tuseme ukweli hii idara kama hakuna kitu imebaki kama ilivyounda tokea kupata uhuru. Ni kama idara iliyochakavu hakuna jipya wala mapya. Idara ya usalama imebeba mambo ya kizamani sana na mtindo wa kizamani kwa dunia ya sasa hakuna idara kama hizi. Leo mataifa yenye kulinda nchi idara ya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Mange Kimambi: Kuwa makini na vyanzo vya habari; CCM wana mbinu nyingi za diversion.

    TL;DR (Kwa ufupi): Wito kwa Mange Kimambi kuwa makini na vyanzo vyake vya habari kwani CCM wanatumia mbinu ya "Diversion" na masalia ya wasaliti wa ndani ya CHADEMA (aina ya kina Yericko) kuvujisha habari za uongo (mafamba) kuhusu migogoro ya kufikirika ili kusambaratisha wanamageuzi, kama...
  8. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Tunapoteza mwelekeo: Kwa nini kelele nyingi kwenye michango ya Tonetone, lakini kimya kwenye fedha za umma?

    Kuna jambo ambalo Watanzania tunapaswa kulitafakari kwa kina. Katika kipindi hiki, mjadala mkubwa umeibuka kuhusu tuhuma zinazomhusisha kiongozi wa CHADEMA, John Heche, kuhusu fedha za michango ya wananchi. Tuhuma hizo zinapaswa kuchunguzwa kwa haki na kwa kufuata taratibu za chama na sheria...
  9. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani unaona kinahangaisha watu ila wewe hutumii nguvu nyingi?

    Ciao..! waswahili wanakwambia maisha hayako na hayatokaa yawe fair. kuna vitu sisi kama binadamu tunakua na matamanio navyo lakini no matter how hard you try unabakia tu kusema one day yes au unakata tamaa kabisa kwamba kitu fulani mimi hapana. Mfano huko mashuleni tumesoma na watu wao...
  10. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Kuna njia nyingi za kufanikiwa tatizo polisi

    Kimsingi kupitia elimu ngumu sana kufika pale unapotaka, je unadhani njia zipi za kutoboa tobo bila kujali vyombo vya usalama nichukue hatari huko.
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Matumizi mabovu ya pesa na nguvu nyingi msionekane kuwa mjakosea kwa ufupi mna mawenge

    Natarajia lile deni la taifa trilioni 114 litafika trilion 900 kama watafikisha 2030. Nguvu kubwa na pesa zinazowekwza kujionesha hawana tatizo na kulipa watu hata kuwapandia dau ili mradi kupunguza joto. Hali hii sasa inaonyesha wazi walipofikia ni wazi wakabizi nchi kabla ya kuzidi kujitia...
  12. Vien

    JamiiForums Tanzania Biashara nyingi hazipotezi wateja kwa bei, zinawapoteza kwa utaratibu wa kuuza

    Utaratibu wa manunuzi katika baadhi ya maduka, kampuni na taasisi unachangia kupunguza mapato yao bila wao wenyewe kujua. Mimi ni mfanyabiashara wa vifaa vya ujenzi, nafanya biashara katika level ya retail. Hii inanifanya ninunue bidhaa mara kwa mara kutoka kwa wholesalers, maduka makubwa na...
  13. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Prof.Mbarawa: Bandari ya Dar yavunja rekodi Kwa Kuhudumia mzigo wa Tani Milioni 30.Atoa kongole nyingi Kwa DP World.

    Bila uwekezaji wa DP World hii volume ingekuwa ndoto maana target ilikuwa kuhudumia Tani mil.30 by 2030 lakini target imefikiwa miaka 4 kabla . Kwa sasa Bandari ya Dar ni Kimbilio sio njia mbadala Mombasa ikifeli. Haya Sasa ndio maamuzi ya Tija Kwa Nchi, Serikali ingesikiliza zile kelele za...
  14. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu wengi tunaopigia kelele ufisadi, wizi , rushwa. Ni kwamba hatuko kwenye hizo position ndo maana kelele ni Nyingi.

    Huu ndo ukweli mchungu watanzania 90% tuna toka kwenye familia zilizo jaa umaskini wa kupindukia. Ndugu zetu vijijini wanaogelea kwenye umaskini wa kutisha ndo maana zikitokea chance watu wanazitumia vizuri hakuna tuzo ya Utesekaji bora ...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kukutana na Mpenzi/ Mchumba mwenye Chale nyingi kwenye Mwili wake? Nini kilikushangaza? Ulichukuliaje?

    Binafsi BushDokta naamini ktk tiba ya mizizi na mimea kama ilivyokuwa hapo kale. Kamwe siamini ktk ushirikina au mambo ya mauza uza. Mwaka fulani nilikutana na Msichana Mrembo mzuri anavutia, Mpole, na tabia njema shape kama loote( kwa wale mnaopenda mitulinga). Kilichonishangaza ni wingi wa...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini kumekuwa na story nyingi sana za kutunga mtandaoni Tanzania?

    Nini kimetokea kuanzia JamiiForum, Facebook, Twitter na Instagram raia wengi wa Tanzania hasa vijana wanaposti visa au story nyingi mbalimbali za matukio ya uongo tu ya kutunga ya mahusiano, ndoa, uchawi n.k ?
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna siku mtasikia pesa imelipwa kampuni ya META ambayo inashutuma kubwa sehemu nyingi.

    Kwa kuwa mchakato bado ujamalizika na wengine wakisubiri juwa la jioni kuweka misamahaa yao kwenye vitabu. Kuna jambo mtakuja kubaki midomo wazi kuhusu META hii kampuni ya facebook na ubagazaji wa afrika kuficha maovu na nchi zinazo walipa mpaka urusi yupo,USA yupo,israel yupo,afrika ndio...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wakati wa maandamano ya ukombozi simu nyingi za wazazi zililia kuwaambia watoto wao wasitoke na wabaki ndani wasije wakauawa

    Hamjambo Wote! Wazazi wengi waliwatia uoga vijana wao. Simu zilikuwa zikiita kwa vijana zikiwaonya wasitoke. Wabaki ndani. Makundi sogozu ya kindugu yalikuwa na hofu. Hakuna kujadili mambo ya kisiasa. Huku msisitizo mkuu ukiwa vijana wasitoke ndani siku hiyo. Vijana wabaki ndani. Nakumbuka...
  19. O

    JamiiForums Tanzania Taifa linaloutukuza ujinga na kuudharau maarifa hujichimbia kaburi lake lenyewe; mara nyingi uhai wake hauzidi karne moja.

    Mnakaribishwa!
  20. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi kutoka mataifa ya asia haswa ya kiarabu wana kesi nyingi za ubakaji na unyanyasaji kingono huko uingereza?

Back
Top Bottom