Ilikuwa nikizisikiliza zamani mwenye redio free Afrika (RFA)
Au redio Tanzania daresalaam (RTD)
Ni nyimbo flani hivi msanii anaimba ila ni kama anaongea story flani hivi za masikitiko.
Mara anataja SHAMBA mara sijui TOKA EE
Ni aina fulani hivi za nyimbo nikama msanii analalamika hivi.
Yaani...
Viongozi wa dini mnaalikwa kwenye matukio mengi ya kitaifa mnakaa meza moja na wakubwa kweli mnashindwa kuteta na waheshimiwa ili Basata iwaite wasanii na kuwaomba wapunguze matusi kwenye nyimbo zao ili kunusuru taifa watoto wasiharibikiwe kimaadili.
Mtu anaimba mkanda, mkende, mkindi...
Kwa mtu yeyote yule ambaye ameondowa tongotongo na kutembea nchi za kimagharibi au hata South Africa atakubaliana na hoja yangu.
Unakwenda club au Pub lakini cha kushangaza unakuta mziki wa wavuta cocaine wa ulaya ndio unapata air time na vijana vibe lao linakuwa kubwa, huwa sielewi
Kwa mtu...
Katika kuendeleza tasnia na kumpongeza Kwa mafanikio katika fani wasanii nchini, wamepanga kumtungia wimbo maalum Msanii mwenzao Msechu, P. Heko Bongo Celebrities
Nafanya delivery ya kuweka Playlist ya nyimbo za dini kwenye Flash. Ukiplay playlist nzima utasikiliza kwa siku tano hujamaliza.
Sifa ya Playlist
Ni nyimbo zote nzuri sana pengine hujawahi kusikiliza.
Kwakweli utaburudika utaabudu kufurahi na kupata amani ya moyo wako.
Piga hii namba...
Wadau msaada wa jina la msanii jina silikumbuki ila ni msanii wa bongo flavor ni wa zamani kidogo
Japo sina uhakika ila kuna nyimbo yake moja niliona video akizungumzia kumpenda mschana wa jirani
Nawasilisha
Mimi msanii wa kiume anayevaa hereni, aliyeweka kipini puani na mwenye tabia ambazo hakupaswa kuwa nazo mwanaume huyo siwezi kutazama video yake, siwezi hata kusikiliza nyimbo zake.
Nahisi uchafu na kichefuchefu, ngoja niishie hapa.
2PAC sio msanii bora Wa wakati wote Ila nyimbo yake ya dear Mama ndo nyimbo kubwa na bora ya wakati wote katika historia ya HIP-HOP
Kuwa msanii bora wa wakati wote tunajikita katika Mambo ya ndani na nje, Kama nidhamu, UTU, kujitoa na kuwa positive outcomes kwa jamii.
Video vixen wa mapozi anaitwa
Sikujua Mponda. Ni mbantu aliyelowea ulaya.
Video vixen wa ‘Mapoz’ anaishi huko Finland. Ni dansa na mmiliki wa shule ya uchezaji huko Helsinki.
Ni pisi ya viwango na maisha bora!!
Harmonize ametoa wimbo mkali, lakini bado beat na production za Tanzania hazipo kwenye kiwango sahihi na Wala haziendi na wakati, beat ni ya kizamani na production ni low quality.
Harmonize alishindwa Nini kupanda ndege kwenda Kwa producers wa Nigeria amtengenezee kitu kali kama zilivyongoma za...
1. Zanzibar ya Harmonize.
Niliposikia tangazo lake la kutoa wimbo wake wenye jina hilo nikajua tunaenda kusikia bonge la wimbo utakaotetemesha si tz tu bali afrika mashariki yote. Matokeo yake hiko kitu kilichotoka ni bora angeupa jina jingine tu. Yaani kibao ni hovyo hata kile cha yule...
Huu ni ukweli wakuu hii ni nyimbo ambayo hata ukiiskia tu hisia za kulia inakujia hii nyimbo ni nyimbo ambayo haitowahi kutokea kwenye muziki wa bongo flava 🙌🥲 hakuna na haitowahi kutokea nyimbo ya kuhuzunisha kama hii
Siku kadhaa zilizopita msanii "Harmonize" alisema ijumaa hii kwa maana ya kesho anaachia wimbo wake wa "I made it"
Na wakati huohuo Diamond usiku wa leo saa sita,ambao kimsingi ni tarehe ya kesho anaachia wimbo mpya alioshirikiana na Mr Blue.
Hii ni Habari njema kwa wapenda mziki mzuri, ngoja...
Nimejaribu kufuatilia nimegundua pamoja na maendeleo makubwa ya sasa na njia za mawasiliano kuboreshwa, bado kuna kitu watu wa elimu wameyumba sana.
Zamani vitabu viliandikwa vinyimbo nyimbo na takribani kila sehemu uliyokwenda ungekuta watu wanajua toni ya wimbo husika lakini siku hizi...
Hi guys nyimbo Kali nyingi zilitungwa kipindi hicho kama vile
1)Dynamite ya taio Cruz
2)International love ya pitbull ft Chris brown
3)Coconut tree ya mohombi
4)Bumpy ride ya mohombi
5)Moves like jagger ya maroon
6)On the floor ya Jenifer Lopez
7)Dj got us fall in love again ya usher...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.