Kwanini wanamuziki wengi wa Marekani hawatoi nyimbo zenye maneno matamu ya mapenzi kama ilivokuwa miaka ya 1980's?

Balqior

JF-Expert Member
Jun 8, 2021
1,774
5,918
Habarini,

Miaka ya 1980 kulikuwa na nyimbo kali za mziki zilizo romantic, kama vile stuck on you Lionel Richie, all my life -kci Jojo, endless love, end of the road Boyz to men, hard to say am sorry, Chicago, kina peabo Bryson na Roberta etc

Sahivi nyimbo za aina hiyo mbona hazitungwagi tena??
 
Bongo msanii gani ana maneno matamu ya mapenzi?
 
Ni wewe tu umezeeka, alafu kingine lazima ujue ile rnb na soul ya mpka miaka ua 2000 haipo tena...trend imehamia kwenye pop na country! Ukitaka maneno matamu ya mapenzi basi sikiliza country, japo pop na makelele yake no wanajitahidi!
Na hamna watu wanaandika kama hawa wamarekani!
 
Habarini,

Miaka ya 1980 kulikuwa na nyimbo kali za mziki zilizo romantic, kama vile stuck on you Lionel Richie, all my life -kci Jojo, endless love, end of the road Boyz to men, hard to say am sorry, Chicago, kina peabo Bryson na Roberta etc

Sahivi nyimbo za aina hiyo mbona hazitungwagi tena??
TUMIA AKILI THAMANI YA MWANAMKE IMESHUKA KUTOKANA NA HAKI SAWA SIKU HIZI HATA NDOA HAZINA MAANA TENA
 
Ni wewe tu umezeeka, alafu kingine lazima ujue ile rnb na soul ya mpka miaka ua 2000 haipo tena...trend imehamia kwenye pop na country! Ukitaka maneno matamu ya mapenzi basi sikiliza country, japo pop na makelele yake no wanajitahidi!
Na hamna watu wanaandika kama hawa wamarekani!
Country ni music mzuri ila sijui kwanini sijawahi kushawishika kuupenda hata nukta

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Kama umepata wasaa wa kuwasikilizq akina Trisha Yearwood, Faith Hill, Carrie Underwood na Reba McEntire na hukuwaelewa ndo basi tena
 
Habarini,

Miaka ya 1980 kulikuwa na nyimbo kali za mziki zilizo romantic, kama vile stuck on you Lionel Richie, all my life -kci Jojo, endless love, end of the road Boyz to men, hard to say am sorry, Chicago, kina peabo Bryson na Roberta etc

Sahivi nyimbo za aina hiyo mbona hazitungwagi tena??
Wamegundua kuwa Wanawake wa sasa hawastahili kusifiwa, wamekuwa Matapeli
 
Mkuu
Habarini,

Miaka ya 1980 kulikuwa na nyimbo kali za mziki zilizo romantic, kama vile stuck on you Lionel Richie, all my life -kci Jojo, endless love, end of the road Boyz to men, hard to say am sorry, Chicago, kina peabo Bryson na Roberta etc

Sahivi nyimbo za aina hiyo mbona hazitungwagi tena??
Mkuu Kuna baadhi ya nyimbo bado zinavutia kwa miaka hii ngoja nikupe list ya kuanzia 2015 ambazo umesema huna kwa sababu ndo nyimbo zangu
As it was by Harry styles
I feel it coming by the weeknd
Hello by Adele
Save your tears by the weeknd
Hym for the weekend by Coldplay
Dusk till Dawn by Zayn
Easy on me by Adele
7 years by Lucas Graham
Reality by lost frequencies
Fire on fire by Sam Smith
Something just like this by the Chainsmokers
Hizo ni baadhi ya nyimbo ambazo Yana mashairi mazuri mkuu kazitafute
 
Waimbe uongo wakati sasa hv hamna mapenzi ni mkwanja tu
 
Mkuu

Mkuu Kuna baadhi ya nyimbo bado zinavutia kwa miaka hii ngoja nikupe list ya kuanzia 2015 ambazo umesema huna kwa sababu ndo nyimbo zangu
As it was by Harry styles
I feel it coming by the weeknd
Hello by Adele
Save your tears by the weeknd
Hym for the weekend by Coldplay
Dusk till Dawn by Zayn
Easy on me by Adele
7 years by Lucas Graham
Reality by lost frequencies
Fire on fire by Sam Smith
Something just like this by the Chainsmokers
Hizo ni baadhi ya nyimbo ambazo Yana mashairi mazuri mkuu kazitafute
Mi namuongezea

Love me like u do-Ellie Goulding
I dont wanna live forever -Zayn & Taylor Swift
Capital letters -Hailee Steinfeld
For you -Liam Payne & Rita Ora
Hold my Hand - Jess Glynne
 
Back
Top Bottom