nyimbo

  1. mdukuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ''Mchepuko'' ulivyotaka kuharibu shughuli ya msiba wa muimbaji wa nyimbo za injili Marco wa Zabron Singers

    Kuna wanawake ni nusu watu nusu hayawani. Takriban wiki moja iliyopita muimbaji wa nyimbo za injili Marco Zabron wa kundi la Zabron Singers alifariki jijini Dar es salaam. Mapema wiki hii shughuli ya mazishi ikawa inafanyika huko Kahama mkoani Shinyanga kwao na marehemu. Marehemu alikuwa...
  2. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Harmonize ataimba nyimbo zote ila hizi ni hatari

    Kuna hizi ngoma za harmonize ambazo hazitokuja kuzidiwa na ngoma yeyote atakayoitoa Kwa upande wangu ni mpaka kesho,nishapona,Utanikumbuka,wote,sijui, Mtaje
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Nyimbo maarufu kuliko original zake

    1. Changes ya Tupac https://youtu.be/eXvBjCO19QY?si=Fwtyece1Ac7kPCkH Origina yake https://youtu.be/GlRQjzltaMQ?si=ZwPSmhk-4Vx8__Ku 2. Forever Young ya Jay Z https://youtu.be/Kzq15y2J4UM?si=JQi1v7F_i7B7gYTF Original yake https://youtu.be/t1TcDHrkQYg?si=bwgTEt655tTKDUq0 3. Toy Soildiers Eminem...
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Nyimbo ''Madhulumu Moyo'' na Historia ya Kwa Bamkwe 1972

    NYIMBO MOYO MADHULUMU NA HISTORIA YA KWA BAMKWE Siku ya kwanza alipouimba mwimbo huu "Moyo Madhulumu," hadharani marehemu Khadija Baramia hakuweza kumaliza katikati alianza kulia na hakuweza kunyamaza. Wasikilizaji wanawake nao wakalia. Ikhwan Safaa wapigaji orchestra iliendelea kupiga ala kwa...
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Salum Abdallah na Nyimbo Yake "Wanawake Tanzania"

    SALUM ABDALLAH NA NYIMBO YAKE "WANAWAKE TANZANIA" Nyimbo hii Salum Abdallah aliimba katika siku zake za mwisho. Hebu tujiulize wanawake aliowaimba ni wanawake gani? Nimeingia Maktaba kwenye kitabu, "Self Reliant TANZANIA," kilichohaririwa na Knud Erik Svendsen na Merete Teisen kuwatafuta...
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kuna namna wasanii wanafaidika nyimbo zao kupigwa katika Simba Day na Yanga Day? Matamasha yanaingiza pesa nyingi

    Nauliza tu, hasa baada ya kusikia nyimbo za Chidi Benzi, zimepigwa jana na leo, na matamashi haya are worth billions, na chidi anatembea kwa miguu hapo Dsm akiwa hana maisha
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Watoto hawaimbi nyimbo za Sunday school na Kaswida tena, mdau alalama akitoa maoni dira ya taifa 2050

    Mchakato wa kukusanyika maoni ya dira ya taifa ya maendeleo 2050 ukiendelea umekutana na maoni ya mmoja wa raia akilalamika maadili ya Mtanzania yakizidi kupotea hasa kwa watoto, raia huyu amelalama watoto kuacha kuimba nyimbo za Sunday school na kaswida badala yake wanaimba "vibuno", "honey"...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Naomba nyimbo MAARUFU za audio za kwaya Kanisa Katoliki tanzania

    Wadau hamjamboni nyote? Niwe muwazi mimi ni muumini wa Kanisa la Waadvetista wasabato ila napenda sana kusiliza nyimbo za kwaya za Kanisa Katoliki Hivyo siku ya leo kwa heshima kubwa naomba mwenye nyimbo za audios za kwaya maarufu za Kanisa Katoliki tanzania. anipatie Napendelea zaidi...
  9. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania MFAHAMU:-Manongu Mzungu anaeimba nyimbo za kisukuma

    Jf wasaalam 🙏 Sina hakika Wala kumbukumbu kama huyu msanii mzungu anayeimba nyimbo za kisukuma Kwa ufasaha alishawahi ongelewa humu. Kama Bado soma hapa. Anaitwa Manongu mzaliwa wa Sweden, amezaliwa huko na kukulia huko. Alipata nafasi ya kutembela Tanzania kama mtalii. Alipenda sana Tamaduni...
  10. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Watu wa nyimbo za dini mkuje mnisaidie jina la huu wimbo

    Nimetafuta kwa youtube shida zinakuja nyingi. Nimejalibu kuuimba hapo mnaweza nisaidia kupitia hiyo sauti hapo chini. Wimbo Bwana ndie mchungaji wangu mimi Sitapungukiwa na kitu katika maisha yangu Wandameza mbele yangu bwana machoni pa watesi wangu umenipaka mafuta bwana.
  11. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Video: Nape aanza kuimba nyimbo za injiri baada ya kutumbuliwa

  12. B

    JamiiForums Tanzania Msaada nyimbo za caribean

    Kama kuna member anaweza nisaidia kupata nyimbo za soca rhumba calypso zilizovuma enzi za miaka ya 1980 naomba msaada
  13. Holoholo

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za kisukuma special thread

    Naamu wale wenye nyimbo za asili has a za kisukuma mkuje APA muweke nyimbo tuzidownload
  14. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Album ya Roma nipeni maua yangu Ina nyimbo nzuri sana zenye ujumbe mzuri

    Kwa wale wapenda nyimbo za wana harakati Roma mkatoliki katupa album kalii sana kuanzia track number 1 hadi 15 zote ni nzuri sana roma mkatoliki pokea maua yako je ipi ni track ipi umeipenda zaidi? Mimi yangu ni track number 11 derby paka na panya
  15. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Nafikiri hizi nyimbo 20 za rap ya Bongo ndizo bora kwa muda wote

    20: Chid Benz - Bongo Dar es Saalam 19: FA - Bado Nipo Nipo 18: Fid Q - Propaganda 17: AY and FA - Habari Ndiyo Hio 16: Piggy Black - Nini Mnataka Mazee 15: AY - Raha Tu 14: Professor J - Hapo Sawa 13: Balozi -Kwenye Chati 12: Sugu - Wananiita Sugu 11: Professor J - Nikusaidiaje 10...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanamuziki wengi wa Marekani hawatoi nyimbo zenye maneno matamu ya mapenzi kama ilivokuwa miaka ya 1980's?

    Habarini, Miaka ya 1980 kulikuwa na nyimbo kali za mziki zilizo romantic, kama vile stuck on you Lionel Richie, all my life -kci Jojo, endless love, end of the road Boyz to men, hard to say am sorry, Chicago, kina peabo Bryson na Roberta etc Sahivi nyimbo za aina hiyo mbona hazitungwagi tena??
  17. mr pipa

    JamiiForums Tanzania Hii ngoma ya The Mafik - Wadudi bonge moja la wimbo

    Mr pipa sijawahi rudia nyimbo moja Mara 5 Mimi nikipakua nyimbo nasikilizaga mara mbili ya tatu nafuta ila huu mkwaju wa hawa jamaa mpaka sasa nimei play Mara 78 Asee hii bonge moja la pini popote mlipo the mafik kwa ngoma hiyi kama hamjatoa video njoo pm nusu ya pesa ya shotting natoa Mimi...
  18. Sun Wukong

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shetani pia hucheza nyimbo za injili

    Akitokea malaika mmoja ambae pia ni mbwa mwitu mwenye vazi la kondoo akianzisha pambio basi hata mqshetani mwenye huimba na kucheza Nachomaanisha ni hiki akitokea mwana JF kusema nina gari basi wote watakao comment ni kama vile wanamagari Akitokea mtu akasema ukimwi upo wote watakao comment ni...
  19. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Serekali pigeni marufuku huu wimbo, unaniaribia watoto

    Nyimbo sijui Nani kaimba ila Ni nyimbo maarufu Sana tu " huu mwaka eeh " Nikinukuu baadhi ya verse " Ukipata jimama likoboee ,likupe pesa utoboe " Sasa mttoto amekuwa ikiimba Sana hi verse. Na kwa kwa kifupi haina maaadili na nyimbo Ni nzuri ila msatari huu ktk wimbo siyo siyo mzuri. Haya...
  20. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Kuna aina moja ya nyimbo za zamani nazitafuta

    Ilikuwa nikizisikiliza zamani mwenye redio free Afrika (RFA) Au redio Tanzania daresalaam (RTD) Ni nyimbo flani hivi msanii anaimba ila ni kama anaongea story flani hivi za masikitiko. Mara anataja SHAMBA mara sijui TOKA EE Ni aina fulani hivi za nyimbo nikama msanii analalamika hivi. Yaani...
Back
Top Bottom