nyimbo

  1. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Hizi nyimbo 2 za Bongo Fleva zilikuwa mbele sana ya wakati: "Nang'atuka" na "Nini Chanzo"

    Hizi nyimbo zina zaidi ya miaka 20, lakini yaliyoimbwa hiyo miaka 20 iliyopita ndiyo tunayaishi leo. 1. Prof. Jay - Nang'atuka 2. Juma Nature - Nini Chanzo
  2. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Naombeni playlist ya nyimbo za kusindikizia sikukuu ya Christmas & Mwaka mpya

    Miondoko yote. Afrobeats, Gospel mix, Gospel Catholic, amapiano, 3 Step's, R&B's, n.k.
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Gen Z kashajitoa Mhanga huko Rungwe sikiliza hii nyimbo

    Ngoma hii hapa. Anasema yeye ni mbuzi wa kafara haogopi kufa wala kutekwa Tukumbuke Mwigulu ndo katoka juzi juzi huko. Je wataua na kuteka wangapi? Wakikamata mmoja wanaibuka mia ahah aha ha ha Haya mambo yanamwisho.
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Leo niweka nyimbo ya makomberero kwenye gari napita zangu kama watu inawapa mzuka

    Hii song inamzuka kweli ya kuonesha mabadiliko. Naongeza sauti kubwa kwenye gari najipitisha kituo cha polisi maana kipo barabarani.
  5. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Wimbo mwingine wa ukombozi kutoka kwa Malkia wa nyimbo za Injili Rose Muhando linaitwa Achia.

    Rose Muhando alikuwa mbele ya muda. Ukisikiliza hili jimbo na kwa yanayo endelea nchini shetani anaye zungumziwa humu ni rahisi sana kumjua na Rose Muhando anasisitiza shetani aachie kila kitu katika nchi yetu. Ukiachana na lile jimbo la vibe ya maandamano la makomborero linalotamba kwa sasa...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasanii wa Tanzania wanapitia wakati mgumu sana, wameahirisha show za ndani, nyimbo zimedoda mitandaoni

    Wakuu Nimekutana na video hizi mbili za watangazaji wenye nguvu ya ushawishi kwenye upande wa burudani hapa Tanzania, wakieleza hali ngumu wanayoipitia wasanii wa Tanzania hadi kufikia hatua ya ku-cancel show za ndani, kuahirisha kutoa albamu, na hata nyimbo zao walizotoa zimedoda huko...
  7. OLS

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nyimbo za ushujaa wakati wa kuzika ni alama ya maumivu yasiyostahimilika, inahitajika dawa ya haraka

    Sikuandika kitu mara baada ya uchaguzi japo nilishuhudia kilichotokea. Kuna makosa kadhaa ambayo CCM wanayafanya ili ku-justify yaliyotokea niwaambie vijana wa CCM Mkae kimya maana mnajiharibia katika siasa za kimataifa. Na ninaamini wengi mnapenda kuja baadae kufanya siasa za kimataifa ili...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Namtambulisha Msanii wangu wa AI-Dianah. Mwimbaji waa R&B za Kiswahili... Hapa nimeweka parts za cover za nyimbo zake.

    Sweet - Nandy Cover Ukimwona - Diamond cover Kivuruge - Nandy Cover Siachane nawe - Baraka Cover
  9. D

    JamiiForums Tanzania Namtambulisha Msanii wangu wa AI-Dianah Mwimbaji waa R&B za Kiswahili, nimeweka parts za cover za nyimbo zake

    Sweet - Nandy Cover Ukimwona - Diamond cover Kivuruge - Nandy Cover Siachane nawe - Baraka Cover
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nyimbo zinazo zinazungumzia kila shida tunayopitia kuanzia utekaji, ukandamizaji wa sauti

    Ni wakati wa kujifunza maneno na kitunga nyimbo leo nitawaletea maneno yenye nguvu kutoka kwa wenzetu waliopitia magumu na kuvunja ukimya na minyororo yao. Hizi nyimbo zinazungumzia kila shida tunayopitia kuanzia utekaji, ukandamizaji wa sauti mbadala hadi ubovu wa serikali
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Nyimbo wanazoimba Polisi wetu ni huzuni kwa kipindi hiki

    Ewe mwananchi ukapige ukishamaliza ukale ugali nyumbani.....
  12. MendeOLD

    JamiiForums Tanzania Kulikoni TBC FM hamuweki nukuu za Nyerere siku ya leo, mnaweka nyimbo za komba?

    Katika pitapita zangu huku london nkaweka online radio za TZ, nipate kumbukumbu zake kwa siku ya leo, ila naona nyimbo za komba zimetamalaki, kuliko nukuu za nyerere, maana nyerere hana nukuu alio paka rangi zote kaongelea uhuru wa kweli , true sovereignty.
  13. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Radio One hizi playlist zenu za usiku kwanini zinajirudia rudia sana

    Radio one mna shida gan playlist yenu ya usiku ipo vile vile mwaka wa 10 sasa, ata kama ni Auto DJ mnashindwa kuchagua nyimbo mchana?
  14. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania VIDEO: JWTZ mnapoimba nyimbo za kizalendo kama ..."Sitasimama maovu yakitawala" huwa mnamaanisha maovu gani labda?

    Huwa naona kwenye mazoezi yenu mnaimba nyimbo kama hii "Naapa Naahidi mbele za Mungu Tanzania nitakurinda mpaka kufa" "Sita simama maovu ya kitawala......" Ukizingatia kwa kile tunachokiona watu wakitekwa na kuuawa ufisadi na machukizo kama yote halafu bado mnaomba nyimbo zinazoamsha hisia...
  15. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nafuta nyimbo zote za wasanii wa bongo na kuunfollow page zao

    Kama NI burudani mlishanipa imetosha kwanza audiomack yenyewe inanilia Tu GB kwenye storage yangu nataka Tu nione kama maisha yangu hayataendelea bila mziki.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Watoto wa captain John Komba na nyimbo za baba Yao za kuudhihaki upinzani!! Kweli hakuna aijuae kesho yake!!

    Kweli tusiichezee Dunia!? John Komba wakati anaimba nyimbo za kuwatukana na kuwazodoa wapinzani hakikua nn kitaikuta familia yake,akidhani hiyo ndio Dunia atakayoishi yeye na familia yake!!! !! Naomba hili liwe fundisho!! Wewe ua Teka lakin Saa yaja!! " Nawavimbe wapasuke,waacheni waandamane...
  17. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Watu waliotajwa zaidi kwenye nyimbo za kikongo

    Congo (zote mbili Kinshasa na Brazzaville) kumekuwa na utamaduni wa miaka mkngi kwa wanamuziki kupata support kutoka wahisani mbalimbali hasa wanabiashara wakubwa wanasiasa mashuhuri na watu wengine mbalimbali mashuhuri waliopo ndani na nje ya nchi hizo. Watu hawa wamekuwa wakisupport bendi...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nitajie hapa Free Site bora au Free Websites za Kupakuwa Nyimbo Mtandaoni / Mitandaoni

    Nina GB 100 na nataka zote nizitumie Kupakuwa tu Nyimbo za Kikongo na Hotuba za Werevu Nyerere, Mkapa na Magufuli.
  19. Stroke

    JamiiForums Tanzania Diamond apigwe marufuku nyimbo zake zimejaa matusi

    Wakuu Huyu kijana amechangia mno kuharibu hiki kizazi. Nyimbo zake ni matusi tupu. Apigwe marufuku kabisa .
  20. McLaren

    JamiiForums Tanzania Ni nyimbo gani kati ya hizi ilisumbua sana kimataifa?

    Wakuu, Nadhani wote tunajua kuwa sasa hivi Bongo FLeva haisikilizwa Tanzania pekee. Kuna watu kutokea pande mbalimbali za dunia wako busy kweli kusikiliza muziki wetu. Nimeona tujikumbushe ngoma za Kibongo ambazo wakati zinatoka hazikuhit tu Tanzania bali zilienda kusumbua hata huko duniani...
Back
Top Bottom