Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,980
Congo (zote mbili Kinshasa na Brazzaville) kumekuwa na utamaduni wa miaka mkngi kwa wanamuziki kupata support kutoka wahisani mbalimbali hasa wanabiashara wakubwa wanasiasa mashuhuri na watu wengine mbalimbali mashuhuri waliopo ndani na nje ya nchi hizo.
Watu hawa wamekuwa wakisupport bendi kwa michango yao ambayo aghalabu imekuwa ni fedha taslimu ambayo inatajwa kuanzia kima cha chini cha $1000.
Nipo hapa nakuletea majina ya baadhi ya watu ambao majina yao yamekuwa yakisikika mara kwa mara na kwa miaka mingi kwenye nyimbo za wanamuziki wa kongo zote mbili, Kinshasa na Brazzaville.
Hamed Bakayoko, Bebe Ramazani, Jean François Ndenge, Jean-Dominique Okemba, Saki Sharufa, Pepe Akunji, Costa Omari, Didier Drogba, Manu Luvaka, Adam Bombole, Jean Marie Mulato, Samuel Etoo, Didier Kinwani, Kayembe Chezntemba, Loulou Iyolo, Adolphe Mwinda, Tumba Masikini, Patrick Bolognia, Papito Mbala, Mukubwa Shabani.
Waweza kuongezea....
Karibu