Ebhana eee! Je, wewe ni mpenzi wa mziki mzuri wa injili?
Kama jibu lako kwa swali hapo juu ni ndiyo, Yesu Anajibu Songs tunapenda kukualika uambatane nasi katika mfululizo wa nyimbo zenye ujumbe wa tumaini, faraja na imani katika Yesu Kristo.
karibu tuimbe, tuabudu na tumtukuze bwana pamoja...
https://youtu.be/SkLvVyZveTI?si=bz4jU76WkZBGn5If
Bado ni kiwingu kwa Tanzania juu yakutopigwa redioni na kwenye TV za Tanzania Ngoma za CIVILIAN-COIN bila sababu yoyote ile. Tangu aachie Ngoma ya "Who am I?" na Leo "Home boy" lakini bado Watangazaji nchini hawataki kupiga. Wasiseme hawana HIZO...
1) one in a milion- Aaliyah
2) tease me- chaka demus and plies
3)send it on - D' Angelo
4) hallo-Beyonce
5)shawty- plies
6)Lollipop- lil' wayne
7) yako wapi mapenzi- rubby
8) masogange- belle 9
9) fu-gee-la- fugees
10) let me hold you- bow wow ft omarion
11) if you realy wanna know- mac dosley...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Ndani Kuna mpaka maji ya kandoro anapewa mke wa tajiri anywe, hahaaaaaa ila hii dunia hii
Sasa hapo mgerasi kama MIN-me akiiitazama anajifariji et IPO siku naye atapata demu wa kishua
Dah acha nicheke mie
LONDON BOY
Nyimbo ya dansi sikumbuki vizuri imeimbwa na bendi gani (nahisi tu ni daimond Sound) inaimbwa hivi
"Nashangaa na maneno yako umekuwa kigeugeu aah neema tunapopendana na wewe umenitamkia mwenyewe nakupenda japo huna kitu
Chorus " Neema kumbuka kupata ni majaliwa mapenzi sio mali wala kipato...
Ukitaka kuona ukubwa wa Mzee Yusuph kasikilize kipande cha wimbo wa times fm(Juma dede) kilichoimbwa na Mzee Yusuph.
Huu wimbo ulikuwa mahsusi kwenye sherehe za times fm hivyo wasanii wa taarabu wale magwiji waliungana kwa pamoja kutoa wimbo wa Juma dede.
Yani Mzee alithibitisha ukubwa wake...
Jana kulikuwa na bonge moja la shoo kutoka kwa Kaka mkubwa @professorjaytz kwa namna moja ama nyingine watu walifurahi kile alichokifanya jukwaani.
Pembeni yake alikuwepo @nikkimbishi999 majina ni mengi kwake, Plata O Plomo, Baba Malcom, Kijusi na mengine mengi.
Kwa usiku wa jana binafsi...
Huu uzi utakua maalum kwaajili ya kutupia nyimbo kali za gospel mwaka 2026.
https://audiomack.com/voiceofpraise603/song/mungu-ni-pendo-remix?share-user-id=216220807
1 WAKORINTO 6
1 Je! Mtu wa kwenu akiwa ana daawa juu ya mwenzake athubutu kushitaki mbele ya wasio haki, wala si mbele ya watakatifu?
2 Au hamjui ya kwamba watakatifu watauhukumu ulimwengu? Na ikiwa ulimwengu utahukumiwa na ninyi, je! Hamstahili kukata hukumu zilizo ndogo?
3 Hamjui ya kuwa...
Actually mi nasikiliza mziki wowote mzuri ila 95% ya nyimbo ninazosikiliza ni kutoka Marekani na Tanzania
Kwa hapa Tanzania nasikiliza Bongo Flava, na singeli chache sana
Kuna stereotype imejengwa kuhusu singeli kuwa ni mziki wa wahuni, usio na maadili na hauna mashairi mazuri
Well, kwa baadhi...
Tangu uzakiwe mpaka unaanza shule ukijumlisha nyimbo zote ulizowai kusikia kuanzia mabata madogomadogo yanaogelea, napenda kuhesabu namba, hadi nyimbo za bongofleva nyimbo za dini zote, nyimbo kutoka tz na nje ya Tanzania.
Katika zote ukiambiwa utaje 3 bora utataja zipi
Mimi kwa harakaharaka...
Nimepata ndinga mpya nataka nipige hizi ngoma za fally ipupa sababu nimeshajipata naombeni mnitajie zile Kali ambazo nikipiga kwenye ndinga yangu nitajiona Nipo dunia ya peke yangu bosi ya mboka mutu mukubwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.