nyimbo

  1. Stroke

    JamiiForums Tanzania Diamond apigwe marufuku nyimbo zake zimejaa matusi

    Wakuu Huyu kijana amechangia mno kuharibu hiki kizazi. Nyimbo zake ni matusi tupu. Apigwe marufuku kabisa .
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania Ni nyimbo gani kati ya hizi ilisumbua sana kimataifa?

    Wakuu, Nadhani wote tunajua kuwa sasa hivi Bongo FLeva haisikilizwa Tanzania pekee. Kuna watu kutokea pande mbalimbali za dunia wako busy kweli kusikiliza muziki wetu. Nimeona tujikumbushe ngoma za Kibongo ambazo wakati zinatoka hazikuhit tu Tanzania bali zilienda kusumbua hata huko duniani...
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Chanzo Cha Nyimbo "Ajali Haikingiki''

    Makala hii nimeikuta mahali na nimeileta hapa ili sote tufaidike In Shaa Allah: "On 3 October 1930, a bus carrying fifteen members of one family, a driver’s assistant, and a nanny plunged into the Indian Ocean at Mombasa’s Likoni Ferry crossing point. The family was returning from the wedding...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Nyimbo za MC Mwingira zitakuwa hazina ya CHADEMA

    Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema chama hicho kitamuenzi marehemu George Mwingira, maarufu kama MC Mwingira kwa kuzifanya nyimbo zake kuwa hazina ya chama hicho. MC Mwingira alifariki dunia katika ajali ya basi la SAMA Luxury lililokuwa likisafiri kutoka Songea kuelekea Dar es...
  5. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Hizi channel wanaopiga nyimbo 24/7 ni kwamba katika ulimwengu huu kuna nyimbo wanayo mtandaoni haipo ama?

    Upande wa tv kama wasafi, crown, trace, mtv kila ukifungua ni nyimbo, bussiness model ya hizi channel ikoje
  6. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Iltokea siku moja msanii wa nyimbo za Asili akazuia mvua isinyeshe sehemu walipo washabiki tu!

    Hii siyo ya kusimuliwa na watu niliona kwa macho yangu. Katika mkoa wa Geita wilaya ya Nyang'hwale kata ya kafita na kijiji cha Lushimba. Msanii wa nyimbo za Asili Bhudagala alikuwa akitoa show katika kijiji hicho. Basi wingu zito lilitanda likiashiria mvua kubwa sana itashuka muda sio...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Waafrika ni kutokujua kuwa hata nyimbo zina mistari yenye maana kama kwenye biblia na quruan!!

    Hiyo mistari yenu ya biblia na quruan mmewekewa kwaajili ya marejeo ni kitu hamjui tu kwani hata nyimbo/miziki ya Kiafrika ina maana na mafundisho mazuri tu kuliko huo upuuzi wenu usioenda na matukio na wakati kila leo ni yaleyale hayabailiki. Situkeni!!
  8. music mimi

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye nyimbo za namna hii kwenye playlist yake?

    Mimi napenda muziki hata usiwe maarufu au hitsong. Watu wengi uwa wanashangaa nyimbo nazosikiliza wanasema ni nzuri sometimes wanakuwa hawajazisikia kabisa. Nakupa list ya baaadhi ya nyimbo za hip-hop ambazo nazisikiliza sana. 1. Mercy Me - Jay Z Blame game - Kanye West Beware - Big Sean...
  9. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Siku ya mazishi yako unapenda nyimbo gani uipendayo ipigwe?

    Kuna nukuu isemayo "An empty mind is a devil workshop" . Sasa hapa katika kuwaza nimejikuta nafikiria itokee labda chance ya ku select nyimbo niipendayo ichezwe katika siku ya mazishi yangu ningetamani nichezewe hii. Ili inisindikize huko kunaposemekana kuna Afterlife...
  10. maiko sultan

    JamiiForums Tanzania Kipindi ambacho hakukuwa na uchawa wala utekaji watu walikuwa wakiburudika na nyimbo za kuponda CCM

  11. S

    JamiiForums Tanzania Arusha: RC Kihongosi akionesha uwezo wake wa kuimbisha nyimbo za kizazi kipya

    CCM ina hazina kubwa Cheki Mkuu wa Mkoa wa Arusha Kihongosi akionyesha uwezo wake mkubwa wa kuimbisha nyimbo za kizazi kipya https://youtu.be/eJgyNBrkPas?si=MrgfOBY0Fj3NtgUB
  12. Knock life

    JamiiForums Tanzania Diamond Plutnumz unabidi kujipanga unatoa nyimbo haingii number one trending

    Kwa sasa umedrop kimuziki unatoa video haingii number one trending.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za Zamani ztukumbushe Hili kuelekea Uchaguzi,2025!

    Utavuna ulichopanda ×2 Kiitikio Ulichopanda×2,Utavuna! Wananchi tusidanganyike na vitenge, vyakula,pesa nk Kama mmbunge aliyopo madarakani,hajafanya lolote kwenye Jimbo lake mbali na msukumo wa serikali,asirudi Bungeni. Kama ni mgombea wa mara ya kwanza,tumuulize huko alikuwa amefanya Nini Cha...
  14. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za taratibu sana/za huzuni zina madhara gani?

    Kwema wakuu. NYIMBO ZENYE MIDUNDO ya huzuni huwa zina madhara gani? Kuna kipindi fulani nilikuwa nazisikiliza sana, mtu akanambia achana na hizo nyimbo kwa usalama wako. Nyimbo hizi zina madhara gani? Mfano wa nyimbo hizo: Wiz Khalifa - See you again
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Nyimbo za Injili Chimbo letu ni hili

    Kuna wakati roho yako inahitaji zaidi ya maneno – inahitaji wimbo. Wimbo unaogusa nafsi, unaobeba uzima, unaoinua moyo wako kutoka uchovu wa maisha hadi kwenye faraja ya kiroho. Kama unapenda nyimbo za Injili—za kuabudu, kusifu, na kuimarisha imani—basi tumekuwekea kitu cha kipekee. Karibu...
  16. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Bonge la nyimbo Putin, trump ft kiduku

    https://www.instagram.com/p/DGslSQOCtAr/
  17. technically

    JamiiForums Tanzania Hili la kupiga nyimbo za dini baa sio sawa

    Watu wanalewa Wengine nusu uchi Dj anapoga nyimbo za dini sio sawa Imagine sehemu Kama kidimbwi zinapigwa nyimbo za dini duh!! Halafu leo ijumaa inachomwa kitimoto sio poa
  18. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kwahio nani kamuiga mwenzake kwenye hizi nyimbo 3

    https://youtu.be/jhULP7HlvF0 https://www.youtube.com/watch?v=lb3l6msZWkA&pp=ygUZbW9rb2xvIG5ha29rdWZhIGZheWEgdGVzcw%3D%3D https://www.youtube.com/watch?v=UAcPHTlljGU&pp=ygURd2FsYXUgbmFmYXNpIHNvbmc%3D
  19. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania WAPENZI WA NYIMBO ZA ANJILI NJOONI HAPA

    Kuna utunzi wa nyimbo za injili hakika unakonga nyoyo kuanzia mpangilio wa sauti Hadi upigaji wa ala za muziki Top five ya kwanza zinazo fanya vizuri katika maisha yangu ni hizi hapa 1; AIC Chang'ombe 2; Kwaya ya Mama jus 3;Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama 4;Kwaya ya Mtakatifu Kizito Makuburi...
  20. FK21

    JamiiForums Tanzania Rose Muhando wanyamazishe ni nyimbo ya kishetani

    Leo nimeisikiliza itoshe kusema iyo nyimbo ni zero kabisa muimbaji angekuwa mchawi angewaroga watesi wake
Back
Top Bottom