nyerere

  1. Historia ya Mshume Kiyate na Julius Nyerere

    MSHUME KIYATE ALIKUWA NA UHUSIANO GANI NA JULIUS NYERERE? Wadau wa historia ya uhuru wa Tanganyika wanataka kufahamu Mzee Mshume alikuwa na uhusiano gani na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kiasi cha Nyerere kuagiza wapi Mzee Mshume akazikwe?
  2. Kutoka Julius Nyerere International Convention Centre: Kongamano la Maudhui ya wazawa Kushiriki Mradi wa Bomba la Mafuta ECOP

    Mgeni Rasmi, Waziri wa Nishati na Madini Mh. January Makamba, wengine ni naibu waziri wa nishati na Madini
  3. Makazi ya baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada ya kujiuzulu ualimu 1955

    ALIPOISHI BABA WA TAIFA BAADA YA KUACHA KAZI YA UALIMU 1955 Hapo ilipo nyumba hii ilikuwapo nyumba ya kawaida ingawa kwa wakati ule nyumba hiyo ilikuwa nyumba ya kuvutia pia. Nyumba hiyo ilikuwa na duka la mwenye nyumba hiyo na barazani palikuwa na barza maarufu ya wazee wa mjini maarufu...
  4. K

    R.I.P Zacharia Hans Poppe: Historia fupi ya Jabari lilotaka Kumpindua Mwalimu Nyerere

    Kama anavyotambulishwa, jina lake ni Zacharia Hans Poppe, ambaye alizaliwa mwaka 1956 mjini Dar es Salaam na kukulia mkoani Iringa. - Baada ya kumaliza elimu ya sekondari, Zacharia alijiunga na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ambako alifikia cheo cha Kapteni - Kabla ya kuachishwa kazi na...
  5. S

    Mwalimu Nyerere na vigezo vya uongozi kwa Mwanamke

    "Tunaweza kumpatia uongozi na madaraka mwanaume mlevi, lakini hatuwezi kumpa madaraka kama hayo mwanamke akiwa mlevi" Mwl. J.K Nyerere Mwalimu alimaanisha tunapotaka kutoa madaraka kwa wanawake lazima vigezo viwe tofauti na wanaume! Kwa wanawake vigezo vinakua vingi zaidi Lakini mimi sijaona...
  6. J

    Mwenge wa Uhuru utazimwa Chato mkoani Geita ukiambatana na Misa takatifu ya kuwaombea mahayati Magufuli, Mkapa na Nyerere katika Kanisa Katoliki

    Waziri Jenister Mhagama amesema Mwenge wa Uhuru utakamilishia mbio zake katika wilaya ya Chato mkoani Geita ikiwa ni kumbukumbu ya kumuenzi hayati Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 wa JMT Katika hitimisho hilo la mbio za mwenge itafanyika misa takatifu ya kitaifa katika Kanisa Katoliki...
  7. Rais Samia atoa mabilioni ya fedha sekta ya anga, elimu, mradi wa SGR na bwawa la kufua umeme la mwalimu Nyerere

    RAIS SAMIA ATOA MABILIONI YA FEDHA SEKTA YA ANGA, ELIMU, MRADI WA SGR NA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MWALIMU NYERERE. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan aendelea na utekelezaji wa ufunguaji na ukuzaji wa uchumi wa Tanzania kwa kutekekeleza miradi ya kimkakati kwa kasi...
  8. Soma vitabu hivi ujue historia ya tanu na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    SOMA VITABU HIVI UJUE HISTORIA YA TANU NA UHURU WA TANGANYIKA Unajua kwa nini kadi ya TANU No. 3 ni ya Abdul Sykes, No. 2 ni ya Ally Sykes na No. 1 ni ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere? Unaijua azma ya Hamza Mwapachu (1913 - 1962) katika kuwakusanya vijana wasomi ndani ya TAA...
  9. Washauri wa Rais Samia ni akina nani?

    Kuna hii ‘narrative’ inayoendelea sasa hivi kuwa Rais Samia anashauriwa vibaya. Kila jambo linaloonekana kwenda mrama, lawama wanapewa hao washauri wake! Yeye hakosei [kwa maneno yake mwenyewe aliwahi kunena kuwa Rais hakosei]. Ikitokea kuonekana kafanya makosa, wapenzi wake wanakimbilia...
  10. Waziri Gwajima amteua Steve Nyerere kuwa Balozi wa Uviko-19

    Msanii maarufu nchini na Mwenyekiti wa Jukwaa la Mama Ongea na Mwanao, Steven Mengele 'Steve Nyerere' ameteuliwa kuwa Balozi wa harakati za kupambana na ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona (Uviko-19). Steve ameteuliwa leo Alhamisi Agosti 12 na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia...
  11. Wakazi wa Kigamboni watalipia daraja la Mwalimu Nyerere mpaka lini?

    Kwa sababu za kijografia , Wilaya hii imekuwa na changamoto ya kufikika kwa urahisi na hivyo kwa miaka mingi wakazi wake wamekuwa wakitumia huduma ya kivuko cha ferry au kutumia njia ya Barabara ya Kongowe, njia ambazo zimekuwa na shida kwa wakazi. Ujenzi huu ulianza ramsi Februari 2012 chini...
  12. Bwawa la umeme la Julius Nyerere liwe kichocheo cha matumizi ya nishati ya umeme katika kupikia

    Mradi wa bwawa la kufua umeme wa maji la Julius Nyerere ulioko katika mto Rufiji unategemewa kukamilika juni 2022.Bwawa hilo linatarajiwa kuzalisha megawati 2115 ambazo zikichanganywa na megawati zilizopo zitaifanya Tanzania kuwa na umeme mwingi utakaotosheleza mahitaji ya ndani na ziada kuuzwa...
  13. Vitu kupewa jina la Nyerere imetosha tuvipe na majina ya viongozi wengine

    Pamoja na kuwa baba wa Taifa ila vitu vingi sana vimepewa jina lake Nashauri imetosha tuwape na wengine maana sasa historia inakuwa kwa mtu mmoja kama wengine hawakuwepo tu hebu tazama Mwalimu nyerere memorial academy Mwalimu nyerere international airport Nyerere hydroelectric power Nyerere...
  14. Yericko Nyerere amchana Mo Dewji

    Yaani ugomvi wako na Manara unataka wanasimba wote waununue?? Noooo nooo hii haikubaliki duniani hadi mbinguni, Acha maisha binafsi ya Wachezaji yawe huru, ilimradi hawavunji mikataba yao. Mkataba wa Chama hausemi asimsifie Manara badala yake akusifie wewe, Izingatiwe kuwa Wachezaji ni waajiliwa...
  15. Tujikumbushe kesi dhidi ya Mwalimu Nyerere kabla ya Uhuru (wakati wa ukoloni).

    Mwishoni mwa miaka ya 50 Mwalimu Nyerere alishitakiwa na wakoloni na akafikishwa mahakamani, siku za kusikilizwa kesi watanganyika walijaa nje ya mahakama kushuhudia tukio hilo muhimu la kiongozi wao kusurubiwa na mkoloni. Enzi hizo jeshi la polisi lilikuwa chini ya malkia wa uingereza na...
  16. TANZIA Sophia Nyerere, Mjukuu wa Baba wa Taifa afariki Dunia

    Sophia Nyerere, ambaye ni Mjukuu wa Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere, amefariki dunia leo Jumanne katika Hospitali ya Mzena mkoani Dar es Salaam, alipokuwa amelazwa kwa ajili ya matibabu. Marehemu Sophia ni Mtoto wa John Nyerere. ==== SOPHIA Nyerere, ambaye ni mjukuu wa Baba wa...
  17. K

    Ukweli lazima usemwe, aliyetufikisha hapa ni Nyerere

    Watu huwa wanamsifia Nyerere kwa mengi. Ila kitu ambacho kinadefine legacy yake mpaka sasa ni hili janga la katiba alilotuachia. Kiuhalisia hii katiba ilitengenezwa mahususi kwaajili ya Nyerere. Yeye ndo alitaka "a strong executive with necessary control of the legislature", alitaka katiba...
  18. Fozhou China, Mkutano mkuu wa 44 wa UNESCO July 16-31: Utetetezi wetu Watanzania juu ya ujenzi wa bwawa la kufua umeme la Mwalimu Nyerere

    Ni UNESCO haohao walioanza kujiridhisha kipindi cha utawala wa hayati baba wa taifa mwalimu JKN kuwa ujenzi wa bwawa la kufua umeme kamwe HALITOATHIRI mazingira ya viumbe na uoto wa asili katika pori tengefu la SELOUS!!! HAWAKUISHIA HAPO Miaka kadhaa baadae chini ya utawala wa kipenzi chetu...
  19. J

    Nyerere: Ili nchi iendelee inahitaji Watu, Ardhi, Siasa safi na Uongozi bora

    Nasoma moja ya vitabu vilivyoandikwa na hayati Julius Kambarage Nyerere, kwa kweli vimejaa hekima na busara. Naipima Tanzania na vigezo vya maendeleo alivyoainisha Mwalimu Nyerere kwamba ni watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora. Bado sijajua Tanzania tunakosa nini katika hivyo vinne! Je...
  20. Je, ile 'confidence' ya Kuongea Kiingereza 'fluently' bila kuandikiwa au kusoma akina Nyerere na Mkapa waliitoa wapi nami nikajifunze?

    Natamani sana nami GENTAMYCINE nijue Kuongea Kiingereza kizuri kama cha akina Nyerere na Mkapa na siyo nije nikijue vizuri baada ya Kustaafu Majukumu yangu au niwe nakiongea kwa kutegemea Kuandikiwa kisha kila nikiwa nahutubia niwe 'nazuga' kwa Kukiongea kwa Sekunde Tano, nakunywa Maji na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…