nyerere

  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Seyschelles coup: the day Nyerere outwitted Kenyatta

    Kenya's coup conspiracy Monday, May 24, 2004 — updated on June 21, 2020 Mancham, a regular visitor to the Kenya waves Kanu's one-finger salute as he departed from Nairobi in 1972 to the amusement of Attorney General Charles Njonjo; Left, how the Daily Nation reported the coup attempt. Every...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kebehi dhidi ya Nyerere na Magufuli, ni ishara Watanzania wana uelewa mdogo. Viongozi hawa wajengewe kumbukizi

    Habari, Nimekuwa nikipitia mitandao mingi ya Kijamii wachangiaji wakitoa maneno ya kashfa na kuudhi dhidi ya hawa viongozi wetu, ingawa ukipita mitaani hali ni tofauti na kwenye hii mitandao. Swali ni kwamba kuna vijana huwa wana ajiriwa kwa shughuli hii chafu? Mwalimu Nyerere na Magufuli ni...
  3. JamiiForums Tanzania Kivuli cha Hayati Mwalimu Nyerere kinawatisha

    Shida ya watanzania kupewa Katiba Mpya ni hofu ya kuuvunja Muungano wa Nyerere ambao kimsingi Muungano huo haupo kila Rais ajaye anaogopa kivuli cha Nyerere. Na kwa sababu hiyo Tanzania inarudishwa nyuma. Sikutegemea kama aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge la Katiba naye angeona kuwa si wakati...
  4. JamiiForums Tanzania Historia ya Ali Msham, mwalimu na mama Maria Nyerere Magomeni Mapipa 1954

    Katika historia za wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika lakini wamesahaulika historia ya Ali Msham ina sehemu ya pekee moyoni kwangu. Tafadhali isikilize historia yake:
  5. JamiiForums Tanzania Airport ya kwa Mwalimu Nyerere Musoma imeshaanza kujengwa?

    Watu wa Musoma na Mara waliahidiwa Airport na Raisi wao Samia, vipi imeshaanza kujengwa? Na maendeleo ya ujenzi yakoje?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alisitisha ongezeko la mishahara kwa sababu fedha zilielekezwa Bwawa la Nyerere

    Tunakumbushana tu kwamba hayati Magufuli alisitisha ongexeko la mishahara kwa sababu fedha zilielekezwa kwenye ujenzi wa Bwawa la umeme la Stiglers gorge au Nyerere. Kwa sasa mradi uko mwishoni na fedha zinaelekezwa maeneo mengine. CCM ni sikivu, hongera Rais Samia.
  7. JamiiForums Tanzania 64 Various Jobs at JVACEE, Julius Nyerere Hydro Power Project (JNHPP)

    J-V-A-C-E-E, Julius Nyerere Hydro Power Project (JNHPP) is Urgently Looking for the Following Candidates to fill the available below Positions :- Motor Grader Operator — 22 positions Excavator Operator — 26 Positions Soil Compactor Operator — 10 Positions Soil Reclaimer Operator — 06...
  8. JamiiForums Tanzania President Nyerere in Britain - Colour - sound

  9. JamiiForums Tanzania Kauli za Marais kuhusu fedha kutoka nje

    Magufuli: Sisi ni matajiri, tunaweza kuwasaidia hata Ulaya, misaada/mikopo yao masharti magumu Samia Suluhu: Nimeenda Ulaya, pesa za miradi zilikwama tumezikwamua. Nipo nazitafuta za kaka Jakaya..
  10. J

    JamiiForums Tanzania Msekwa: Aliposaini hati ya muungano, Nyerere alipiga wine kwa furaha. Asema muungano ulitawaliwa na siri kubwa

    Mzee Msekwa amesema wakati muungano unaasisiwa yeye alikuwa ni Katibu wa bunge na ndiye aliyeupeleka Ikulu muswada huo baada ya kupitishwa na bunge ili ukasainiwe na iwe sheria. Mzee Msekwa anasema alipofika Ikulu na kumweleza Rais kuwa wabunge wote kwa kauli moja wamepitisha mswada wa muungano...
  11. JamiiForums Tanzania Uonevu wa Traffic Barabara ya Nyerere

    Kuna tabia mpya Traffic wameanzisha barabara ya Nyerere baada ya Quality Center ikiwa unaelekea mjini wanaweka utepe kwenye uelekeo wa Service Road ilipo bank ya Absa karibu na Lifemate Furniture. Hata ikiwa dhamira yao ni kuzuia watu wanaeonda mjini wasichepuke, lakini haileti maana kwa sehemu...
  12. JamiiForums Tanzania Steven Mangele (maarufu Steven Nyerere) kuna uhusiano gani wa bongo movie na CCM?

    Assalam wana jamvi! poleni na majukumu ya hapa na pale katika maisha! Moja kwa moja niende kwenye hoja! wakati mwingine ni kweli yamkini hainihusu, lakini hiki ndo kizazi chetu, ndo vijana wetu, na watoto wetu lakini pia ndo ndugu zetu! Muhusika niliemtaja kwa mtazamo wangu ni kama kwa sasa...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba na hoja fikirishi ya Mwalimu Nyerere kutohutubia Kanisani

    Nilimsikiliza vyema Waziri Mkuu mstaafu Mzee Joseph Sinde Warioba pale alipopewa nafasi ya kuhutubia nyumbani kwa Mwalimu Nyerere pale Msasani kama sehemu ya sherehe ya kufikisha miaka 100 ya hayati Mwalimu. Aliongea kwa lugha nzuri kama mwanasheria na mtu muungwana. Akamuelezea Mwalimu Nyerere...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Makongoro Nyerere: Mama Maria Nyerere yeye hana makuu

    Akiongea na East Africa Radio leo kuhusu maadhimisho ya Miaka 100 ya Nyerere, Makongoro Nyerere ametoa “kifumbo” ambacho wachambuzi wa mambo wanahusisha na kauli ya mama Salma Kikwete kuhusu mafao ya wenza wa marais. "Mama Maria Nyerere kama siku 14 zilizopita nilipata taarifa kutoka kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Utawala wa JPM ulitengeneza mabilionea wa kichina, Uturuki na waarabu, ,Nyerere, Mwinyi Mkapa na JK walitengeneza matajiri wazawa

    Mzalendo wetu JPM alitengeneza mabilionea wa kichina, tenda zote nchi nzima za ujenzi aliwapa wachina au Mayanga, aliwapa waturuki ujenzi wa reli, wamisri ujenzi wa bwawa la Stiglers. Wafanyabiashara wa kitanzania waliozea jela wakati wachina, waturuki wakitamba katika nchi yetu...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Wafahamu wezi waliopongezwa na mwalimu Nyerere

    Ilianza kama utani Shirika moja la enzi hizo za utawala wa mwalimu Nyerere lilokuwa na ukwasi wa kutosha enzi hizo lilipokea taarifa kutoka kwa wezi kuwa siku ya tarehe_ _ mwezi wa _ _ wangefika kufanya wizi wa fedha kidogo hapo kwenye jengo la shirika hilo Basi viongozi wa shirika...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Nyerere alifanya nini kwenye ardhi ya Tanzania?

    Kuna siri gani kwenye ardhi ya Tanzania kwamba wanasiasa wa nchi za nje wakija kujiungamanisha nayo (wakilelewa Tz) wakirudi kwao wanaukwaa urais? 1. Samora Machel alipotoka Tz kurudi kwao akawa rais. 2. Chisano alipotoka Tz kurudi kwao akawa rais. 3. Filipe Nyusi alipotoka Tz kurudi kwao...
  18. JamiiForums Tanzania Hata Mwl Nyerere ilifikia kipindi akaitwa kiongozi asiyeambilika, lakini hatujawahi kusikia viongozi waliomfuata wakimkosoa hadharani ughaibuni

    Mbona mkuu wa nchi yetu kama anafanya ndivyo sivyo? Kuongoza nchi kumbe kazi sana. Upo nje kwenye ziara ya kikazi alafu unaeleza kwenye media kubwa kama NY times kuwa mtangulizi wako alikuwa stubborn, hii inaleta picha gani? Hukuwa na raha wakati unafanya nae kazi pamoja kiasi cha kumchukia...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Imethibitika kumbe Mhesh Madaraka Nyerere Ni mpenzi wa Klabu ya Yanga

    Ushahidi umeambatanishwa hapo chini Niwatakie good Friday
  20. JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere kama muasisi wa CCM hakuacha succession plan nzuri ndio maana taifa letu ndio maana taifa linaumizwa na ufisadi.

    Kama muasisi wa taifa letu alipaswa kuhakikisha taifa linakuwa na katiba ambayo hakuna chama tawala kitalifanya taifa letu mali ya wachache. CCM aliyoiacha haina misingi vizuri ya kurithisha viongozi ambao wanauchungu na matatizo ya taifa lao. Ufisadi, ubinafsi na kuwaona wananchi ni wajinga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…