nyerere

  1. M

    JamiiForums Tanzania Muungano umeshapitwa na wakati; Ulishinikizwa na Wamarekani na mabepari wakiogopa kuenea kwa ushawishi wa Urusi kuigeuza Zanzibar iwe kama Cuba

    Muungano uliingiwa kwa hofu, baada ya vita vya pili vya dunia kulikuwa kunanukia vita ya tatu Maandalizi ya kimya kimya ya vita ya tatu ilikuwa na pande mbili Mabepari - nchi kama Marekani, Uingereza, Ufaransa, n.k. wasoshalisti - mataifa makubwa kama Urusi na China waliokuwa wakieneza mfumo...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nyerere na CCM walisahau kupambana na ubaguzi wa kisiasa na sasa ubaguzi huo unaitafuna nchi

    Tangu tunapata uhuru mpaka sasa utawala wa CCM ulijikita sana kupambana na ubaguzi wa ukabila, rangi, dini na ukanda. Walichojisahau au kwa makusudi hawakuwahi kuwekeza jitihada zozote kupambana na ubaguzi wa kisiasa, kuwaona wapinzani wa CCM ni raia sawa na wenye haki kamili sawa na wana CCM...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mpigie kura Savatir wa Zambia tuzo za Zikomo mwandishi wa vitabu bora, amshinde msaliti Yericko Nyerere

    Igweeeee! Adui unayemmudu usimuachie Mungu Watanzania tumejeruhiwa na kudharauliwa sana na hawa wasaliti Huyu yeriko nyerere jasusi feki anashindana katika zikomo award,, the best author in africa na kura ndizo zitakazotoa mshindi Niwaombe wanajf wote tuingie katika link ya zikomo award...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Lugha ya Mwl. Nyerere kwa Oscar Kambona ina mchango hasi kiasi gani kwa uonevu upinzani uliopitia na unaopitia sasa?

    Mojawapo ya Icon wakubwa wa upinzani na mawazo mbdala katika nchi yetu ni Oscar Kambona aliyetoka kuwa swahiba na mtu wa karibu wa Nyerere mpaka kuwa mkosoaji wake mkuu. Lugha aliyokuwa anatumia Nyerere kumkosoa Kambona hadharani ilikuwa kali sana na isiyo ya kiungwana kwa nyakati hizo, hatujui...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kupatikana kwa Jasusi Yeriko Nyerere.

    Na ule mwanya wake basi sisi hoi. Tukutane 9/12/2025 tutamsalimia huyu na Mwijaku pale Kigamboni sisi wakazi wa Kigamboni.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Majibu ya AI kuhusu chanzo kilichopelekea Nyerere aitose Tanganyika kuungwa na Zanzibar na kilichomfanya Karume aridhie

    🧭 Muktadha wa Dunia: Cold War (1950s–1980s) Baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia, dunia iligawanyika katika kambi mbili kubwa: Kambi ya Magharibi 🇺🇸 – inayoongozwa na Marekani na Uingereza (mfumo wa ubepari/demokrasia ya kibepari). Kambi ya Mashariki 🇷🇺 – inayoongozwa na Muungano wa Kisovieti...
  7. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Hivi Nyerere lengo lake haswa kuunganisha Tanganyika na Zanzibar lilikuwa nini?

    Yani aliwaza nini yani? yani lengo lake lilikua lipi yani kwa upande wa kufaidika na muungano ( au ndio zile tetesi kua dar,pwani,Tanga,Mtwara,Lindi na Mombasa zilikua sehemu ya Zanzibar??) Maana mpaka sasa sioni maana ya Muungano, yani Mzanzibar anaweza kua Raisi bara halafu Mtanganyika hawezi...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Dear Nyerere

    Dear Nyerere, Remember the country you fought for its independence without any blood shed Now the blood is heavily flowing within the streets Its funny because the colonialists left without need for bloodshed Alas, our own people have decided to shed blood of thousands Because power for them...
  9. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Hivi Yeriko Nyerere anatutaka nini watanzania?

    Huyu jamaa yawezekana ni mental case. Kwenye msiba watu hulia wote yeye yuko bize na spinning na kejeli. Namshauri aache mara moja kwa usalama wake. Usicheze na umma uloumizwa
  10. R

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere: Poleni watanzania sisi ni ndugu, Tusali huu sio wakati wa kunyoosheana vidole

    Msanii wa Maigizo 'Bongo Movie' Steve Nyerere kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram ameandika haya: "Mstafuuu,....watanzania wenzangu,..kwanza kabisa tutambue sisi wote ni ndugu tumezaliwa katika tumbo 1 tu linaloitwa Tanzania Kama Mtanzania nichukue nafasi hii kuwapa pole ndugu, jamaa...
  11. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Yeriko Nyerere, Peter Madeleka, Salim Mwalimu Na James Mbowe, Je Uchaguzi umeisha?

    Nauliza Mbona Hawasemi Kitu Hawa Wagombea Kwenye Uchaguzi Mkuu Wa 2025...kipi Kimewapata..?
  12. w0rM

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hii ni ajabu! Aliyeshinda kwa asilimia kubwa kiasi hicho ameapishwa bila hata wale waliodaiwa kumpigia kura kuwepo uwanjani

    Uchaguzi wa mwaka huu, ambao Dkt. Samia Suluhu Hassan amechaguliwa tena kuwa Rais wa Tanzania kwa muhula wa pili wa Serikali ya Awamu ya Sita, umeniacha nikiwa na mshangao mkubwa na sina shaka Watanzania wengi wanahisi vivyo hivyo. Asilimia alizopata mgombea huyu zinafanana kabisa na zile...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sisi vijana wa Nyerere tunafahamu maana ya Kufanya regime change kila baada ya miaka 10

    Iwe ndani ya CCM, au kwa Tanzania yote miaka 10 lazima Oil chafu imwage, hata kwa mbinu za Kivita. Wana CCM anzeni sasa kutoka, kukiokoa chama chenu kutoka mikomononi mwa wana mtandao ¡Hasta la victoria siempre!
  14. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania Nyerere alitengeneza Systematic stupidity. Hiyo ndio inatesa Tanzania mpaka leo

    Salam Pamoja na mazuri yake lakini Nyerere alitengeneza kitu kinaitwa systematic stupidity (upumbavu wa kimfumo) ndio inachotesa nchi mpaka leo. Systematic stupidity in political leadership occurs when structural and social factors lead intelligent, well-intentioned leaders to make poor...
  15. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Julius Nyerere (1987): Msingi wa Amani ni HAKI! Bila haki, huwezi kupata utulivu wa kisiasa

    GT Haya sasa wale wajinga wajinga ambao hamtaki kutamka.neo haki sikilizeni hii. Kiufupi HAKI ni matendo na AMANI ni Matokeo Mfano Heshima ni matokea lazima kuna matendo lazima uyafanye kupata heshima
  16. Keynez

    JamiiForums Tanzania Je, Novena ya Mtakatifu Nyerere kuliombea taifa la Tanzania inaweza kuzaa matunda?

    Sijajua mchakato wa kumfanya Nyerere kuwa mtakatifu umefikia wapi ila nakumbuka moja ya kitu ambacho Kanisa Katoliki inafanya na kuchunguza kabla haijamtangaza mtu kuwa Mtakatifu ni uchunguzi wa matendo yake alipokuwa hai pamoja na miujiza iliyotokea wakati wa uhai wake na baada ya kifo. Wengi...
  17. B

    JamiiForums Tanzania JAMHURI YA PLATO — Tafsiri ya Mwisho ya Mwalimu Julius K. Nyerere

    18 October 2025 JAMHURI YA PLATO — Tafsiri ya Mwisho ya Mwalimu Julius K. Nyerere https://m.youtube.com/watch?v=fiC1cODelxU “Jamhuri ya Plato” ni kazi adhimu ya falsafa iliyoandikwa na Plato, na hii ni tafsiri yake ya Kiswahili iliyofanywa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Hii ndiyo kazi...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Nyerere alisema ukweli

    https://youtu.be/xAt_0R-fv0k?si=oT7VUl1dtDP9SkZi
  19. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Nyerere alitawala kipindi kirefu lakini hakujilimbikizia mali

    Mchambuzi wa siasa na mwanasiasa mkongwe Said Miraj amesema Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ameendelea kuwa mfano bora wa uongozi wa kizalendo usioendeshwa kwa tamaa ya mali binafsi. Akizungumza kupitia kipindi cha Maswali na Majibu kinachorushwa na Jambo TV na kuendeshwa na mtangazaji...
  20. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere nakukumbuka kwa majonzi na vilio

    Mpendwa Julius Kambarage Nyerere, Pamoja na madhaifu yako kama kututengenezea huu mfumo mbovu na hatari, bado tunakukumbuka. Nakukumbuka kwa majonzi na vilio. Je, hali ikoje? Kwanza, kuna jamaa mmoja mbabe alipenya akaukwaa urais na kuwageuza watu wako wanyonge ili awanyonge. Jamaa alianzisha...
Back
Top Bottom