Kama kichwa cha habari kilivo hapo mnaweza kumtambua nani na nani mimi nimemtambua Nyerere na Mzee Mshumi Kyate.
Huyu mzee Kyate alikuwa mvuvi ndio alikuwa ana jukumu la kulisha familia ya Nyerere mboga kipindi alivyoamua kuacha kazi shule ya Pugu.
Kuna siku moja alikutana na Nyerere pale Fire...
1. Mwaka 1955 alijiuzulu ualimu Pugu sekondari baada ya kuambiwa achague siasa au ualimu
2. Kama mwaka 1958 hivi alijiuzulu ubunge baada ya kuona hamna anachofanya, mapendekezo yake yote yanatupiliwa mbali.
3. Mwaka 1962 alijiuzulu uwaziri mkuu
4. Akamaliza na kujiuzulu/kung'atuka urais.
Au...
Ni vigumu sana kuzungumzia Chama Cha Mapinduzi pasipo kumhusisha Mwl Nyerere
Hii ni kwasababu Chama Cha Mapinduzi kinaishi kwa kufuata misingi ya Mwl Nyerere
Mambo yote aliyoanzisha Mwl Nyerere hakutaka kuona yakibadilishwa
Raisi yeyote yule aliyemfuata na akajaribu kubadilisha basi alijikuta...
Mara kadhaa nimekuwa nikisikia baadhi ya watu wakisema kuwa enzi za Mwalimu Nyerere akiwa Rais watu "wengi" Sana waliuawa au kupotezwa.
Sasa kabla ya waliofanya kazi na Nyerere wote kufa, ni Bora watu wanaowafahamu waliouawa zama Julius Nyerere alipokuwa Rais wa nchi yetu, wawataje watu hao...
Tatizo na sababu za kuutaka muungano, ilianzia kwenye maasi ya jeshi wakati huo 19/1/1964.
Jeshi liliasi, na Nyerere akijificha kigamboni kunusuru maisha yake.
Miezi mitatu tu baadae akamshawishi hayati Karume Rais wa Zanzibar wakati huo, waunganishe nchi.
Nyerere aliona atakuwa salama kama...
Hii Taasisi inakwenda kupoteza hadhi yake. Inaongozwa na chawa kachara.
Matamshi yake ya juzi yanaivua nguo taasisi acha yeye mwenyewe anakuwa "takataka"!
Kupoteza heshima yake kubwa aliyoijenga for decades!
Haongelei matatizo makubwa ya utawala wa Samia, mauaji ya watu on 29, na mengine...
Mtu makini na mwenye maono asingeweza kuiua Tanganyika kwa kufukia fukia mambo kwa koti la muungano.
Kwenye muungano Nyerere alichemka big time, matokeo yake anatupa taabu vijana kuurudisha muungano wetu. Hata waliopo kwenye madaraka tukiwahoji hawana cha maana cha kujibu zaidi wanatupia mpira...
Wakuu,
Huyu Mzee anawasha moto kwa Gen Z, hii kauli ya kusema tunashawishiwa na mabeberu wanaikamia sana
Hivi ni kweli vijana hatujui tunataka nini?
Nani alisema tunataka kuiwasha moto Tanzania na si kuijenga kutoka kwa mafedhuli tena wazawa wa nchi hii
Kama ni kazi tunafanya na ndo hii ya...
Kitabu Uamuzi wa busara kinazungumzia maamuzi mbalimbali magumu yaliyofanywa na Mwalimu JK Nyerere na TANU. Kuanzia Mwalimi kujiuzulu kazi ya ualimu, TANU kuamua kutosusia uchaguzi, Mwalimu kujiuzulu ubunge, Mwalimu kujiuzulu Uwaziri Mkuu, Muungano, Azimio la Arusha. Kinapatikana ndani ya app ya...
Licha ya kuheshimu mchango wake kwa Taifa , lakini binafsi ninaamini sifa nyingi anazomwagiwa huenda zinazidiwa na makosa yake mengi yakisera na kimfumo wa uongozi aliyoyafanya ikiwa watu tutamuamgalia katika upande mwingine. Kwakifupi mtu huyu ni overrated
* Aliruhusu mfumo wa vyama vingi...
Hii kitu mimi najiulizaga sana kama yeye ni baba wa Taifa ndiyo alituachia inchi ikiwa chini ya Vyama vingi na katiba mbovu hivi? Basi Huko aliko afutiwe sifa zake zote tulizodanganywa kumuhusu yeye
Wakati wote wa Vita vya Kagera Mwalimu Nyerere alikuwa anatoa hotuba kila baada ya muda fulani ili kuwajulisha wananchi maendeleo ya vita. Hotuba zote zimewekwa kwenye kakitabu haka. Kitabu unaweza kukisoma ndani ya app ya Maktaba Sauti. Ipo playstore.
Hotuba No 1
2, Novemba, 1978.
Ndugu...
Nyerere alikataa familia moja kuwa na rundo la viongozi, Samia kavunja rekodi kwa kuweka watoto, wakwe na ndugu kwenye ngazi za juu za uongozi, kibaya zaidi inasemekana mtoto wake wa kiume ana nguvu kuliko hata mkuu wa majeshi huyu generali wa mchongo.
Waislam ndio walikua front kupigania uhuru, ukisikiliza hotuba yake mwalim Nyerere Bagamoyo aliwashukuru waislam kuwa mbele kupigania uhuru ambapo taasisi nyengine zilikua kimya.
Ndio hivi sasa, waislam wapo front kulinda tz huku wengine wakiwa wamejificha
Siyo muda huyu jamaa anapewa kitengo maana Samia anawapenda sana wapambee :BBRUHH:
--------------
Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na mwandishi wa vitabu, Yericko Nyerere, ameituhumu Jumuiya ya Ulaya (EU) akiitaja kuwa sehemu ya wanaopaswa kuchunguzwa kuhusu matukio yaliyotokea...
Wameibuka watu waongo ati wao ndo walimwaga damu ili Tanganyika upate uhuru
Uhuru wetu haukupiganiwa na yeyote msijipe umuhimu wa bure
Suala la uhuru lilikuwa na suala la muda wa uhuru hata Nyerere angekaa kimya uhuru tungepata tu, hadi Leo hakuna nchi ambayo ni koloni la mzungu
Kutoa Uhuru...
Kuna hotuba moja ambayo Mwalimu Nyerere aliwahi kuitoa akasema mabadiliko ya siasa za dunia na usalama wake unamaanisha kuwa vita vya nchi kwa nchi hasa zile kubwa vitapungua sana hadi kuisha kabisa. Aliongelea hayo katika muktadha wa kuwepo kwa wamiliki wengi wa silaha za nyuklia.
Nyerere...
Mwalimu Julius K. Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanganyika (ambaye Ukumbi alioufanyia mkutano jana Samia S. Hassan, Rais wa sita) alionya kuwa huwezi kuijenga Afrika kwa kuzuia uamsho wake.
Vizazi vipya vitataka mabadiliko kwa sauti, kwa ujasiri, na bila kuomba ruhusa.
Wananchi wanaposimama, si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.