nyerere

  1. U

    JamiiForums Tanzania TANESCO watorosha Maji Bwawa la Nyerere, na kuharibu mazao Kwa mafuriko

    Licha ya TANESCO kutoa adhabu ya kugawa Umeme Kwa wananchi wa TANZANIA na kuendeleza mateso hawajaridhika na sasa wameamua kufungulia maji ya bwawa la nyerere na kusababisha mafuriko makubwa na uharibifu wa mazao katika vijiji vilivyopo mkondo wa chini wa bwawa hilo. Maji hayo ambayo...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Japokuwa Taasisi ya Mwalimu Nyerere imejikita katika biashara ya togwa kwa wazanaki na wasizaki, iwe na utaratibu wa kuwa na kitabu kila mwaka

    Nashauri taasisi hii iwe na kitabu, au tuite journal ambayo itatoka kila mwaka ikiwa na makala(articles) za wanasiasa mbalimbali, wataalamu, wa ndani na nje ya nchi wakijadili mambo ya Tanzania na Afrika kwa ujumla. Imagine umwambie Ziito, Jk, Samia, Museveni, Kagame(japo mtu wa hovyo, ila hata...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA imechukua miaka zaidi ya 30 kujenga ofisi ya makao makuu, SGR au bwawa la Mwalimu Nyerere ingewachukua miaka 300 au 500

    Tangu CHADEMA ianze kupokea ruzuku, imepata zaidi ya bilioni 300, lakini imewachukua miaka 30 kupata jengo la ofisi la ghorofa moja. Je, wakikabidhiwa nchi, wataweza kujenga miradi mikubwa mikubwa ndani ya muda mfupi?
  4. I

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Mwalimu Nyerere na athari kwa vijiji vilivyopo bondeni mwa bwawa hilo

    Juzi niliona katika taarifa ya habari ya ITV wananchi wa vijiji mbalimbali bondeni mwa Bwawa la Mwalimu Nyerere wakihaha kuokoa maisha yao baada ya kuzingirwa na maji ya mto Rufiji. Hii inatokana na kujaa kwa bwawa hivyo kulazimisha kufungulia maji kutoka bwawani. Pia tumekwisha fahamishwa kuwa...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Mwalimu Nyerere lafikia MITA 185 ujazo, lajaa mpaka kikomo

    Bwawa la mwalimu Nyerere limejaa kabisa mpaka kufikia ujazo wa MITA 185 kati ya mita 186 kutoka usawa wa Bahari. Hivyo Serikali kuanzia Muda wowote itaanza kumwaga maji au kufungulia maji Kwa lugha ya Magufuli, hili zoezi linafanyika kwakuwa mitambo ya uzalishaji umeme haijakamilika yote kama...
  6. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere: Naziona Simba na Yanga nusu fainali

    Very interesting, @simbasctanzania vs @alahly hii game ni 50/50 hata Simba akitoa sare Kwa Mkapa bado game itabaki 50/50 na uamuzi utafanywa Cairo kwa mikwaju ya penati. Katika hili naiona bahati kwa Simba japo kuna marekebisho makubwa ya haraka yanatakiwa kufanywa kwa kikosi hiki safu ya...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini yaenzi mchango wa Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere

    Serikali ya Afrika Kusini imeendelea kutambua na kuuenzi mchango wa Baba wa Taifa la Tanzania, Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hiyo na bara la Afrika kwa jumla. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini, Mhe. Candith...
  8. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere afanya tathmini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu, amsifia kwa kuondoa tatizo la umeme, reli ya kisasa

    Msanii Steve Nyerere amefanya tathmini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu kwa kipindi cha miaka mitatu na kumpongeza kwa kufanya mambo makubwa ikiwemo kuondoa tatizo la upatikanaji wa umeme, kuleta reli ya kisasa inayowezesha wananchi kusafiri kwa muda wa saa moja kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Andrew Nyerere: Ukimpa mtoto peremende hakikisha anamsifu na kumshukuru Mungu

    Salaam, Shalom. Mwenyezi Mungu amembariki ndugu Andrew Nyerere BUSARA zilizonifanya kuanzisha Uzi huu wa Leo kuongeza msisitizo juu ya umuhimu wa kuogopa kuchukua sifa za Mungu. Jiulize kwanini wengi wanapoteza ndugu zao waliowategemea bila kujua kuwa sifa mlizokuwa mkimimina kwake ndizo...
  10. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere: Kikwete alinisisitiza nisome, niache kuuza Big G

    "Wakati nipo Form One nilianza biashara ya kuuza Big G pale shopaz ili nimsaidie mama kupata ada. Nilikutana na Jakaya Mrisho Kikwete wakati huo akiwa Waziri wa mambo ya Nje. Mimi nilikuwa mtu wa kuongea sana. Nilikuwa namjua. Siku hiyo alifika na akiwa amevaa kanzu nilikuwa naongea huku nauza...
  11. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ni full of cry babies ndio maana Hayati Mwalimu Nyerere aliachia madaraka na hatukumuelewa Hayati Magufuli pia

    Nchi wamejaa wanachi na viongozi lia lia wanasahau hakuna Maendeleo yanayo weza kuja Jasho , ukiwabana kidogo ili mapato mengi yaingie serikalini huwezi kueleweka , Hayati Benjamin mkapa aliwahi kusema.. "Napenda kuwakumbusha kuwa njia ya maendeleo imejaa jasho na vumbi. Tuzingatie utamaduni...
  12. The best 007

    JamiiForums Tanzania KERO Julius Nyerere International Airport (JNIA) kukosa air condition ni aibu kubwa kwa nchi hii

    Ni zaidi ya wiki sasa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere International Airport air condition hazifanyi kazi, hasa kipindi hiki cha joto kali Dar es Salaam, hivi wahusika wanafikiria nini? Je, ni hujuma? Mama Kizimkazi anajua? Na kama anajua amechukua hatua gani? Na kama hajui kwa...
  13. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Hayati Mwinyi alivyomgomea Mwalimu Nyerere kuondoa jina lake ili Salim awe Rais 1985, ikawa ukombozi kwa Watanzania

    Kama kuna kitu kizuri mzee wetu Ruksa alikifanya ilikuwa kumgomea mwalimu Nyerere kuondoa jina lake kwenye mchakato wa Urais 1985. Ilikuwa hivi: Mwalimu alikuwa na marafiki watatu kule zanzibar, Thabit Kombo, Salim A. Salim na Aboud Jumbe ambaye alikuja kulikoroga wakawa maadui kisa kutaka...
  14. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Mtaa wa Nyerere halmashauri ya mji wa Bunda jifunze kutoka kwa mtendaji wa mtaa wa Nyerere anavyozingatia utawala bora

    Ni ushauri tu kwa ndugu yetu Ndugu Hamis Nyamsenda,Mwenyekiti wa mtaa wa Nyerere ulio katika halmashauri ya mji wa Bunda.Binafsi andiko hili halina maana kwamba tunakuchukia bali tumeamua kufanya haya ili ubadilike na kuwa kiongozi bora. Binafsi umekuwa ukiitisha mikutano ya hadhara ambapo...
  15. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Video: Je, ni kwanini Nape Nnauye alitaka bwawa la Nyerere lizuiwe, ni kweli anapenda sana mazingira?

    Baada ya kusikia kuna Megawatt 235 za bwawa la Nyerere zimeshaamza kuingia kwenye gridi ya taifa, nikakumbuka malalamiko ya MTz mwenzetu akitaka Megawatt 2100 zisiingizwe kwenye gridi kisa kuna miti itakatwa, unabaki unajiuliza , huyu ana akili timamu kweli...
  16. imhotep

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere alikuwa sahihi kuhusu Kongo DR

    Msikilizeni Mwalimu enzi za uhai wake kwenye Issue ya Wanyamulenge ambayo mpaka leo Viongozi wa Kiafrika wamekosa solution zaidi ya kuuwa Watutsi huko Kongo https://youtu.be/lN4xauSXN7o?si=LpHu_r6GTALFayCw
  17. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Mwalimu Nyerere Ahsante magufuli

  18. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Sanamu ya Abraham Lincoln Washington DC na Sanamu ya Julius Nyerere Dodoma

    SANAMU YA ABRAHAM LINCOLN, LINCOLN MEMORIAL WASHINGTON DC NA SANAMU YA JULIUS NYERERE DODOMA Abraham Lincoln sijapatapo kumuona hata siku moja ila katika picha. Lakini huwezi kuniwekea sanamu isiyo yeye nikashindwa kutambua kuwa huyo siye sembuse Mwalimu Julius Nyerere ambae nimemuona maisha...
  19. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna Mtanzania asiyejua sura ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere?

    Hii serikali imelewa na madaraka! Ni viongozi vipofu wasiojua watanzania wanataka nini? Tukiwaambia taifa liko gizani hakuna umeme hawaelewi wala kusikia! Tuliwaambia maisha mitaani ni magumu hela hakuna pamoja na watu kupambana hawaelewi. Wafanyabiashara wakisema dollar hakuna hawaelewi...
  20. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Nyerere alikuwa mkoloni mwenye ngozi nyeusi

    Kupitia matendo na fikra zake Mwalimu Nyerere alikuwa mkoloni wa waziwazi mwenye ngozi nyeusi. Sio kweli kuwa Nyerere alichukizwa na ukoloni ila ukweli ni kwamba Nyerere ukoloni aliupenda sana ila alichukizwa na watu weupe kuwa tendea watu weusi. Nyerere ukoloni aliupenda sana na ndiyo maana...
Back
Top Bottom