nyerere

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere: Chagueni Kiongozi anayechukia rushwa

    Wananchi wanataka Kiongozi anayechukia Rushwa, hata ukimwangalia huyu wewe mwenyewe unaona yupo hivyo. https://youtu.be/hNq1ZG-Ve0k?si=cnOufUfawtuRb2PB
  2. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Madaraka Nyerere na ndugu zake wameshindwa kulitumia vizuri jina la baba yao kujipatia riziki, wapewe mbinu

    Bob Marley tangu afariki imepita miaka zaidi ya 40 lakini familia yake bado wanakula bata kupitia loyarities na JIna la baba yao. Michael Jackson family, Tupac family, Kennedy family pia ni miongoni mwa wanufaika wa jina. Tukija hapa nchini, Karume, Kikwete, Mwinyi. Hawa familia zao vizazi na...
  3. Tarishi

    JamiiForums Tanzania Emma Lwaitama Nyerere: Kisababishi kilichojificha katika sakata la Madaraka na Steve Nyerere?

    Vyombo vya habari vya Tanzania vinaonekana kuifuta mipaka kati ya uandishi wa habari na hadithi za mitaani, kwa ku-copy na ku-paste kila habari wanayopata bila kuchimba zaidi kutafuta ukweli. Drama ya hivi karibuni inayowahusisha Madaraka Nyerere, mtoto wa Baba wa Taifa, na Steve Mengele...
  4. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere anadhani Israel ni Tanzania

    Mwambieni Yericko Nyerere Israeli siyo Tanzania eti wataendelea kumchekea anavyowachambua huku akionyesha dhahili anawatweza. Mwambieni Yericko Nyerere alipo hata wa Israeli wapo, wakimwangalia tu. Mwambieni Yericko Nyerere Israeli hawacheki na huwa si wavumilivu kwa yeyote wanayehisi ni...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: 'Mwalimu, Naomba Usife Kabla Sijafa', Ujumbe wa Kumbukizi ya Kifo cha Nyerere

    https://youtu.be/qcH8Unr_MFo
  6. funaku

    JamiiForums Tanzania Taasisi za kimkakati zilizoasisiwa na Mwalimu Nyerere

    Kwa nini anaitwa baba wa Taifa.... Ni kwa sababu aliweka msingi na mikakati ya Taifa la Tanzania. Kama umepata fursa ya kutembea nchi hii ndio utaelewa Baba wa Taifa alikuwa ni kichwa haswa. Zipo Taasisi za kimkakati alizoasisi na hadi sasa zimebaki kuwa ni muhimili wa Taifa kusonga mbele...
  7. E

    JamiiForums Tanzania TBC mmedanganya. Nyerere hakuwa wa kwanza Afrika kustaafu kwa hiari

    MHESHIMIWA Léopold Sédar Senghor Rais kwa kwanza wa Senegal Alistaafu kwa hiari December 1980 MHESHIMIWA Ahmadou Babatoura Ahidjo Rais wa kwanza wa Cameroon Alistaafu kwa hiari November 1982
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Madaraka Nyerere: Kiongozi anamsifia Nyerere lakini hapokei simu zetu

    Madaraka Nyerere ambaye ni mtoto wa hayati Mwalimu Julius Nyerere amesema anasikitishwa na baadhi ya viongozi wanaokwenda kutembelea mji wa Baba wa Taifa na kutoa kauli mbalimbali za kumsifu mwalimu, lakini wakiondoka hawapokei tena simu zake. Madaraka amesema si kila simu anayopiga ni simu ya...
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Nyerere Day 2025: Mwalimu Anastahili Sifa

    https://youtu.be/GR0DQyhAdHs?si=0zwCfmI-Z0MLnRNp
  10. AFRIKA ACTIVE ACTIONS

    JamiiForums Tanzania Busara za Mwalimu Nyerere katika kudumisha na kulinda umoja wa Afrika

    Januari 1976,huko Ethiopia,Addis Ababa, mkutano maalumu wa wakuu wa nchi za OAU uliitishwa Ili kupata suluhu ya mgogoro mzito na wa kutisha uliotaka kuligawa bara la Afrika vipande vipande. Mgogoro huo ulikuwa baina ya nchi zilizokuwa zinaiunga mkono serikali ya MPLA chini ya Antonio Agostino...
  11. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Siku ya Nyerere ila Sare in picha ya Samia? Hii imeenda

    Hii imenihsngaa na haijawahi kutokea, nahisi huko mbele watoto shule watavaa picha ya samia.
  12. ngara23

    JamiiForums Tanzania Dunia haiko fair, leo mtoto wa Nyerere analalamika watu Serikali hawapokei simu za familia ya Nyerere

    Nilimsikiliza Bwana Madaraka Nyerere akilalamika kwamba muda Huwa awanapiga simu na viongozi wa serikali kama DC, RC, DED, mawaziri n.k hawapokelei simu Hadi analalamika wasanii kutumia jina la baba yake, Mbona familia ya Dangote hawalalamiki Kwa Diamond platnumZ, Mbona familia ya Bakhresa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Siasa za Mwalimu Nyerere za Ujamaa wa kujitegemea na itikadi yake ya Azimio la Arusha ndio chanzo cha umaskini wa Tanzania

    Leo Oktoba 14, 2024 tunakumbuka kifo cha muasisi wa Tanzania Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliyefariki siku na mwezi kama leo mwaka 1999 takribani miaka 25 sasa imepita Baada ya Tanzania kupata uhuru wake mwaka 1961 Mwalimu Nyerere alipata kufanya ziara nchini Marekani (USA) alikutana na Rais...
  14. comte

    JamiiForums Tanzania Marekani iliwafunda Nyerere na watu wengine wa dunia waliokuja kuwa Marais wa nchi zao

    Leo, katika Siku ya kumuenzi Mwl. Nyerere, tunaheshimu urithi wa baba wa taifa la Tanzania na bingwa wa umoja, amani, na elimu duniani kote. Mwalimu Nyerere alishiriki katika Programu ya Uongozi ya Kimataifa ya Marekani mwaka 1961. Programu ambayo ilimpa fursa ya kufahamu mfumo wa kisiasa wa...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Miaka 25 bila Nyerere: Alikuwa Mjamaa. Je, tunamuenzi kwa vitendo na kumuishi, au ni kwa maneno matupu lakini matendo ni tofauti?

    Wanabodi, Leo tunaadhimisha miaka 25 bila ya Baba wa Taifa hili Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, maadhimisho rasmi Silver Jubilee yanaendelea kule kijijini kwake Butiama, swali ni "Kwa Miaka hii 25 Bila Nyerere, kwa vile Nyerere alikuwa mjamaa wa kweli, je sisi Watanzania, tunamuenzi kwa dhati...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwanini uongozi wa Chadema hawajatuma muwakilishi wa kitaifa katika kumbukizi ya kifo cha Hayati Mwalimu Nyerere? Wana chuki naye kiasi hiki

    Chadema haijatuma muwakilishi yoyote wa ngazi ya kitaifa, hii ni chuki iliyokithiri kwa Hayati J. K. Nyerere.
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Hivi leo ni Nyerere day au samia day?

    Naangalia kinachoendelea Mwanza ni kutumtukuza rais aliyepo madarakani na si kumkumbuka Mwalimu Nyerere. Naona pia gharama kubwa itakuwa imetumika kusomba watu, wasanii na viongozi wakubwa wote. Ni kweli wanamuenzi Nyerere au kumtukuza Samia?
  18. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Leo ni kumbukumbu ya miaka 25 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius K Nyerere, unakumbuka nini kuhusu huyu mzee?

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanganyika (baadaye Tanzania), alikuwa kiongozi mwenye ushawishi mkubwa barani Afrika na duniani. Katika kumbukumbu ya miaka 25 ya kifo chake, haya ni mambo 7 muhimu kuhusu Nyerere: 1. Muanzilishi wa Taifa la Tanzania: Nyerere...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere: Wanyonyaji wanachukia sana mabadiliko sababu wananufaika na mifumo iliyopo.

    Nimemsikia mwalimu Nyerere akihutubia katika moja ya hotuba zake anasema kwamba mara nyingi wanyonyaji au tabaka nufaika linachukia sana mabadiliko. Ila wanyonge na walalahoi hawaogopi hiyo maana kwa kuunga mkono mabadiliko wanajaribu bahati yao.
  20. milele amina

    JamiiForums Tanzania Nikiukumbuka Muungano: 14-10-2024: Siwezi kumuenzi Mwalimu Nyerere

    Ninaandika haya kwa hisia za kina kuhusu Muungano wa Tanzania, hasa katika muktadha wa kumuenzi Mwalimu Julius Nyerere. Kutokana na muktadha wa kisiasa na kijamii wa sasa, ninahisi kuwa siwezi kumuenzi Mwalimu Nyerere bila kuangazia ukweli kuhusu Muungano. Muungano huu, ambao ulianzishwa kwa...
Back
Top Bottom