Hawa waasisi wa Taifa hili wamekuja wamekwenda.
Tuna wajibu wa kudumisha amani waliyotuachia.
Kama yupo taahira,punguani,muovu, anayetaka kuvuruga amani ya nchi,bado tuna wajibu wa kudumisha amani ya nchi.
Kwamba yupo punguani alitaka kuleta vurugu isiwe kisingizio cha kuleta maafa.
Leo hii...