nyerere

  1. J

    JamiiForums Tanzania Yeriko Nyerere nadi sera za CHAUMMA achana CHADEMA

    Yeriko Nyerere mwanachama wa zamani wa CHADEMA aliyejiunga CHAUMMA hivi karibuni, amepewa kazi maalum. Kazi hiyo maalum ni kuhakikisha anawadhoofisha kimkakati baadhi ya viongozi wa CHADEMA na Chama chao kwa ujumla. Katika kazi yake hiyo mpya ndani ya CHAUMMA, Yeriko ameelekeza Moja kwa moja...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere: Godbless Lema ametoweka na password za akaunti ya fedha ya tonetone

    Hii ni habari mpya mjini, Mangi kasepa na mzigo wote wa tone tone. Yericko Nyerere aliyekua kada wa CHADEMA kabla ya kuhamia CHAUMMA, kupitia ukurasa wake wa X-Twitter ameandika haya...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Walaka kwa Yericko Nyerere

    Salute,,, Niende kwenye hoja moja moja Kwa moja binafsi mimi Huwa napenda sana ukifuatiria siasa ndani na nje ya Africa Kwa ujumla. Leo nilikuwa napitia kitabu Cha mwandishi wetu mashuhuri mwenye mituzo kedekede nakiri kusema kama kweli hivi vitabu yeye ndio mwandishi halisi basi...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere Hufananii na vitabu unavyosema ni ujasusi na uchochoro wa madaraka

    Usifute kichwa cha habari JF:Yericko Nyerere Hufanani na vitabu unavyo sema ni ujasusi na uchochoro wa madaraka yani wewe ni Mr pimbi wa gazeti la sani. Ukisoma vitabu vyake unaweza kujua huyu jamaa ni jasusi hatari ila ukirudi nyuma ni mr pimbi wa gazeti la sani. Mimi naogopa sana watu...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yericko Nyerere: Siku Lissu akiondoka CHADEMA tutarudi upya, tatizo ni Lissu siyo mtu mwingine

    Wakuu Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere, mwanachama wa chama cha ukombozi wa Umma (CHAUMMA), ameweka wazi kuwa siku Mwenyekiti wa chama hiko Tundu Lissu akiondoka basi yeye atarejea CHADEMA.
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere ahoji, ulishawahi kumuona mke wa Lissu Mahakamani? ushawahi kuona mtoto wa Lissu? kuna kizuizi gani kinawazuia?

    Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere, mwanachama wa kweli wa CHAUMMA, anahoji kwa nini Mke wa Mheshimiwa Lissu haonekani Mahakamani lakini bado tunalazimisha Mheshimiwa Mbowe aonekane Mahakamani.
  7. CONSISTENCY

    JamiiForums Tanzania Nyerere " Ikulu ni mahali patakatifu, Sikuchaguliwa nipageuze kuwa pango la walanguzi"

    Hii kauli ya Mwalimu Nyerere inatafakarisha sana kwa yanayoendelea nchini kwenye huu utawala wa sasa.
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hata kama ni kazi maalumu, hawa Wagombea wanaaibisha mahala patakatifu kama alivyosema Hayati Julius Nyerere

    Ikulu ni mahala patakatifu alisema hayati Julius. Panahitaji kukaliwa na mtu mwenye sifa zinanazofaa. Eti Kunje Ngombale Mwilu!. Luhaga Mpina na Salumu Mwalimu Hata kama ni kazi maalumu. Sio kihivyo.
  9. fact only

    JamiiForums Tanzania Watanzania Kama KARNE hii tupo hivi nasadiki kusema Mwalimu Nyerere(Baba wa Taifa) alipambana Sana

    Ukitazama ujinga tulionao Watanzania wengi katika karne hii utagundua kuwa Mwalimu Nyerere alipambana sana. Hakika Baba wataifa alipata tabu sana kusugua kutu na Msasa kwenye vichwa vya Watanzania. Imagine ujinga wakipindi chake ulikuwaje kama hivi sasa ni 2025 Watanzania karibia wote...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yericko Nyerere: Lissu amepotosha 'No Reforms No Election', hakumwelewa Mbowe

    "Watu wengi wamekuwa wakipotosha No Reforms No Election ya Freeman Mbowe ilikuwaje na No Reforms No Election ya Tundu Lissu ikoje. Wanatumia udhaifu wa wanachama kwamba haya yote yalikuwa yameanzishwa na Mbowe na ndiyo hayahaya, si kweli" Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere Alipewa Uongozi wa Tanganyika Ukumbi wa Arnautoglo April 1953

    MWALIMU NYERERE ALIPEWA UONGOZI WA TANGANYIKA UKUMBI WA ARNAUTOGLO APRIL 1953 Ukumbi wa Arnautoglo na Team ya Heritage Center for Liberation pamoja na TBC tunarekodi historia ya Uchaguzi wa Rais wa TAA kati ya Abdulwahid Sykes na Julius Nyerere 1953. Kiasi cha miaka miwili iliyopita. Picha ya...
  12. Ernst kipire

    JamiiForums Tanzania Nyerere alibainisha maadui wa Taifa letu kuwa ni Ujinga,umaskini na maradhi.Mimi naongeza na uchawi

    Nawasalimia wanajamvi Kwa jina la Mungu wetu mkuu(Yahweh). Iliwahi nikuliwa juu ya kauli ya mwasisi wa Taifa letu hayati Julious kambarage Nyerere,ambapo alisema,tukitaka kupiga hatua kama Taifa tunatakiwa Kuwa piga vita maadui zetu watatu (3) ambao ni Ujinga,maradhi na umaskini. Leo...
  13. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Urafiki wa Julius Nyerere na Zuberi Mtemvu

    URAFIKI WA JULIUS NYERERE NA ZUBERI MTEMVU Kuna mambo mengi nimeyasikia udogoni kuhusu wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika ambayo kwa wakati ule sikujua kuwa ni mambo yatakayokuja kuwa muhimu na watu watapenda kuyafahamu kwa kina. Katika video moja kuhusu nguvu ya TANU na jinsi chama...
  14. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yerricho Nyerere enzi hizo: Chama namba 1 nchini ni CHADEMA huwezi kukiangusha

    "Hakuna anayeweza kukiua Chadema, Hakuna chief Odema chama cha upinzani zaidi ya Chadema ununu usinune, upende usipende, vingine vyote ni Vyama vya kwenye Flash" YERICKO NYERERE - enzi zake akiwa CHADEMA
  15. B

    JamiiForums Tanzania Hakuna kuhama mtu chama Akishindwa uchaguzi- Yerico Nyerere

    Kweli nimeamini mwanasiasa akikuambia sasa hivi ni usiku toka nje ukaangalie kama kweli kiza kimetanda Aliyekuwa kada wa CHADEMA Yeriko Nyerere kipindi cha uchanguzi wa ndani wa chama chake hicho cha awali kutafuta mwenyekiti wa chama alikuwa upande wa Freeman Alikuwa na kauli mbiu yake...
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yeriko Nyerere: Nimejiridhisha asilimia 100% CHADEMA haitainuka tena, msahau

    Wakuu, Huyu hapa kada wa CHADEMA aliyehamia CHAUMMA leo, anadai hakukuwa na uhuru wa kutoa mawazo na anasema CHADEMA haitainuka tena kama ilivyokufa NCCR Mageuzi na CUF
  17. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Polepole, Mpina na Hayati Magufuli ni kundi la itikadi ya Mwalimu Julius Nyerere

    Hawa ni wale wanaotembea na kufuata itikadi ya Mwalimu Julius Nyerere. Hawa hawawezi kupendwa na kundi la makabila, mabepari, na wezi wa mali ya umma. Kundi hili liliweza kutawala 2015 hadi 2020 baada ya kundi la makabila kusinzia, ila hawatasinzia tena.
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya kujificha ficha sana hatimaye Yericko Nyerere ajiunga CHAUMMA

    https://www.youtube.com/watch?v=d650ZU07JKQ Ameambatana na James Mbowe Tunawatakia kila la heri kwenye Usaliti wao huo na Tunamuomba Mungu awalipe kwa kadiri ya Haki yao, Amina.
  19. H

    JamiiForums Tanzania Polepole akumbusha Wosia wa Hayati Nyerere Akiwa Hospitalini, Kuwa Tusikubali Nchi Yetu Itekwe, Tutajuta. Nchi Inaelekea Kutekwa

    Polepole, leo kwenye wasilisho lake live, ameeleza mambo mengi mazito juu ya hatari ambayo Taifa linapitia. Katika kufikisha ujumbe wake, ameelezea majadiliano mbalimbali aliyoyafanya na watu mbalimbali wenye uzalendo wa hali ya juu kama Mzee Warioba, Butiku na hayati Mkapa hapo mwaka 2015. Na...
  20. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hali ya maisha ilikuwaje wakati wa ujamaa wa Nyerere?

    Ukisoma stori za wakati wa ujamaa kwenye nchi nyingine kama China unakutana na habari za kutisha sana. Shida kubwa ilikuwa njaa isiyoisha, kukamatwa na kuuawa na mateso mengi mengi. Humu jukwaani wapo wengi wakiishi wakati wa Ujamaa wa Nyerere. Tusimulieni hali ilikuwaje Ili tusije poteza...
Back
Top Bottom