nyerere

  1. E

    JamiiForums Tanzania Andrew Nyerere ni mgonjwa wa afya ya akili, asaidiwe kwa maombi

    ANDREW NYERERE NI MGONJWA WA AFYA YA AKILI , ASAIDIWE MAOMBI. Familia ya mwalimu Nyerere ilipata bahati mbaya sana na haikuwa bahati kwa huyu mtoto wake Andrew Nyerere ambaye ni mtoto mkubwa wa Baba wa Taifa ana matatizo ya akili na wendawazimu ambao kwa kweli anatakiwa apewe matibabu na...
  2. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Nyerere road inashangaza kwa haya mabango

    Yani kilichofanyika ni kama kumlazimisha mtoto akubali kua mama wa kambo ndio mama yake mzazi hali yakua mtoto anamjua aliyemzaa ni nani. Yani ni kama umemfunga mpinzani wako mikono halafu unasubiri ipigwe kengele utangzwe mshindi. Sijawahi kuona upuuzi kama huu hapa duniani.
  3. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Misholi aliona mbali sana kuimba huu Wimbo "bora hayati Nyerere"

    Huu wimbo ulitoka kuelekea kipindi cha uchaguzi wa J.K Kikwete mwaka 2004 na hayo aliyoyaimba hayakutokea. Ni miaka takribani 22 toka wimbo utoke na leo yote yaliyoimbwa yanaelekea kuwa dhahiri shahiri. Mzee wa watu alifanya unabii bila hata kujua utakuja kutokea lini na leo tunayaona...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mtwara ilipaswa kuwa Business Center nchi hii na je kilichomfanya ndugu Nyerere aiondoe Reli ya Mtwara ni nini?

    Naamini hilo bila shaka Mtwara ndiyo ilipaswa kuwa makao makuu ya nchi hii na business center kwa nchi hii ila tu uroho,ubinafsi na chuki ya viongozi wa nchii hii kutokana na ukanda wao tu hivi kitu gani ambacho kwenye nchii hii Mtwara hakuna madini mtwara yapo,eneo la Bahari lenye kina kirefu...
  5. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Proffesa Kabudi na siasa za maji ya kihaya, unamfananisha Samia na Nyerere, Hayati Magufuli na Mungu aise

    Ukinzisha biashara ya kuuza maji na kuyaita uhayani water utauza sana Najiuliza Proffesa Kabudi alirogwa na nani? Yaani anamfananisha Samia na Nyerere kama ulivyomfananisha Magu na Mungu na baadae Mungu kukuonesha hafananishwi akamtwaa.
  6. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Ni lini Pro Kabudi utaacha kutumia jina Mwalimu Nyerere kwa maslahi yako Binafsi?

    Tabia ya Prof Kabudi kutumia jina Mwalimu Nyerere kwa maslahi yake binafsi limekua kubwa.
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Kabudi: Samia ametimiza aliyoshindwa Mwalimu Nyerere

    "Dkt. Samia Suluhu Hassan ametimiza mambo makubwa ambayo Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere aliyatamani lakini hakuweza kuyafanya." - Profesa Palamagamba Kabudi kwenye kampeni za CCM mkoani Mbeya.
  8. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Hivi ilikuaje mwl Nyerere hakumpa heshima hii Mugabe?

    Habari wanaJF wenzang Mwl Julius K. Nyerere aliwapenda na kuwaheshimu wapigania Uhuru wote wa Bara letu la Africa. Katika kuonesha heshima na upendo huo kwao, mwl Nyerere aliamua baadhi ya barabara na mitaa ya nchi yetu kuipa majina ya wapigania Uhuru hao wa nchi zetu za Africa. Hapo chini ni...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nyerere Square Dodoma

    eneo hili ni mojawapo ya mipango bora kabisa ya iliyokuwa mamlaka ya uendelezaji mji. CDA. wali plan vizur sana miaka hio ya 1970s kwa kuweka bustan ya kupumzika. jembe mwamba alivokuja akapaboresha sana sambamba na kuhamishia makao makuu kwa hali ilivo sasa ni kama laiti pangetengewa hata 1% tu...
  10. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kigamboni tunaenda na Yericko Nyerere

    Tunahitaji vijana wenye uthubutu na wenye utambuzi. Yericko Nyerere Anatosha
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu la mwl Nyerere kuhusu sifa za nchi corrupt na viongozi wake

    Sifa ya Serikali corrupt, sio maneno yangu nimecopy and paste kwa mwl mzee wetu Julius Nyerere Enzi za uhai wake but still Bado anaishi hata sas 1: haikusanyi Kodi 2: inamzigo wa madeni (i.e deni la taifa) 3: inatumwa na wenye mali 4: inawafanyia kazi wenye mali 5: inafukuzana na vijitu...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere: CCM inatumia sheria kwasasa haikubaliki

    Hali ya Tanzania ya sasa ni hii hapa Nyerere quoted 😰😰😰🤝 https://www.facebook.com/share/v/17PEnm9VsA/
  13. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Nyerere: Ungekuwa hai, ungeshashitakiwa kwa uhaini.

    https://vm.tiktok.com/ZMAYcHd7T/
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Maaskofu walikuwa wapi wakati J. K. Nyerere mara kadhaa baada ya kustaafu alikuwa akishauri serikali ya Mwinyi? Warioba (mstaafu)je?

    Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican? Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo? Ni udini ?
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Nyerere: Tunapoongea kuhusu Tanzania na uhuru wake

    Inavyoonekana ni kwamba washirika wakubwa wa Mwalimu Nyerere katika harakati za kudai uhuru wa nchi hii walikuwa watu waliovaa balaghashia. Huenda hii ndiyo sababu ya Mwalimu Nyerere kuzoea kuvaa kofia aina hiyo muda mwingi. Pia haishangazi kuona Mwalimu Nyerere kuamua Kiswahili kiwe lugha ya...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Nyerere aliona mbali, alimsisitizia sana Mkapa ili JK asiwe Rais wa Tanzania, na Mkapa alipokumbushwa akajibu kila mtu ana makosa

    Ninapoongelea nguvu ya Mtandao, au wengine wakiuongelea, watu wengi wanachukulia kama mzaha. Sasa ngoja niwape habari za ndani kidogo. NI kwamba, kabla hajafa, Nyerere aliweka msimamo thabiti kwamba Kikwete hakuwa kiongozi aliefaa kuwa raisi wa Tanzania. Ilionekana wazi kwa Kikwete na kundi...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nyerere Road (Barabara ya mjini -Airport ) usiku huu imechangamka. Gari heavy za polisi zinafanya movement isiyo kawaida

    Haya wazee wa CC timu mtueleze kuna nini leo. Wazee wa CCM mikataba ya Kimataifa imewashinda na hii convoy ya Nyerere road iwashinde? Kunani leo? Maana hizi gari za heavy duty mara nyingi tunaziona moja moja tu lakini leo nne tano zimeongozana.
  18. R

    JamiiForums Tanzania Nyerere: Chama kinacholindwa/kukubalika kwake kunategemea sheria/dola, si kukubalika na Wananchi. Kijitazame sana

    Kutoka X: Wenye njaa Sasa pale Lumumba wanavyo kasirika sasa.wanajisahaulisha kuwa hii NCHi ni ya vyama vingi Sasa hawataki. Mwl. Nyerere alionaga mbali Sana alijua hawa MaCCM HOFU NDANI YAO watasumbua waTanganyika Naiona CCM ikipasuka kama KANU. Na mpasuko huo utaleta tumaini jipya kwa...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Inawezakana kuurudisha upendo wa miaka ya Nyerere?

    Miaka ya 1970 - 1990. Enzi za utawala wa Nyerere hadi alipoachia 1985 hadi awamu ya kwanza ya utawala wa awamu ya pili, wa Rais Mwinyi, Tanzania ilikuwa, moja imara, na yenye upendo mkubwa. Kila mtu alijivunia utanzania, uzalendo, na kuona fahari kuitwa Mtanzania. Nitatoa mifano miwili ya...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Vigezo na masharti ya Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu vyawekwa hadharani

    Mwenyekit wa kamati ya Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu, Prof. Penina Mlama, ametangaza vigezo vya kushiriki katika duru ya nne ya tuzo hiyo ya ya mwaka 2025/2026 yenye lengo la kukuza lugha ya Kiswahili na kuthamini mchango wa Mwalimu Nyerere. Ameeleza hayo kwenye kikao na...
Back
Top Bottom