Kuna watu wanamlaumu Nyerere kwamba alijilimbikizia madaraka, kujiweka kama mtawala wa kiimla na hatimaye kutuachia mfumo huo mpaka sasa ambao tunahangaika nao. Ni kweli alifanya hivyo lakini karibia mataifa yote hadi yale yaliyoendelea sana viongozi wake wa mwanzo(founders) walifanya hivyo pia...
Ilipofika Agosti 1 mwaka 1982, alfajiri ilianza kwa kimya kilichojaa tafakari ya taifa. Lakini katika kiza cha mapambazuko, lilizuka tone la radi la kisiasa, jaribio la kumpindua Rais Daniel arap Moi.
Kiongozi wa mpango huu wa kisasi hakuwa jenerali wala kamanda wa juu, bali askari wa hadhi ya...
Msaani Dudubaya amesemea kwamba Katiba ya nchi imeruhusu mtu akijua kusoma na kuandika anaruhusia kugombea ubunge kitu ambacho kimezalisha wabunge wasiojuwa sheria na katiba.
Ukijua kusoma na kuandika darasa la saba uwe ubunge kwa dunia ya sasa kwa sababu ubunge umekuwa ni biashara, jitu...
Salaam!
Nchi hii wamewahi kutokea viongozi majasiri ambao Katika kusimamia hoja huwa hawageuki nyuma,
Sasa huyu ndugu Gwajima kwa hoja zile alizotia kwa Press,
Ujasiri wa kuingia bungeni kuwakabilli kautoa wapi kama hana Roho ya Simba?
Kwa tulipofikia,
Huyu ndiye kiongozi pekee ndani ya...
Kutoka kwa mwanajamiforums Shwari ambaye aliweka nakala ya kitabu chenye kuelezea mikasa ya hawa wapigania uhuru na harakati za ukombozi wa Africa.
Nkrumah alihisi kuwa alikuwa amemtumia Sekou Toure. Lakini alikatishwa tamaa na Nyerere zaidi ya alivyokuwa na Sekou Toure. Alimwona Nyerere...
Wakuu Hii ni sehemu ya hotuba ya baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere aliyoitoa siku ya wafanyakazi Duniani Mei1, 1995 Mjini Mbeya. Pengine angekuwepo leo angesema 'No reforms No election'
===
Hoja ya kuruhusu wagombea binafsi
Nataka kusema kauli ya mwisho kuhusu sheria ya uchaguzi ilivyo sasa...
Mchungaji wa Kanisa la Huduma ya Kristo lililopo Mtaa wa FFU, Kata ya Murieti, Steven Jacob Gumbo (35) ambaye iliripotiwa ametekwa na ‘Watu Wasiojulikana’ Mei 16, 2025 amezungumza na Wanahabri na kueleza kuwa Watu waliomchukua walijitambulisha kuwa ni Askari Polisi na wanamhitaji kwa ajili ya...
Kiongozi wa upinzani wa Chadema, Amani Golugwa, alikamatwa akiwa njiani kuelekea Brussels kuhudhuria mkutano wa kisiasa. Kukamatwa huko ni tukio la hivi karibuni linalohusisha wanachama wa CHADEMA, ambao wanailaumu serikali kwa kutumia mbinu za ukandamizaji.
"Kukamatwa kwa Amani Golugwa, Naibu...
Kuna watu wanasema Nyerere aliacha viwanda ukweli ni kwamba viwanda vililetwa na waziri wake genius Cleopa David Msuya. Yaani Msuya ndiye aliyekuwa waziri ambaye ni strategist zaidi ya uwana siasa
Siku moja tusikie mwigulu nchemba ni rais wa Zanzibar au tumuone mnyakyusa kutoka mbeya akiiongoza ikulu ya Zanzibar ! Kwa Nini mngoni ,mmatumbi na mndengeleko wasiwe na sifa ya kuongoza zanzibar ? Ila wazanzibar wanakuja kutawala Tanganyika? Kwanini muungano wetu upo kama msaafu Kila anaejaribu...
afrika
bara
hoja
kusikia
mikwara
mpinzani
mtanganyika
nyerere
polisi
rais
rais wa tanzania
rais wa zanzibar
siasa
siasa za afrika
tanzania
tanzania bara
tatizo
usa
utamu
zanzibar
Sijui ni kwanini lkn siku zote niliamini kabisa kwamba Mwalimu Nyerere alikuwa kiumri mkubwa sana umkilinganisha na Mzee Mwinyi, kumbe tofauti ya umri wao ilikuwa ni ndogo sana, Mwalimu mwaka wa kuzaliwa 1922 vs Mwinyi 1925
Mama Maria Nyerere amelazwa hospitali kwa zaidi ya wiki moja sasa. Umri wake ni 96.
Kwa hiyo tunamtakia speedy recovery. Naona it is a big secret. Amelazwa muda mrefu lakini habari nimezipata sasa hivi.
Pia soma > Mama Maria Nyerere atoka hospitali baada ya kulazwa siku kumi
Ni hatari sana kuchanganya dini na siasa - Steve Nyerere
Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao Steve Nyerere amekemea vikali tabia ya viongozi wa dini ambao wanaacha kuwaombea waumini wao na kujikita na masuala ya siasa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
Kazi yoyote ya mikono ya binadamu itakuwa na makosa.
Kazi iliyokamilika ni yake Allah peke yake.
Yameonekana makosa katika kitabu cha Mwalimu Nyerere.
Prof. Kabudi ana haya ya kusema kuhusu makosa hayo:
"Mzee wa Atikali" (MwA) amepigiwa simu na Mhe Prof. Palamagamba Kabudi. Baada ya kuongea...
MAKTABA IMEPOKEA: MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE PHOTOGRAPHIC JOURNEY
Rafiki yangu ndugu Ali Sultan mmoja wa watayarishaji wa kitabu hiki kikubwa cha Mwalimu jana alikuwa Ikulu Dodoma kwa uzinduzi wa kitabu hiki.
Leo kafika Maktaba kunikabidhi kitabu.
Kiswahili hakina msamiati wa kueleza...
Leo April 21 ni birthday ya Magige Nyerere mtoto wa tatu Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere.
Magige yupo Dar es Salaam sasa hivi.
Ni graduate wa UDSM ambapo alipata shahada ya Bsc. Electrical Engineering.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.