BI. MTUMWA KITETE MAMA MUUZA UJI NA VITUMBUA MCHANGO WAKE SAFARI YA NYERERE UNO 1955
Kuna jambo moja nimewahi kuelezwa na Bi. Mwamvua bint Mrisho maarufu kwa jina la Mama Daisy.
Wakati huu alikuwa akiishi Ali Hassan Mwinyi Road.
Ningependa ulizingatie na ufanye utafiti zaidi.
Bi Mwamvua...
JULIUS NYERERE NA ALI MWINYI TAMBWE, AL JAMIATUL ISLAMIYYA FI TANGANYIKA (UMOJA WA WAISLAM WA TANGANYIKA) SAFARI YA KWANZA UNO 1955
Usiku uliopita kijana mmoja jina lake Victor Madaha Mtangazaji wa Bongo Plus TV kanipigia simu kaniomba afike Maktaba siku ya pili tufanya kipindi kuhusu vijana na...
GT
Kwa hali ilivyo na mambo yanavyokwenda ni sahihi kabisa Nyerere kuitwa baba wa Taifa alikuwa na maono ndiyo maana hotuba zake zote utazani kaziongea hivi karibuni na zitaendelea kushangaza wengi.
Marais wengi wamepita lakini hakuna mwenye wosia unaoshi kama Mwl Nyerere huyu mzee alikuwa...
Habari !
Mwalimu Nyerere hakika wewe bado ni Kiongozi wa mfano na utaendelea kuwa mfano bora vizazi kwa vizazi.
Binafsi nitakukumbuka mara ya mwisho kukuona katika maonesho ya Sabasaba Dar es Salaam mnamo mwaka 1999 kabla ya umauti wako Babu Nyerere. Ulikuwa mtu poa sana na uliijulia sana hii...
MWENYEKITI wa zamani wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia, amevunja ukimya baada ya kusema kuwa anashangazwa na kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA taifa Tundu Antipas Lissu.
“Upinzani wa fikra sio uadui. Kuwepo kwa mitazamo tofauti si kosa, bali ni utajiri wa mawazo unaopaswa...
Wakuu mpo vizuri?
Kuna kauli nyingi zimewahi kutolewa kitambo na wanasiasa katika nyakati mbalimbali ambazo baadhi zimekuwa zikijirudia lakini pia nyingine zimetekelezwa kama walivyoziongea hata kama baadhi au wengi wetu yuliona ni za kipuuzi.
Tutumie uzi huu kutupia kauli hizo, tukiwa na...
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alijulikana na kuheshimika kwa tabia yake ya kuji utu.
Mwalimu aliheshimu utu wa binadamu wengine kwa kiwango cha Hali ya juu Sana. Hapa anatoa hoja muhimu Sana.
Kambarage akizungumzia utu.
Anaye Pambana na Samia, Apambane na Kivuli cha Magufuli – Ni Kama Walivyopambana na Magufuli Walivyokuwa Wanapambana na Nyerere
Na Costantine V. Magavilla
Katika kuendeleza mada ya janga la upumbavu, nimesukumwa, kwa sababu ya fursa iliyo mbele yetu – fursa ya kipekee ya kuunganisha juhudi za...
Baba wa Taifa la Tanzania, aliweka msingi thabiti wa mchakato wa uchaguzi wa mgombea wa urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
msingi wake uliwekwa na Nyerere wakati wa uongozi wake.
Mwalimu Nyerere, kama mwanzilishi wa TANU (ambayo baadaye ilijumuika na ASP na kuwa CCM mwaka 1977)...
Sio tu katika katiba ya nchi ambapo Mwl Nyerere aliujenga urais katika hadhi ya ufalme bali pia hata katika maongezi yake na utamaduni ni hivyo pia. Nyerere aliwajengea raia mtizamo kwamba watu kutaka kuwa rais au kuwa na ndoto hizo ni kama aina fulani ya dhambi hivi, kwamba urais huwa unaenda...
If you are bold enough and you think you have a mass support jitokeze hadharani na ukosoe kwa haki na uwazi.
Mara zote baba wa Taifa Alipokuwa anakosoa hakuwahi kujificha mafichoni hii ikimaanisha alikosoa kwa dhati na kweli.
Tupunguze maigizo.
N.B Hata John Nchimbi alikosoa CCM akiwa katika...
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amesema ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakuna utamaduni wa kuvuana nguo hadharani, bali kuna utamaduni wa kukosoana kwa lengo la kujenga chama.
"Tunakosoana kwenye vikao" haipaswi kutumiwa kuzuia wengine kutoa maoni yao waziwazi...
Hili ni swali mtu yeyote mwenye
Majibu achangie
Imagination zangu
Baada ya uhuru wa Tanzania watu wengi hawakuwa na elimu wala shughuli yeyote ya kiuchumi, ujinga na umasikini ulikuwa kwa asilimia 99%
Nyerere akaona kuwaruhusu watu hawa kuangalia Tv ni kulizika Taifa mchana kweupe
Akaamua...
Muktasari:
Suala hilo la mwisho ndio linalozungumzwa sana katika kipindi hiki ambacho mchakato wa Katiba umekwama na hakuna dalili za kuendelea huku wanasiasa wakilalamika kuwa kuna uendeshaji nchi usiozingatia maridhiano hayo ya wanajamii.
Kuna wakati alitumia hafla kuzungumzia Muungano...
Wanabodi
Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ni aibu kwa nchi tajiri wa rasilimali kama Tanzania kuwa beggers!, ombaomba!.
Tuliambiwa tutafanya uchaguzi mkuu wetu kwa fedha za ndani, bila kutegemea fedha za wafadhili!, leo mabeberu wa ulaya EU, wamekutana na...
Sensa ya watu iliyofanywa na serikali hivi karibuni, ilibainisha kuwa, nchi yetu kwa sasa ina idadi ya watu zaidi ya milioni 60
Tuna zaidi ya miaka 20 sasa tangu baba wa Taifa letu Tanzania Mwl JK nyerere atutoke Duniani
Mwalimu Nyerere, amekuwa Rais wa kwanza katika nchi yetu huku kukiwepo...
Wanabodi,
Huu ni uzi wa swali, Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, hata kujiuzulu kwake ni kwa kung'atuka kama Nyerere!, kwenye sababu zake kumi za kungatuka, kwa sisi wa jicho la tatu, tunajua amesema ukweli nusu!, ndio maana bado yuko mguu mmoja ndani, akisema atabaki kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.