Habarini members ,poleni na swaumu na qaresma , allah awafanikishe kipind hiki kitakatifu.
Back to topic , baada ya kufanya utafiti nimegundua biashara ya kuuza nyama ya ng'ombe inaeza nipunguzia maumivu ya Tozo , ila bahati mbaya sina uzoefu na hii biashara hivyo nlihitaji msaada wenu hasa...