Naomba kufahamishwa namna ya kurekebisha michango yangu NSSF

mkaa mweusi

Member
Jan 14, 2011
69
26
Ndugu wanajamiiforum, baada ya kufuatilia michango yangu ya NSSF nimekuta michango ya mwaka mzima haionekani katika statement yangu. Nimefuatilia kwa mwajiri wangu na amenijazia form yenye list za michango hizo.

Kwa sasa nipo Mwanza na mwajiri Alikua a anapeleka michango katika ofisi za NSSF Kinondoni. Je naweza mtuma mtu kunipelekea form hiyo ya kurekebisha michango katika ofisi za kinondoni?

Na je kwa waliowahi kurekebishiwa michango yao huwa inachukua mda gani baada ya kuwasilisha Mpaka michango kuwa sawa katika Statement?
 
Mkuu hilo swala linachukua mda unatakiwa mda mwingi uwe unafuatilia mwenyewe
 
Daah, hii inakuwa ni changamoto kubwa sana. Hususan kwa mtu ambae yupo mkoa tofauti. Nashukuru mkuu #pwilo. Maana madai hayajalipwa mpaka sasa kutokana na michango kutokamilika
 
Tuma mtu akakuchukulie mawasiliano ya mmoja was afisa Hapo nssf kinondoni uwe una wasiliana nae akurekebishie
 
Ndugu wanajamiiforum, baada ya kufuatilia michango yangu ya NSSF nimekuta michango ya mwaka mzima haionekani katika statement yangu. Nimefuatilia kwa mwajiri wangu na amenijazia form yenye list za michango hizo.

Kwa sasa nipo Mwanza na mwajiri Alikua a anapeleka michango katika ofisi za NSSF Kinondoni. Je naweza mtuma mtu kunipelekea form hiyo ya kurekebisha michango katika ofisi za kinondoni?

Na je kwa waliowahi kurekebishiwa michango yao huwa inachukua mda gani baada ya kuwasilisha Mpaka michango kuwa sawa katika Statement?
Risiti za bank za malipo zipo?
 
Tuma mtu akakuchukulie mawasiliano ya mmoja was afisa Hapo nssf kinondoni uwe una wasiliana nae akurekebishi
Mkuu hilo swala linachukua mda unatakiwa mda mwingi uwe unafuatilia mwenyewe

Tuma mtu akakuchukulie mawasiliano ya mmoja was afisa Hapo nssf kinondoni uwe una wasiliana nae akurekebishie
Tuma mtu akakuchukulie mawasiliano ya mmoja was afisa Hapo nssf kinondoni uwe una wasiliana nae akurekebishie
Mkuu nashukuru kwa ushauri huu. Ntaufanyia kazi
 
Nimegundua kuwa mwajiri wangu hajapeleka michango yangu katika mfuko wa Jamii niliyojiunga kwa takribani miaka miwili!!
Sasa ninataka kuwafikisha mahakamani mwajiri pamoja na huo mfuko maana nahisi kama Kuna mazingira ya mrungula
 
Ndugu wanajamiiforum, baada ya kufuatilia michango yangu ya NSSF nimekuta michango ya mwaka mzima haionekani katika statement yangu. Nimefuatilia kwa mwajiri wangu na amenijazia form yenye list za michango hizo.

Kwa sasa nipo Mwanza na mwajiri Alikua a anapeleka michango katika ofisi za NSSF Kinondoni. Je naweza mtuma mtu kunipelekea form hiyo ya kurekebisha michango katika ofisi za kinondoni?

Na je kwa waliowahi kurekebishiwa michango yao huwa inachukua mda gani baada ya kuwasilisha Mpaka michango kuwa sawa katika Statement?
Sasa hivi haya mashirika yanafanya kazi kwa njia ya mtandao. Nenda kwanza hapo NSSF Mwanza, waelezee watakupa mwanga.
 
Kwa Kinondoni baada ya kupeleka form ya kurekebisha michango, wasiliana na Dickson - Data entry officer simu yake ni 0764595471. (Ubungo Plaza). Alafu leta mrejesho kwa faida ya wengine.
Mibas, nashukuru sana, kwa msaada wako. Hakika ntaleta ,rejesho hivi mapema
 
Nimegundua kuwa mwajiri wangu hajapeleka michango yangu katika mfuko wa Jamii niliyojiunga kwa takribani miaka miwili!!
Sasa ninataka kuwafikisha mahakamani mwajiri pamoja na huo mfuko maana nahisi kama Kuna mazingira ya mrungula
Yaani hii kitu changamoto yake inakuja pale utakapotaka mafao yako.
 
Back
Top Bottom