njombe

  1. Jidu La Mabambasi

    Mtaka kwenda kuwa RC Njombe ni kumpunguza spidi?

    Mwanasiasa mteuliwa kwa kawaida hana kauli kwa sehemu ya kutumikia. RC Mtaka nimekuwa namfuatilia toka akiwa Sumiyu. Ni kijana anatumia utu na akili katika maamuzi yake. Miaka ya Mwendazake wakati ma RC wengine wakishindana kuwaweka ndani viongozi wenzao wa ngazi za chini, yeye alikiri kukataa...
  2. Roving Journalist

    NJOMBE: Watu wanne wajeruhiwa baada ya simu kulipuka ndani ya Bajaji, Julai 24, 2022

    Watu wane wamenusurika kifo baada ya kutokea mlipuko mkubwa uliyosababishwa na simu ndani ya bajaji yenye nambari za usajili MC 567C JK-TVC katika barabara ya Njombe -Songea . Akizungumzia tukio hilo kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe Hamis Issa amesema mkasa wa betri kulipuka umeleta...
  3. JanguKamaJangu

    Tabia ya wazazi kutelekeza watoto kwa babu, bibi yashika kasi Mkoani Njombe

    Tabia ya Watoto kutelekezwa kwa babu na bibi bila kujaliwa na wazazi wao imeonekana kushamiri Mkoani Njombe. Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto, Willfred Willa anasema watoto wengi wanaopata madhara ni wale ambao wanalelewa na bibi na babu zao huku wazazi wengi wakiwa na migogoro, majukumu...
  4. Lady Whistledown

    TMA: Viwango vya Joto Njombe, Iringa na Mbeya kufikia 4°C

    Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), imesema kwamba hali ya baridi itaendelea kuwepo ambapo katika mikoa ya Njombe, Iringa na Mbeya baridi inatarajiwa kufikia viwango vya chini vya nyuzi joto 4°C. Akizungumza hii leo jijini Dar es Salaam, Mtaalam wa uchambuzi wa hali...
  5. JanguKamaJangu

    Chanzo moto ulioteketeza maduka Njombe ni jiko la mkaa, walitumia kupunguza baridi

    Baada ya moto kuteketeza maduka Matano na ghala za kuhifadhia bidhaa za maduka yaliyopo katikati ya Mji wa Njombe imebainika kuwa chanzo ni moto uliokuwa katika jiko la mkaa ambao ulitumika kwa ajili ya kupunguza baridi. Inspekta Lotma Dauda ambaye ni Afisa Oparesheni la Zimamoto na Uokoaji...
  6. JanguKamaJangu

    Mamlaka ya Hali ya Hewa yafafanua baridi la Njombe: Kinachotokea ni Sakitu siyo theluji

    Kutokana na baridi na kuonekana vitu kama barafu kwa siku za karibuni maeneo ya Njombe hali ambayo imesababisha watu wengi wawe na maswali tofauti kimefafanuliwa. Mamlaka Hali ya Hewa Nchini (TMA) imefafanua kuwa kinachotokea maeneo ya Njombe kwa siku kadhaa ni kutokea kwa Sakitu, ambapo hiyo...
  7. Analogia Malenga

    Njombe: Wananchi washauriwa kutumia baridi kama Utalii wa ndani

    Kiongozi mmoja sijamkata jina na cheo huko Njombe ameongea (nimemuona kwenye taarifa ya habari ITV) akiwashauri wananchi kutumia baridi kama kivutio cha utalii wa ndani. Baridi linaloendelea limetajwa kuathiri afya za watu na mazao. Nimonia kwa watu na ukungu kwa mazao ni kati ya magonjwa...
  8. Lady Whistledown

    Watatu wahukumiwa kunyongwa kwa Mauaji Njombe

    Mahakama Kuu Kanda ya Iringa iliyokaa kikao chake katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Njombe imewahukumu washtakiwa watatu Elias Jackson Mwenda (31), Hussein Khamis (31) na Orestus Mbawala (51) kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya mauaji ya James Kaengesa mkazi wa Makambako...
  9. GENTAMYCINE

    Huu utaratibu wa 'Makahaba' wa Mkoani Njombe nimeupenda na nashauri 'Uenziwe' nchi nzima

    Yaani wanakaa ( wanatega ) maeneo ya Lodge / Guest kisha wanakuangalia kama Mwanaume umeingia na Mkeo au Mchumba au wanaenda kwa Mhudumu wa zamu kama umeingia peke yako kisha kwa Unyenyekevu Uliotukuka ule wa Kihehe, Kibena na Kiwanji wanakuja Kukugongea Chumbani Kwako na ukifungua tu Mlango...
  10. jokotinda_Jr

    Wenyeji wa Njombe mjini lodge gani nzuri ya kufikia

    Kwa wenyeji wa njombe ni Lodge gani nzuri naweza fikia pia na leta shukrani zangu kwa yule ndugu wa JF aliye nipa namba za watu wa ABC VIP class hakika ni usafiri mzuri 🙏🙏
  11. jokotinda_Jr

    Msaada wa usafiri mzuri toka Dar kwenda Njombe

    Natarajia kwenda njombe wana ndugu Basi gani zuri naweza tumia natanguliza shukurani naishi dar es salaam
  12. Jamii Opportunities

    Temporary data clerk at COCODA

    Community Concern of Orphans and Development Association (COCODA) is a non-governmental organization established in 2000. COCODA’s establishment as its name suggests, resulted from intensifying concern among community members in Njombe over the surging number of orphans, mainly consequently to...
  13. Faana

    Njombe: Lori na Coaster vyagongana

    Ajali mbaya imetokea jioni ya leo 24.04.2022 majira ya saa 11.30+ ikihusisha coaster na lori la makaa ya mawe, watu kadhaa wanatajwa kupoteza maisha, taarifa zaidi zitatolewa na mamlaka husika. ==== Zaidi ya Watu watatu wanahofiwa kufariki baada ya gari aina ya coster iliyobeba vijana wa kwaya...
  14. T

    Nahitaji msaada kwa yeyote anayetoka mkoa wa njombe na iringa

    Natarajia mko wazima wakuu. Naomba musaada, kama kuna mtu ambae ametoka mkoa wa njombe na iringa tafadhali niadikia,niko na mambo muhimu sana nataka kujua toka njombe na iringa. Natangulia shukrani wakuu.
  15. Miss Zomboko

    Polisi Njombe: Ukimuita mwenzio Mchawi unakwenda jela miaka 7 bila dhamana

    Polisi mkoani Njombe imeonya wananchi kujihusisha na vitendo vya ushirikina na kubainisha kuwa yeyote atakayemuita jirani yake mchawi na kukamatwa kwa tuhuma hizo itapelekea kuhukumiwa kwenda jela miaka saba bila ya kuwa na dhamana. Hayo yamebainishwa na Sajenti Thobias Nyagawa wakati Polisi na...
  16. The Sheriff

    Njombe: Avunjwa mikono na miguu baada ya kukutwa na msichana

    Kijana anayefahamika kwa jina Benard Mkolwe mkazi wa kata ya Madilu, wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, amepigwa na kuvunjwa mikono na miguu baada ya kukutwa na msichana Sara Mgohole anayedaiwa kukutana naye nyumbani kwao kwa lengo la tendo la ndoa ikiwa ni siku ya kwanza tangu waanze mahusiano...
  17. Jidu La Mabambasi

    Mbio za Mwenge: Wakimbiza Mwenge watumie vigezo vya kitaalam kukagua miradi

    Katika miaka ya karibuni tumeshuhudia mambo ya ajabu katika ukimbizaji mwenge wa uhuru. Wakimbizaji mwenge siku hizi wamegeuka kuwa TASK FORCE ya ukaguzi wa miradi. Sina uhakika kama wakimbiza mwenge ni wahandisi au wataalam wa kukagua miradi na usimamizi wake. Kama picha hapo juu eti mkaguzi...
  18. Aizi Azma

    Wiki ya ubunifu Tanzania-Kanda ya Njombe

    Habari wanajukwaa, Ikiwa ni mara ya kwanza kwa WUTz kufanyika Njombe, na nikiwa ni mmoja wa waratibu wa jukwaa hili la WUTz Kanda ya Njombe nimeona ni vyema nikilileta suala hili hapa JF. Kwanza ni kwasababu ninaamini kuna wadau wengi wenye uzoefu na fikra tunduizi za kutosha zinazoweza...
  19. Aizi Azma

    Community gatherer for a multi-stakeholder climate action plan in Njombe - 1 position

    Project description The “Multi stakeholder climate action plan in Njombe” project is going to be implemented by SHIPO with the funding and support of GIZ and the German Ministry for the Environment, Nature Conservation and Nuclear safety, under the IKI Small grants program. The project will...
  20. Aizi Azma

    Technology and business officer for a multi-stakeholder climate action plan in njombe - 1 position

    Project description The “Multi stakeholder climate action plan in Njombe” project is going to be implemented by SHIPO with the funding and support of GIZ and the German Ministry for the Environment, Nature Conservation and Nuclear safety, under the IKI Small grants program. The project will...
Back
Top Bottom